Mbunge wa Ngara, Ndaisaba Ruhoro Amegawa TV Kwenye Vijiwe na Mabunge ya KAHAWA Wilayani Ngara ili Wananchi Waendelee Kupata Taarifa Muhimu
Mbunge wa Jimbo la Ngara Mh. Ndaisaba George Ruhoro anapenda kuujulisha umma na Wananchi wa Jimbo la Ngara kuwa anaendelea na Zoezi la ugawaji wa Television...
Vijana wanaochipukia katika Siasa nchini wanapaswa kujifunza kutoka kwa Dr Spika Tulia, Ackson, LLD (Mbunge) na Rais wa Mabunge yote duniani (IPU).
Hakika sisi Wana Mbeya Mjini tunajisikia wenye bahati Sana kupata HESHIMA hii.
Tofaut na miaka mingi iliyopita, Mbeya Mjini tumepata Msomi na...
Chama Cha mapinduzi chini ya mwenyekiti Ccm wilaya kipo kufanya maandalizi kabambe ya Kumpokea MBUNGE wao kipenzi Daktari.Tulia Ackson ambaye hapo jana amechaguliwa kwa kishindo kuwa RAIS wa umoja wa MABUNGE Duniani (IPU),wana Mbeya na msio Wana Mbeya mnakaribishwa Sana kuungana nasi,tarehe ya...
Dkt. Tulia Ackson amewakilisha vyema katika mdahalo wa kuomba kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge duniani IPU.
Tunamtakia kila la heri katika uchaguzi utakaofanyika kesho 27.10.2023
Mungu ibariki Tanzania
Umoja wa Afrika (AU) umeridhia kumuunga mkono Spika wa Bunge la Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (Mb) kuwa Mgombea pekee kutoka Bara la Afrika wa nafasi ya Urais wa Jumuiya ya
Mabunge Duniani (Inter-Parliamentary Union-IPU).
Uamuzi huo ulifikiwa katika Mkutano wa 43...
Hili bunge la bajeti ingawa bunge lenyewe lilishapoteza uhalali lakini nikiwa home huwa nafuatilia michango ya wabunge.
Kinachonikwaza Mimi najiuliza inakuwaje kwa dakika chache wanazopewa wabunge kutowa michango muda mwingi wanatumia kumsifu Rais, waziri na serikali?
Inawezekana Mimi ndio...
Habari za uzima ndugu zangu. Siku za hivi karibuni nimekuwa nikisikia neno "Bunge la Wananchi" najiuliza bunge hili lipo kisheria? Lilichaguliwa lini? Liliteuliwa lini na nani kwa madhumuni gani?
Naomba majibu ya maswali haya toka ama kwa Spika wa hilo Bunge au Wabunge wa hilo Bunge la "Wananchi".
Kwa mtu yoyote asiyehusika moja kwa moja na hii vita lazima atakuwa ana upande wake wa kushabikia. Ila jambo moja la wazi na pasi na shaka hii vita imekwamisha ustawi wa Uchumi wa Dunia nzima na kuhatarisha usalama wa kila Binadamu.
Hadi sasa ukiangalia taarifa za Urusi kila siku wanatoa...
Wadau!
Kama mjuavyo, kikatiba ni Mh. Rais wa nchi pekee aliyekuwa na kinga ya kutoshtakiwa. Lakini kwa siku za hivi karibuni listi imeongezwa kidogo ambapo MR, WM, JM, Spika na NS nao wana kinga ya kutoshtakiwa hata watakapokuwa wamestaafu. In short, ni "kinga ya maisha".
Kama tunavyojua...
Ukitaka orodha ya Mabunge yanayo pitisha sheria za hovyo basi Bunge la Tanzania hupaswi kuliacha kabisa.
Pale Dodoma Bunge limegeuka kuwa taasisi ya kupitisha kula kinacho pangwa na Serikali, haijawahi tokea wakakipinga hata ile ya kinafiki.
Kila kinachoplaniwa na Serikali lazima wakipitishe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.