Katika Ibada takatifu St. Theresa Arusha Mizengo Pinda alipewa nafasi ya kusalimia akaanza siasa

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
18,931
31,176
Waziri Mkuu mstaafu bingwa wa kulia hovyo hovyo alishiriki misa takatifu St Theresa Jijini kwa heshima ya wadhifa aliwahi kushika Paroko akampatia nafasi ya kusalimia waumini.

Badala ya kusalimia waumini akaanza ohoo Rais Samia alikuwa Vatican 🇻🇦 alikutana na Baba Mtakatifu walifanya mazungumzo ya maana sana.Blah blah .....

Mizengo Pinda Kayanza sisi waumini wa Kanisa Takatifu Catholic bado tunakumbuka mauzo ya Bandari zetu na dharau siku ya uwasilishwaji jinsi maAskofu wetu walivyodhalilishwa na lile pumbavu lisilo vaa viatu.

Ngongo kwasasa Arusha tayari kwa maandamano ya amani.
 
Alikwenda kupiga picha,hata wewe ukipenda unaweza bila shida yoyote.Itoshe kusema Kayanza anataka kutusahauliusha mauzo ya Bandari kwa mkutano wa Papa na Mama.
Hiyo Bandari ni ya hao hao Vatican kama ulikuwa hujui 😂😂
 
Ngongo utakiwa utambue kwamba, Papa si tu Mkuu wa Kanisa, bali pia ni Mkuu wa Taifa la Vatican ambalo watu wake ni waumini wote wa Roman Catholic duniani, ikiwemo Tanzania.

Sijaona ubaya kwa Pinda kwa sababu kazungumza jambo sahihi na mahali sahihi.

Acha kutafuta umaarufu!
Mama kaenda Norway & Ethiopia kote huko kakutana na wakuu wa nchi.Nadhani umeshindwa kuelewa msingi wa bandiko langu.

Pinda anataka kuwazuga waumini kwamba Maskofu wa Catholic walitoa waraka wa kupinga kuuza bandari zetu kwa waarabu ambayo sasa ni nyaraka rasmi ya Kanisa Catholic.

Kwamba huo waraka si lolote pengine Papa kakubaliana na uamuzi wa serekali ulikuwa sahihi dhidi ya waraka wa kanisa.
 
Waziri Mkuu mstaafu bingwa wa kulia hovyo hovyo alishiriki misa takatifu St Theresa Jijini kwa heshima ya wadhifa aliwahi kushika Paroko akampatia nafasi ya kusalimia waumini.

Badala ya kusalimia waumini akaanza ohoo Rais Samia alikuwa Vatican 🇻🇦 alikutana na Baba Mtakatifu walifanya mazungumzo ya maana sana.Blah blah .....
Mizengo Pinda Kayanza sisi waumini wa Kanisa Takatifu Catholic bado tunakumbuka mauzo ya Bandari zetu na dharau siku ya uwasilishwaji jinsi maAskofu wetu walivyodhalilishwa na lile pumbavu lisilo vaa viatu.

Ngongo kwasasa Arusha tayari kwa maandamano ya amani.
Huu nao tayari Uzi?Du!! Lowasa alisema elimu!! elimu!!
 
Mama kaenda Norway & Ethiopia kote huko kakutana na wakuu wa nchi.Nadhani umeshindwa kuelewa msingi wa bandiko langu.
Pinda anataka kuwazuga waumini kwamba Maskofu wa Catholic walitoa waraka wa kupinga kuuza bandari zetu kwa waarabu ambayo sasa ni nyaraka rasmi ya Kanisa Catholic.
Kwamba huo waraka si lolote pengine Papa kakubaliana na uamuzi wa serekali ulikuwa sahihi dhidi ya waraka wa kanisa.

Sikuelewi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom