halisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kupoteza Ubinafsi Halisi: Persona na Wazazi

    Tunazaliwa tukiwa ‘sisi.’ Orijino. Hatuogopi kukosea. Hatuogopi kupenda. Hatudanganyi. Hatuumizi. Tunadadisi. Tunafikiri. Tunauliza. Tunatafuta majibu. Hata hivyo, imani kuwa ni salama kuwa ‘sisi’ halisi iko mikononi mwa watu wazima tunaoishi nao. Hawa, kwa wengi wetu, ni wazazi tunaowategemea...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je mwanao ana changamoto ya kutoelewa kwa haraka na mwepesi wa kupoteza kumbukumbu? Hii hapa tiba halisi.

    Sukari huathiri kile kinachoitwa mfumo wa limbic (limbic system). Mfumo wa limbic ni kundi la miundo ya ubongo inayohusishwa na hisia, kumbukumbu na michakato mingine ya kujifunza. Huhusika katika udhibiti wa hisia na uundaji wa kumbukumbu, jambo ambalo huchangia katika mchakato wa kujifunza (...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hatuelewi nauli rasmi ya usafiri wa umma Arusha - Moshi ni sh ngapi? LATRA toeni ufafanuzi

    Baadhi ya wasafiri wanaotumia usafiri wa umma katika njia ya Arusha – Moshi – Arusha tumekuwa tukikumbana na changamoto kuhusu utofauti wa bei ya nauli inayotozwa na watoa huduma. Katika nyakati mbalimbali, imeonekana kuwa baadhi ya abiria hutozwa nauli tofauti, huku viwango vikibadilika kati...
  4. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Uchumi wetu wa ma-ndoo ndoo. Hii ndio hali halisi ya Watanzania lukuki

  5. L

    JamiiForums Tanzania Picha Halisi ya Bwana wetu Yesu Kristu.

    Picha hii ilipigwa na Sista Anna Ali mwaka 1987 kutoka Kenya. Sista alitokewa na Yesu mwenyewe,akamuomba Bwana wetu ampige picha,Bwana Yesu akamkubalia . Hii ni kweli. Hakuna kisichowezekana kwa Mungu Kumbukumbu zipo. Picha ya Muujiza ya Yesu Inayodaiwa Kupigwa na Mtawa Picha inayosambaa...
  6. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Tuache kumshambulia Lema, ndugu huyu akishambuliwa Usiri humuondoka na huanika ukweli halisi

    Nadhani mumeyaona wazi wazi,tunashukuru sana sisi CDM wafia chama tumemuelewa adui wa chama chetu,tunasema Heche Achia ngazi mara moja hufai na umeshindwa hata kutii maagizo ya mwenyekiti wetu, posibly unatumika na vigogo ndani ya CCM, Tumejiridhisha hutufai....tena ndani ya chama chetu, sababu...
  7. bless on

    JamiiForums Tanzania Asili Halisi ya Mwenge wa Uhuru: Siri Yafichuka

    Wengi wetu tumebahatika aidha kushiriki au hata kuchangia mbio za Mwenge wa uhuru wa Tanganyia (Tanzania), lakini ni wangapi kati yetu tunajuwa asili haswa ya huo Mwenge!? Ipo siri kubwa kuhusu Mwenge wa Uhuru ambao hukimbizwa nchi nzima. Wapo wanaodhani kwamba aliyeleta mabadiliko katika nchi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa baba humwekea mtoto wa kiume mipaka katika maamuzi mengi. Baba akiondoka, wengi huonyesha rangi halisi, huamua bila kusita wala kujificha.

    familia nyingi, baba huonekana kama mtu anayesimamia nidhamu, mwelekeo na usalama wa familia. Hata pale ambapo hatumii nguvu wala maneno mengi, uwepo wake pekee unaweza kuwa ujumbe kwamba kuna mipaka ambayo haipaswi kuvukwa. Kwa mtoto wa kiume, jambo hili linaweza kuwa muhimu zaidi anapokua na...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Africa tuna viongozi wa ajabu sana. Malawi wamempeleka mtoto wa waziri kushiriki shindano la Miss World, badala ya mshindi halisi wa taji hilo

    Malawi sent the minister’s daughter to Miss World. Not Miss Malawi. Thandi Chisi won Miss Malawi in December. That’s the title. The trip should have been hers. It wasn’t. Organisers sent Ireen Navicha first runner-up, daughter of Gender Minister Mary Navicha. Miss World listed her as Malawi’s...
  10. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania UN yaidhinisha ramani yenye Ukubwa halisi ya Afrika huku USA Wapinga.Tu Damp Dini, Elimu na mifumo Yao ya Utawala.

    My Take Hawa kima weupe walitufogosha sana ,ni wakati wa kuwatupia virago kuanzia dini zao,Elimu zao na mifumo Yao ya usalama Ili tururishe ukuu wa muafrika. https://www.instagram.com/p/Dc5oAiZjT0Q/?img_index=2&igsi=NnhsbDFnY3l1Zml0
  11. Red black

    JamiiForums Tanzania Je , dunia tunayoishi ni halisi au ni ndoto ya pamoja au mfumo wa simulation?

    Niko hapa kujifunza.
  12. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Mafanikio Sio Pesa, Ni Nishati Unayotoa

    Katika kitu najifunza siku za hivi karibuni ni kuwa mafanikio hayaji by chance. Kuna namna Mungu amemcraft kila kiumbe kutokana na uwezo wake, but we humans have a free will. Na huu ndo mtego, the will to think we can manipulate reality, vijana wengi wanahisi mafanikio ni kuwa na hela bank...
  13. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Hii video ya wasira inaonyesha taswira halisi ya ngozi nyeusi

    Msikilizeni huyu mzee akipigania ubunge dhidi ya Ester
  14. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Hii ndo maana halisi ya "Rule of Law" tuheshimu Sheria za Nchi hakuna msalia mtume kwenye kusimamia maadili ya Taifa

    Kauli za wanasiasa wasio na Maadili zinaathari kubwa sana kwenye ustawi wa Taifa letu, Leo hii serikali imerudi nyuma kutengeneza miundombinu ambayo ilishamalizana nayo kitambo kwasababu ya kauli za hovyo za viongozi wajinga na wapumbavu so paining 😭 Sheria zipo na hazimuogopi mtu. Mtu mmoja...
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ama Homa Bay Iko Yemen? Barabara Zafichua Hali Halisi Ya Maendeleo

    Baada ya msafara wa Linda Mwananchi kuingia Homa Bay jana, hali ya barabara katika baadhi ya maeneo ya Suba imeibua mjadala mkubwa mitandaoni. Msafara huo ulilazimika kutumia njia mbadala zenye vumbi na mashimo, baada ya barabara kadhaa kuu kuzuiwa kwa mawe na kuchomwa kwa matairi wakati wa...
  16. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wahadhiri 100 kuchanga sh laki tano pekee kwa Mhadhiri wa UDOM anae shitakiwa kwa ugaidi. Je huu ndio ujumbe wanao upeleka kwa serikali ya Samia? 👇👇

    Picha lina anza mhadhiri wa UDOM anakamatwa na vyombo vya dola kisha kushtakiwa kwa kosa la ugaidi. Je huyo mhadhiri ametenda kosa la ugaidi? Mimi sio mwanasheria ila najua kuwa this case is Res Sub Judice, and therefore very little to comment about that. Hukumu ya Mahakama ndio itakayo tupa...
  17. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Jicho la Shaka: Je, Ni Ukichaa halisi au Nabii Tito ni chambo kinachotumiwa na watu wa nyuma ya pazia?

    Katika kumbo hili la wakati, hata mtu anayeonekana kupoteza fahamu za kawaida za kijamii bado anajua nguvu ya simu janja na mitandao ya kijamii. Lakini linapokuja suala la maudhui anayoyatoa kwa haraka kuna sababu kadhaa zinazomfanya atumie mitandao kutukana viongozi wa kisiasa, mathalani...
  18. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Utata wa "identity" wa shahidi wa Jamhuri waibuka mahakamani. Inasemekana huyu Jina lake halisi ni Peter Jumamosi na sio Amin Mahamba...

    Picha: Huyu ndiye Amini Said Mahamba halisi ambaye ni marehemu. Alikuwa Askari Polisi ktk cheo cha SACP. ================= Ikumbukwe kwamba kumekuwa na minong’ono mingi kuhusu shahidi huyu (askari Polisi Amini Mahamba) kuhusu identity yake halisi ambaye ndiye mpelelezi Mkuu wa kesi hii...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Heche: Tunataka katiba na si maneno ya kwenye Ilani

    Mtu yeyote atakayekuja anaungana na sisi kwenye madai ya katiba huyo tuko pamoja naye, kama anazungumza lugha moja na Wananchi na Watanzania huyo tuko pamoja naye, "Bw. John Heche - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mtangazaji: "Hivi karibuni tumesikia mara kadhaa wana CCM wakisema kwamba swala la...
  20. mngony

    JamiiForums Tanzania Katibu mpya wa Fedha wa CCM ni Mtanzania halisi? Mbona anaonekana kuzungumza kiswahili kwa tabu

    Nimemsikiliza akiwa katika mkutano wa hadhara wakipokelewa viongozi hao wapya na wanachama wao jijini Dodoma, baada ya kuteuliwa hivi karibuni. Katika mkutano huo alipata nafasi ya kuongea na kuwashambuli viongozi wa vyama vya Upinzani. Hapo ndipo nilipogundua anazungumza kiswahili kama vile...
Back
Top Bottom