nyumba za ibada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. realMamy

    JamiiForums Tanzania Je, una utaratibu wa kuhudhuria nyumba za Ibada?

    Kuna utaratibu mzuri umewekwa na baadhi ya Dini namna nzuri ya kuhudhuria Ibada. Kuna Dini zenye Ibada zaidi ya Moja Ili kuhakikisha Kila mtu anapata nafasi ya kupata mawili matatu kutoka kwenye neno la Mungu. Mojawapo ya maana ya Neno Ibada ni kumheshimu, kumshukuru, na kumuabudu Mungu kwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania KERO Kumekuwa na ujenzi holela wa nyumba za ibada kwenye makazi ya watu. Wahusika hawaoni?

    Kumekuwa na ujenzi holela wa nyumba za ibada hasa Makanisa katikati ya makazi na kuendesha ibada zao kwa sauti kubwa Siku hizi mtu akiwa na hata kiwanja chake kilichopimwa kwa ajili ya makazi anageuza kuwa kanisa na hakuna wa kumuuliza.. UTARATIBU NI KUWA, NYUMBA ZA IBADA ZIJENGWE KWENYE...
  3. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Nyumba za ibada ndizo sehemu zinazoongoza kwa upigaji

    Ukiachana na serikali kwenye makusanyo ya hela sehemu nyingne wanapokusanya hela nyingi ni nyumba za ibada , ( kanisan &misikitini) Kama ilivyo serikalini kuwa na wadokozi wa hela ndivyo ilivyo kwa nyumba za ibada Viongozi wengi wa dini ni wezi na wahujumu uchumi wa nchi pamoja na washirika...
  4. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Nini kinawafanya gen z kutohudhuria nyumba za ibada?

    Tafiti nyingi zinaonesha kwamba sehemu kubwa ya vijana wa kizazi cha Gen Z hawahudhurii nyumba za ibada (Msikitini&Kanisani) mara kwa mara kama vizazi vilivyopita, lakini si kwamba wote wameacha dini au ibada. Kinachoonekana zaidi ni kwamba wengi wanajiita “spiritual” kuliko “religious”, baadhi...
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Wizi wa sadaka nyumba za ibada je ni laana ama dini zimeingiliwa?

    Ni jambo kama linakuwa fashion sasa Kuna wezi wa aina mbili. 1. Wanaotakiwa kuzikusanya kuzihesabu na kuzihifadhi 2. Wanaoingia nyumba za ibada na kuvuja ofisi zinapotunzwa sadaka kisha kuiba na kutokomea nazo Angalizo: sadaka ni dhabihu ya haki.. Imebeba maagano viapo na vikngilio vya...
  6. Pakome

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuwauliza Matajiri wakubwa kuhusiana na tuhuma za kutokuhudhuria nyumba za Ibada walinijibu kama ifuatavyo

    Mimi kwa muda mrefu nimekuwa nikifanya kazi za matajiri wengi sana ikafikia mahali Matajiri wale wakawa wananialika kwenye shuhuli zao Sasa kawaida binadamu kuna wakati tunazungumza mambo mengi Siku moja nikachomeka swala la Ibada Nikawauliza kuwa kuna shutuma kuhusiana na matajiri kuwa...
  7. F

    JamiiForums Tanzania KERO NEMC Kanda ya Mashariki Kasikazini na changamoto ya udhibiti wa kelele kutoka nyumba za ibada jijini Dar es Salaam

    Katika Jiji la Dar es Salaam, changamoto ya kelele kupita kiasi kutoka katika nyumba za ibada imekuwa ikilalamikiwa kwa muda mrefu na wakazi wengi. Ofisi ya NEMC Kanda ya Mashariki imeonekana kushindwa kusimamia ipasavyo utekelezaji wa sheria na kanuni za mazingira zinazohusu udhibiti wa kelele...
  8. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Mungu acheni kuonyesha misimamo yenu ya kisiasa kwenye nyumba za ibada tunasali/kuswali watu wa vyama vyote

    Bila shaka humu Kuna watumishi wa Mungu. Mtumishi wa Mungu ukiwa kanisani ongea kile ulichofunuliwa na Mungu acha kujitengenezea agenda zako za kisiasa unatukera sana, kwasababu huna uwezo wa kunibadilisha Mimi chama changu hata ufanyaje. Nawatakieni sikuku njema wakuu. Tuwe na kiasi Kuna...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Polisi kushirikiana na nyumba za ibada ili kuzuia vitendo vya kihalifu kuelekea msimu wa sikukuu

    Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaam, Jumanne Muliro ameeleza kuwa wameanza ukaguzi wa kushtukiza kwa madereva wa magari wenye dalili za kutaka kusababisha ajali. Pia ameeleza kuwa wamejipanga kushirikiana na nyumba za ibada ibada ili kutanzua uhalifu...
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watu watakaoenda mbinguni sio hao wachungaji au mashekhe au waliopo kwenye nyumba za ibada kila siku bali hao wapigania haki ndio watakatifu

    Mtu asifikiri kuwa watakaoenda mbinguni ni hao kwenye nyumba za ibada au hao wanaotoa sadaka nyingi lakini hawafanyi haki ni wezi na mbwa mwitu. Lakini wale waongozao wenzao kufanya haki hao ndio wana wa mungu, mwisho ulimwengu utawagawinyika makundi mawili wapigania haki na wavunjifu wa haki...
  11. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Watu wa maisha ya kawaida wanaongoza kulalamika Kulogwa, Kuzimia nyumba za Ibada na kulia na neno Shetani kucha kutwa huku Matajiri wakiwa kimya

    Watu wa maisha ya kawaida wanaongoza kulalamika Kulogwa, Kuzimia Makanisani na Misikitini na kulia na neno Shetani kucha kutwa huku Matajiri wakiwa kimya Wanaongoza kutia huruma na kujiona wanateswa na kutendwa vibaya na kila mtu aliyeko mbele yao kwao ni mbaya Wanaongoza kukesha kwa Waganga...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hotuba za Wanasiasa kwenye nyumba za Ibada zinadumisha amani na maadili ya Uchaguzi, au zinapotosha wapiga Kura na kuathiri uadilifu wa mchakato?

    Tanzania inakaribia Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Joto la siasa limekuwa likipanda na kushuka, na majukwaa yanazidi kutafutwa, ikiwemo Nyumba za Ibada. Lakini je, hii ni sawa? Wanasiasa wanapohutubia kwenye Makanisa au Misikitini, wengine husema wanajenga maadili, amani na mshikamano. Lakini Je...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ili swala la kuongea siasa kwenye nyumba za ibada Lina utata...ebu tafakari kidogo

    Leo siku ya siku ya Eid Al Adha karibu viongozi wote wa dini wameongea siasa kwenye mahubili ya swala zao maani woto wameongelea jambo la uchaguzi mkuu wa October kuwa uko palepale na wamesisitiza wananchi waende wakachague wala wasitumike vibaya..... Mbona hao hawasemwi kuwa wanahubiri siasa...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna mada hapa nilileta kuhusu nyumba za ibada msishangae kuona maaskari wakiwepo sasa kama wanavyofanya mahakamani kesi ya Lissu

    Kwa haya yanaondelea hakuna mskitini wala kanisani mkasema kutakuwa na usalama na sehemu ambazo zitakuwa zinawindwa na kuwekewa maaskari ni zile nyumba za ibada ambazo zinaeleza mwenendo wa nchi swala utekaji na uwongozi usiopenda wananchi. Tarajieni kuona mabunduki na silaha nzito pamoja na...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Steve Nyerere: Kufanya siasa kwenye nyumba za Ibada si sawa kabisa

    Ni hatari sana kuchanganya dini na siasa - Steve Nyerere Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao Steve Nyerere amekemea vikali tabia ya viongozi wa dini ambao wanaacha kuwaombea waumini wao na kujikita na masuala ya siasa. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  16. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Muktasari wa Nchi Zilizokomboa Mataifa Yao Kupitia Jitihada za Makanisa, Misikiti na Nyumba za Ibada

    Katika baadhi ya mataifa, makanisa, misikiti, na nyumba nyingine za ibada zilichukua nafasi muhimu katika kupigania uhuru na haki, kwa kutoa uongozi na kuhamasisha umoja wa kitaifa, na kusimama dhidi ya dhuluma zinazofanywa na watawala mbalimbali. Hapa chini ni muktasari wa nchi saba ambazo...
  17. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania CCM iache kutumia siasa kwenye nyumba za ibada

    Tumeshuhudia Abduli akiahidi kitita cha mchango wake kukarabati kanisa! Abduli mwanasiasa wa chini ya zulia amejijengea umaarufu wa kugawa vitita vya fedha hadharani huku wengi wetu hatujui biashara znayofanya zaidi ya kujua mtoto wa mama. Viongozi wa CCM ndio huajialika harakaharaka kwenye...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wanapokosa wanaloitaji endapo kushindwa,kukosa uwezo wa ufikiri na kufirisika ujazana nyumba za ibada au kwa waganga

    Na mifano mingi nimeona mtu alikuwa vizuri baada ya mambo kwenda kinyuma ndio wanaongoza kuwa daftari la kuwai namba nyumba za ibada na wengine kuwa wapenzi wazuri wa ulonzi kila jambo. Nenda misikitini au makanisani wamejazana wengi wanashida tuje huku kwenye giza kama wote. Kuna watu na...
  19. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Shetani yupo kazini: Nyumba za ibada Imarisheni ulinzi/msirushe LIVE (YouTube) wakati wa kutoa sadaka

    1. Maendeleo ya Teknolojia yamefanya ibada kurushwa LIVE mitandao ya kijamii (YouTube , Instagram) ila majambazi nayo yapo rada kutafuta fursa. 2. Tafadhali nyumba za ibada msirushe live wakati wa utoaji sadaka. Na pia ulinzi uimarishwe. NB: Msiposikiliza huu ushauri soon mtalia. Mtu...
  20. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Watu hawana aibu wala haya kabisa yaani kwenye nyumba za ibada watu wanaombana namba na kutongozana? Nimechukia aisee

    Daa watu wengine sijui wameumbwa vp jamani leo hii kiukweli nimejikuta nimechukia sana aisee tupo kwenye ibada wakati mchungaji anatoa mahubiri kuna watu huku nahisi hawa ni gen z back bencha wanaanza kuombaba namba na kuanza kutongoza eti usiku mida ya saa mbili tukutane element daaa nimechukia...
Back
Top Bottom