mtaa

MTAA Super (Motor Trades Association of Australia Superannuation Fund) is an industry superannuation fund established to serve the motor trades and allied industries.
Created in 1989, it has become one of Australia’s largest super funds. As at 2019, MTAA Super has more than $12 billion funds under management and represents more than 200,000 members and more than 50,000 active employers.MTAA Super is a public offer fund and allows membership to all Australians.
MTAA Super was named SuperRatings 7 year platinum performer for 2003-2010. In 2020, the fund was again awarded Platinum Rating by SuperRatings, who named MTAA Super a “best value for money” super fund.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tandika - Chacha na Rahaleo (maarufu Mtaa wa Wahaya) wanaojiuza wanatuharibia Watoto

    Nina kero kuhusu eneo la Tandika, maeneo ya Chacha na Rahaleo, maarufu kama Mtaa wa Wahaya Wilaya ya Temeke, Dar. Kuna watu wanaofanya biashara ya ngono katika vyumba vilivyopo katikati ya makazi ya wananchi. Vyumba hivyo vipo ndani ya nyumba zetu za makazi, ikiwemo nyumba namba 115, na pia...
  2. G

    JamiiForums Tanzania KERO Mtaa wa Nzasa, eneo lililo karibu na nyumba za walimu wa UDSM, mifumo ya maji taka inasumbua sana

    Mtaa wa Nzasa, eneo lililo karibu na nyumba za walimu wa UDSM, kuanzia Barabara ya Kitambaa Cheupe hadi kwa Mama Ngoma, unakabiliwa na tatizo la mara kwa mara la mifumo ya maji taka kuziba na chemba kujaa. Hali hii imekuwa kero kubwa kwa wakazi, hasa ikizingatiwa kuwa watoto hupita katika njia...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Chomete akabidhi tofali 1,000 kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya serikali ya mtaa

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete tarehe 05 Septemba, 2026 amekabidhi tofali elfu moja (1,000) kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya serikali ya mtaa wa Chomete, Kata ya Sabasaba katika Halmashauri ya Mji wa Tarime, Mkoani Mara. Tofali hizo zimekabidhiwa na Mhe. Dorice...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Sakila Chini, Mtaa wa Mbuyuni - Arusha hakuna maji, Hospitali, Shule wala duka la dawa

    Kwetu ni Arusha sehemu wanaita Sakila Chini, Mtaa wa Mbuyuni, tangu enzi za bibi zetu hakuna maji hakina shule hakuna hospitali hakuna chochote miaka na miaka naomba tupazie sauti tupate hata maji tu tunanunua maji kwa pikipiki dumu moja mia tano hata barabara hatuna. Viongozi wana trekta...
  5. Insidious

    JamiiForums Tanzania KERO Utitiri wa ‘Bandari kavu’ kila mtaa Tabata jijini Dar. Nini kinaendelea?

    Hivi inakuaje bandari kavu zinafunguliwa kila mahali? Kwa sasa Tabata nayo imekuwa kama kurasini kila mtaa kuna malori. Viongozi wa mitaa hawapo? Mipango miji hawapo? Tuspoangalia hili litakuwa tatizo hapo! Ninachokiona wanatuzuga na mipango ya kuendeleza makazi Sinza huku wakiongeza hizo...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya ardhi mtaa wa Sofu, wilayani Kibaha

    Viongozi wa Mtaa wa Sofu, Wilaya ya Kibaha, wamekuwa wakiuuza maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya barabara za mitaa pamoja na njia ya umeme mkubwa wa TANESCO unaokwenda katika Mji wa Viwanda Zegereni. Mtaa wa Sofu ulipimwa tangu tarehe 17/09/2015, lakini licha ya hilo, wananchi wanaendelea kuuziwa...
  7. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa ipo Ada estate- Kinondoni

    NYUMBA INAUZWA Eneo: Ada Estate, Kinondoni (Mbele ya mtaa, eneo tulivu) Ukubwa wa Kiwanja: SQM 2,950 Umiliki: Hati Safi (Title Deed) Bei: TZS Bilioni 6.5 (Sawa na USD Million 2.5) — Maongezi yapo kidogo
  8. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa ipo Ada Estate, Kinondoni. Bei ni Bilioni 6.5

    Ipo Ada Estate, Kinondoni, mbele ya mtaa, katika eneo tulivu Umiliki: hati safi Ukubwa wa kiwanja: sqm 2,950 Bei: TSh bilioni 6.5, sawa na USD milioni 2.5 Bei inazungumzika kidogo. 🇹🇿 Call/WhatsApp: +255 758 844 417
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kukosekana Mtaa wa Ellys Hoteli - Nyegezi, MWAUWASA yasema "Miundombinu binafsi ya Mteja inaweza kuchangia kukosa"

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imejibu hoja ya Mdau wa JamiiForums.com aliyeandika ~ Baada ya ziara ya Waziri wa Maji, Mtaa wa Ellys Hoteli Nyegezi na maeneo jirani tunaendelea kukosa maji MAJIBU YA MWAUWASA... Habari mdau wetu, pole kwa changamoto iliyojitokeza...
  10. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Fahamu machache kuhusiana na Mtaa wa Karen ndani ya Jiji la Nairobi.

    Kuzaliwa kwa Karen. Ipo hivi. Kati ya mwaka 1929 na 1930, koloni la walowezi wa Uingereza nchini Kenya lilikuwa linakabiliwa na anguko kubwa la kiuchumi. Tatizo lilianza baada ya Soko la Hisa la Wall Street nchini Marekani kuporomoka, na madhara yake yakafika hadi Kenya. Bei ya kahawa ilishuka...
  11. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Alieko karibu na kalapina amwambie kuwa sugu sio level yake. Mtu mzima bado mtaa upo kichwani wakati sugu ni executive mind.

    Mtu huyu atakuwa katika 40s ili bado mtaa umemkaa kichwani, Hurka yake ni fujo za mitaani ambazo zilipekea hadi watu kuumia. Wakati huo bado anapambana na upumbavu wa mitaa na umri ukiwa umeenda, mr 2 sugu aka 2 proud anafanya mambo international na anasaini mikataba ya mpunga. Mtu mwenyewe...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania KERO Mwanajeshi mstaafu afunga barabara ya mtaa akidai ni kiwanja chake

    Mzee huyu ameongeza mawe na kuyamwaga barabarani kwa madai kwamba barabara imepita kwenye kiwanja chake. Cha kushangaza ni kwamba mbele kuna nafasi ambayo inaonekana ndiyo mpaka wa kiwanja chake, lakini sasa anaziba barabara kabisa. Swali linajiuliza, kama kweli hiyo ndiyo mipaka ya kiwanja...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna wizi uliokithiri mtaa wa machinjioni kata ya Tangini manispaa ya Kibaha

    Ndugu viongozi na wananchi wenzetu, tunaomba kuwasilisha kero kubwa ya matukio ya wizi yanayoendelea katika eneo la Machinjioni, Kata ya Tangini, Manispaa ya Kibaha. Katika kipindi cha hivi karibuni, wezi wamekuwa wakivunja mara kwa mara maduka ya wananchi na kuiba mali zao. Tukio la hivi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa mtaa wa Magaka tunalalamikia changamoto za ukubwa wa eneo na upatikanaji wa huduma

    Wakazi wa Mtaa wa Magaka, Kata ya Kahama – Ilemela, wanaomba mamlaka husika kuangalia upya ukubwa wa mtaa huo kutokana na changamoto zinazotokana na eneo kuwa kubwa huku likiongozwa na Mwenyekiti mmoja. Kutokana na ukubwa wa mtaa, baadhi ya huduma muhimu zimekuwa mbali na makazi ya wananchi...
  15. Malaika wa Misukosuko

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Dodoma mjini Mtaa wa Chinyoya karibu na Mtaa wa Uzunguni, kina sqm 800 na kina Hati, Maji na umeme vipo vyote

    Habarini wakuu, kiwanja kinauzwa Dodoma Mjini mtaa wa Chinyoya uliopo karibu na Uzunguni kina ukubwa wa Sqm 800 pia kina Hati, Huduma za maji na umeme zipo zote kwenye kiwanja kwahiyo ukinunua huna haja ya kuvuta umeme wala kuunganisha maji..... Bei yake ni 60M kama ukihitaji nicheki Dm tuongee.
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MORUWASA: Bomba lililopasuka Mtaa wa Bomaroad imerekebishwa

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA) imesema changamoto ya bomba lililopasuka katika Mtaa wa Bomaroad iliripotiwa na wananchi wa eneo husika imeshashughulikiwa na sasa hali ipo sawa. MORUWASA inatoa rai kwa wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa kutoa taarifa za...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya NIDA vipigwe "photography" kisha muhuri wa serikali ya mtaa kama cards za gari

    It's me JamiiForums member: Nina Akili Ndogo Sana. Kama kadi ya gari inapigwa photocopy pamoja na kuwekwa muhuri (stamp duty) ya TRA, kwanini kitambulisho cha NIDA kisipigwe photocopy na kuwekwa muhuri wa serikali ya mtaa kwa gharama ya 1,000 TZS pekee ili mtu atembee na copy pekee?? Mtu...
  18. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Tanzania hata mwenyekiti wa mtaa anataka ashinde ofisini muda wote badala afanye kazi zingine haya sasa ToneTone imekoma leo rasmi.

    Hii mentality ya kuishi kupitia siasa kula kupitia mikutano ya Hadhara ifikie mahali iondolewe hasa kwa hawa wanasiasa wanaotegemea wale kupitia kapu la donation. Wewe mwanaume unaishije kwa kutembeza kikapu? Ipo siku utajiuza kwa mabeberu ila mostly mmeshajiuza Mfano wewe kama mwenyekiti wa...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uhalifu unaofanywa na baadhi ya waendesha pikipiki mtaa wa Kibamba Luguruni

    Naomba mamlaka husika zichukue hatua dhidi ya baadhi ya waendesha BODABODA wanaoweka vijiwe visivotambulika katika mtaa wa KIBAMBA LUGURUNI ambao wamekuwa wakijihusisha na vitendo vya uhalifu na kuwatishia usalama wakazi. Kumekuwa na matukio ya uporaji,wizi na unyang’anyi yanayohusishwa na...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tanroads na Mkandarasi wa Barabara ya Kibada - Mwasonga - Kimbiji Kushindwa Kutekeleza CSR badala yake kusababisha Kero kwa Wakazi wa Mtaa wa Tumaini

    April 24, 2025 Liliwekwa jiwe la Msingi wa Ujenzi wa Barabara ya kibada - Mwasonga - Kimbiji yenye urefu wa Kilomita 41, ambapo jiwe hili liliwekwa na Raisi wa Zanzibar Mh. Hussein Ali Mwinyi. Kazi imefanyika vizuri sana ila Changamoto Kubwa Mtaa Wetu wa Tumaini umeelekezewa Maji kiasi kikubwa...
Back
Top Bottom