Search results

  1. mama D

    Watanzania tuelewe nafasi ya Rais kama Kiongozi wa nchi na tumheshimu Rais Samia Suluhu Hasani

    Watanzania tumheshimu na kumuombea sana Rais wetu Samia Suluhu Hasan tusisahau kwamba Rais wa nchi amebeba hatma ya nchi na wananchi wake Nimesikia na kufuatilia kwa uchache sana mambo yanayoendelea mitandaoni na vile yanavyopokelewa na jamii ya watanzania nimejifunza mambo muhimu moja kubwa...
  2. mama D

    Serikali iongeze bei ya energy drinks ili kunusuru maisha ya Watanzania

    Wasalaam wana jamiiforum Kumekua na matumizi mabaya sana ya energy drinks Tanzania. Mbaya kuliko ni kwamba hadi watoto wadogo wa shule za msingi ni wanywaji wakubwa wa hivi vinywaji. Na wanavichukulia powa kwamba vinawachangamsha na kuwaondolea uchovu lakini taratibu vinawamaliza. Nimewaza...
  3. mama D

    Dkt. Tulia leo 26.10.2023 ameshiriki mdahalo wa kuomba kuchaguliwa kuwa Rais IPU

    Dkt. Tulia Ackson amewakilisha vyema katika mdahalo wa kuomba kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge duniani IPU. Tunamtakia kila la heri katika uchaguzi utakaofanyika kesho 27.10.2023 Mungu ibariki Tanzania
  4. mama D

    20 Percent Nyota kubwa ya Muziki wa Kitanzania inayopotea

    Mwenye taarifa za huyu mwamba yuko wapi, anafanya nini siku hizi tafadhali
  5. mama D

    Kuhani Musa: Aliyemuweka Rais Samia kwenye kiti cha urais ni Mungu, kama mnaona kuna mambo ambayo anapaswa kuyafanya ili kuwafurahisha muombeni Mungu

    Kuhani Musa Richard Mwacha anasema aliyemuweka Rais Samia kwenye kiti cha urais ni Mungu, kama mnaona kuna mambo ambayo anapaswa kuyafanya ili kuwafurahisha muombeni Mungu aliyemuweka pale, ili atamtereshia maarifa na ufahamu wa kuyafanya mambo mazuri yatakayokufanya ufurahie. Sasa wewe huna...
  6. mama D

    Zumaridi asichukuliwe kimasihara, imani ni kitu kikubwa sana inahuisha na imani inaua Watanzania tuamke

    Zumaridi anawafundisha watoto kwamba yeye ni mungu, yeye ndie msaada na ndie anayewakinga na mauti, anasema yeye ni mtawala wa dunia mzima na anayetawala vitu vyote vya duniani na mbinguni tena wake kuna uzima wa milele. Halafu anawaambia watoto leo atawapikia tena wali😎😎😎 Inatisha...
  7. mama D

    Wajukuu wa Ibrahimu katika picha, Kuhani na Mwalimu Musa Richard Mwacha na Sheikh Mkuu Mufti Abubakar Zubeir

    Upendo + Umoja + Mshikamano = Amani MWANZO 17: 1-22 "Abramu akaanguka kifudifudi. Mungu akamwambia, akasema, Mimi, agano langu nimefanya nawe, nawe utakuwa baba wa mataifa mengi. Agano langu nitalifanya imara kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, na vizazi vyao, kuwa agano la...
  8. mama D

    Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri wa Mali asili na Utalii, Bodi ya Utalii na Mabalozi wetu pokeeni ujumbe toka tour guide Saimon Sirikwa

    Kutoka kwenye clip fupi ya mtanzania mwenzetu Bwana Saimon Sirikwa anayefanya kazi kwenye sector ya utalii nimejifunza mambo machache ambayo nadhani tunayapuuzia au hatutaoni japo ni muhimu Kwanza, serikali haijawatumia kabisa hili kundi la hawa watu wanaokutana na watalii moja kwa moja na...
  9. mama D

    Baba mzazi wa marehemu Milembe Suleman aongea mazito

    Mungu simama nasi, lea nasi baba, tunusuru na hili janga sisi na vizazi vyetu🙏 Viatu vya huyu baba havinitoshi === Marehemu Milembe Suleiman ambaye miaka kadhaa iliyopita alitrend mitandaoni kwa kumvisha pete mwanamke mwenzake ikiashiria anajihusisha na vitendo vya kisagaji, baba yake...
  10. mama D

    Mwekezaji kwenye uchimbaji wa dhahabu anahitajika

    Habari ya muda huu GreatThinkers Hili ni shamba la dhahabu lenye zaidi ya heka 35. Mwenye eneo ameshapata nyaraka zote zinazotakiwa toka wizara husika na upande wa geologist report - anayo ambayo aliipata toka kwa local company. Heka 5 tayari zimeshatengwa kwaajili ya uchimbaji (binafsi) na...
  11. mama D

    Kuhani na Mwalimu Musa Richard Mwacha akitoa darasa kwa mabinti na wanawake. Wanaume mnasemaje kuhusu hili!?

    Mimi nimekutana na malalamiko mengi na magomvi mengi ya mahusiano yanayotokana na hili. Hapa ndio pale mwenyezi Mungu aliwaambia wanaume waishi wanawake kwa akili. Usipotumia akili unaweza kuachwa sababu ya kukosa kazi na unaweza kuachwa sababu una kazi😁😁😁 Sisi ndio wanawake 😅😅 Cc...
  12. mama D

    Wanaume mnaowaingilia wanaume wenzenu, na wanawake kinyume cha maumbile arobaini yenu imefika!

    Watajwe na wakamatwe na kufungwa kifungo cha maisha. Hii ndio itaondoa hii dhahama ya ushoga na ulawiti Tanzania WATAJWE, WAKAMATWE NA WAFUNGWE JELA ULAWITI, USAGAJI NA USHOGA HAUKUBALIKI TANZANIA Asante cocastic
  13. mama D

    Uongozi Shirika la Posta na TTCL mkiweka kando utendaji wa kimazoea Mtatoa huduma bora zaidi badala ya kero kwa maslahi ya Nchi yetu

    Wakurugenzi wa haya mashirika mawili mnajidhalilisha sana na kudhalilisha nafasi mlizopewa pamoja na taaluma. Yaani mashirika yanafanya kazi kwa style ya kizamani mnoooooo. Kuna wakati inabidi mjikagaue msome alama za nyakati, anagalieni basi japo wengine wa nchi nyingine wanaofanya mnayofanya...
  14. mama D

    Ujumbe wa Tina kwa wanaume wachepukaji

    Muwe na jioni njema Kaka mkubwa anasema Interlacustrine R Mwenye macho na asome na kuelewa Mwenye maskio na asikie
  15. mama D

    Kuhani Musa Richard Mwacha ni Mwalimu bora kwa kizazi hiki kisicho na usikivu, kabla ya kukubali au kukataa tafuta kumjua na kuujua ukweli kwanza

    Niliwahi kuweka Uzi huku nikiuliza huyu mtumishi ni mtu wa aina gani, na kwa kuwa mimi napenda kufuatilia mafundisho mbalimbali yenye tija nimegundua 1. Kuhani Musa Richard Mwacha ni mtumishi wa Mungu na Mwalimu mzuri sana katika nyakati hizi kwa jamii yetu, ana mvuto au haiba ambayo inaweza...
  16. mama D

    Wazazi pangeni muwe na muda na watoto wenu - Archbishop Jude Thaddaeus Ruwa'ichi

    Usipomsikiliza wewe watakuja waharibifu watamsikiliza nae atawasikiliza Mwenye masikio na asikie
  17. mama D

    Wanaume mnaoongoza wake zenu vyema kwenye misingi ya dini na imani Mungu awabariki sana

    Kichwa cha mke☺☺ WAEFESO 5:23-25 Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili. Lakini kama vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo. Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye...
  18. mama D

    Tumshukuru Hayati Magufuli - Rais Samia

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Tanzania amemshukuru Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kwa uamuzi wake wa kutosimamisha shughuli za kiuchumi wakati wa janga la Covid 19 na kusema hatua hizo zimesaidia uchumi wa Tanzania kutoshuka kwa sana ukilinganisha na Mataifa mengine. Rais Samia amesema...
  19. mama D

    Mahubiri machungu na ya kutuponya toka kwa Kuhani na mwalimu Musa Richard Mwacha

    Vijana kuna tuition nzuri sana toka kwa Kuhani na Mwalimu Musa Richard Mwacha Mwanaume mwenye viwango vya juu kama kichwa cha familia. Big up kwa mwanaume yoyote mwenye bidii ya kazi. Eti umekula?? umekunywa maji?? Umelala??😂😂😂 Baadhi ya Watoto wa kike hawataki kutumia ubongo zao
Back
Top Bottom