wakristu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    Je Wajua, Japo Christmas Ina Sheherekewa kwa Sharmashamra Sana, Pasaka Ndio Sikukuu Kuu ya Wakristu Kwasababu ya Fumbo la Paska. Happy Easter!.

    Wanabodi Japo Sikukuu ya Christmas inasherekewa kwa shamra shamra sana, wengi wakidhani ndio sikukuu kubwa ya Wakristo, ukweli ni kuwa Pasaka ndio sikukuu kubwa ya Wakristo kutokana na fumbo la Paska, hakuna mtu yoyote aliyemshuhudia Yesu Kristo akifufuka, na baada ya kufufuka alikaa duniani...
  2. LIKUD

    Ukweli mchungu: Asilimia kubwa ya Wakristu na Waislamu duniani wanafanya ibada ya sanamu bila kujua kama wanafanya ibada ya sanamu

    Hata wewe msabato unae waponda wakatoliki, kwa mantiki ya uzi huu, wewe pia unafanya ibada ya sanamu. Kwani ibada ya sanamu nini? Umewahi kusikia mashabiki wa mpira wanasema " kwenye timu hii golini kuna sanamu?" Je unadhani maana yake huwaga ni nini? Maana yake ni kwamba kwenye timu hiyo...
  3. LIKUD

    Wakristu kitu gani kimewakuta mpaka mmeanza kuwaiga waislamu?

    Moderator naomba msi uunganishe Uzi huu na Uzi mwingine. Ninawaomba hayo kwa jina la Maxence Melo Na declare interest. Mimi ni mfuasi as dini za jadi za kiafrika. 1. Ukristo ni imani ila Uislamu ni dini( mfumo wa maisha) 2. Uislamu umekaa kisheria na kisayansi zaidi kuliko " imani"...
  4. Uhakika Bro

    Kwa wakristu wote, imfikie hadi papa, wazo la kuboresha kiapo cha ndoa cha kikristu

    Mambo yanasonga na dunia inabadilika. Kama tuliweza kukaa na kujadili tunafanyeje kuhusu masuala ya ndoa na ubatizo wa watu wale, basi tunaweza kukaa na kujadili kuboresha mambo mbalimbali. Siamini kama maelekezo yote yanatoka top down tu. Naamini yanaweza pia kutoka down up. Maji yakapanda...
  5. Eli Cohen

    Mr Beast ajenga visima 100 vya maji barani Afrika

    Kwa project hii ataweza kunywesha maji watu takribani laki tano. Nchi alizozigusa ni Kenya, Zimbabwe, Uganda, Somalia na Cameroon Kwa msiemjua Mr beast, ni youtuber ambae kipato chake huki wekeza katika michezo ya kusaidia watu kifedha na projects za kusaidia jamii. Hongera kwake...
  6. B

    Hii ndio njia rahisi ya kuwafanya waislamu wote duniani kuwa wakristu au wakristu wote duniani kuwa waislamu

    Duniani kuna dini nyingi ila wakristu na waislamu ndio dini mbili pekee juu ya uso wa dunia ambazo kila moja inajiona ndio dini/imani/ bora, sahihi na yenye haki mbele za Mungu kuliko zote duniani. Waumini wa dini hizi wana share sifa moja inayofanana nayo ni selfishness. Kwa maana ya...
  7. LIKUD

    Kama kila kitu kinachotokea kwenye maisha ya binadamu ni mpango wa Mungu then kwanini Wakristo na Waislamu hufanya jambo hili?

    Waislamu na Wakristu uhubiri kwamba kila jambo analolifanya mwanadamu na kila jambo analo fanyiwa mwanadamu ni mipango ya Mungu. Kama hoja hii ndio msimamo wa mafundisho ya kikristo na kiislamu then kwanini wakristu na waislamu HUTUBU DHAMBI ZAO kwa Mungu pindi watendapo dhambi? Kwa sababu...
  8. Pascal Mayalla

    Je, wajua Wakristo huwasindikiza Waislamu Kufunga Ramadhan? Leo ni Jumatano ya Majivu, Wakristo tutafunga siku 40, vipi Waislamu Mtatusindikiza?

    Wanabodi Hili ni bandiko la swali kuwa Je, wajua kuwa sisi Wakristo huwa tunanawasindikizaga ndugu zetu Waislamu kufunga swaumu wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadan? Leo ni Jumatano ya Majivu, Wakristo tunaanza safari ya kufunga kwa siku 40, vipi nyie wenzetu Waislamu, je mtatusindikiza kama...
  9. LIKUD

    Mambo ambayo Mungu hayapendi lakini Waislamu na Wakristu wamefichwa

    Kabla sija enda kwenye mada nauliza hivi wewe ambae unawaachiaga siti wazee kwenye daladala tangu uanze kufanya hivyo ni mambo mangapi ambayo umeshafanyiwa wepesi kwenye maisha yako? Tafakari! Chukua hatua! HAKI ELIMU. Back to the point. Yapo mambo ambayo kiuhalisia Mungu hayapendi ila...
Back
Top Bottom