anahitajika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Anahitajika kinyozi Dodoma

    Wakuu kama Kuna mtu unamfahamu Yuko Dodoma ni kinyozi anahitajika ,Kuna saloon ya kawaida inahitaji Kinyozi .ataachiwa ofisi awe anatoa kipande Kwa boss
  2. bless on

    JamiiForums Tanzania Sonara anahitajika

    Anitengenezee Kitu kama hichi kiwe Cha silver anipe na gharama yake kwa Sasa kinahitajika kimoja haraka Lakini baadae vitahitajika vingi.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kinyozi anahitajika dodoma

    Kinyozi anahitajika dodoma akabidhiwe ofisi.kama uko interested nicheki PM
  4. SheriaE

    JamiiForums Tanzania Mchumba anahitajika kwa ajili ya ndoa ndani ya mwaka mmoja.

    Habari wakuu, Mimi ni mwanaume wa miaka 27, muajiriwa serikalini. Mrefu kiasi na mweusi. Mkristo Ombi langu kwenu ndugu zangu nahitaji mwanamke ambae atakuwa mchumba kwa lengo la ndoa baadae. Kwa yeyote ambae ako tayari tuwasiliane DM au kama mtu anadhani atanifaa pia anakaribishwa DM. Sifa...
  5. Slim

    JamiiForums Tanzania Rafiki Wa kike anahitajika kuanzia miaka 35 kuendelea tuienjoy tu akiwa sio mwanasiasa itakuwa vizuri zaidi dm me

    urafiki ni upendo, mawazo na utulivu.
  6. Digital base

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mtu wa mauzo ya bidhaa za Afya mtandaoni (kazi ya kudumu)

    Tunatafuta mtu wa mauzo wa muda wote atakayeweza kushughulikia na kuwasiliana na wagonjwa, kufanya ufuatiliaji, na kuwashawishi wateja kupitia simu na mitandao ya kijamii kama WhatsApp. Mtu anayeweza kuwasiliana kwa simu na kufanya ufuatiliaji mara kwa mara atapewa kipaumbele. Kazi hii ina...
  7. Buzaniye JA

    JamiiForums Tanzania Finance Manager Anahitajika

  8. DEFENDAX

    JamiiForums Tanzania MKE ANAHITAJIKA

    Nahitaji mke alie serious kuna mke dini awe Muislam miaka asizid 24 mimi umri wangu ni miaka 29 niko serious Nahitaji mwenza wa maisha 🥀 mwenye Uhitaji na mwenye sifa hizo aje DM.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Dereva bajaji Dodoma

    Habari anahitajika dereva wa bajaji (used ) ya mkataba. Dodoma mjini mkataba ni mwaka mmoja. Vigezo - Awe na leseni -Mdhamini mmoja Kwa yeyote aliye tayari anicheck whatsapp 0743315931 Deadline 1/06/2026
  10. R

    JamiiForums Tanzania Videographer anahitajika

    VIDEOGRAPHER ANAHITAJIKA Tunatafuta Videographer mwenye ubunifu na uelewa wa graphics/editing kwa ajili ya kutengeneza video zenye ubora wa juu(Social Media Contents). Sifa: Ujuzi wa kupiga video (shooting) Uelewa mzuri wa editing na graphics Awe mbunifu na makini kwenye detail Malipo...
  11. Streptokinase

    JamiiForums Tanzania Fursa: Dereva bolt/uber wa gari anahitajika

    Anahitajika dereva mwenye leseni ya gari na mwenye account ya bolt aliye na uzoefu wa kuendesha bolt Dar es salaam. Gari iliyopo inatumia mfumo wa gas, malipo ni kwa hesabu ya siku sio ya mkataba. Aliye tayari anicheki Dm. ===== Update: Dereva amepatikana
  12. Kamnyomo

    JamiiForums Tanzania Project partner au mwajiri karibu

    Habarini... Kuna kijana mzoefu na mchapakazi sana mwenye ujuzi wa kilimo cha kisasa cha mazao ya mbogamboga pamoja uzoefu wa kutosha katika ufugaji wa kuku wa kienyeji, Anatafuta mdau mwenye shamba wafanye project au mwajiri wafanye kazi pamoja. Yupo tayari kufika popote now yupo Kibaha.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa darasa la kwanza/pili anahitajika

    Habari za mchana? Shule ya English Medium iliyopo Pongwe,Tanga jiji. Ina nafasi ya mwalimu wa darasa la kwanza na la pili. Sifa Awe anajua kufundisha masomo husika Awe na upendo kwa watoto Awe na uzoefu na kazi husika. Mawasiliano infotanzaniaa@gmail.com Au ni PM
  14. W

    JamiiForums Tanzania Anahitajika muhasibu

    Fursa ya ajira kwa wahasibu.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Polisi inafanya uchunguzi kutokana na taarifa ya Hilda Newton aliyochapisha kuwa Serikali imepanga kumuua Lissu kwa Risasi

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa kukusanya ushahidi kutokana na taarifa ya Hilda Newton aliyochapisha na kusambaza katika Mitandao ya Kijamii tarehe 10.4.2026. Taarifa hiyo ilikuwa inasema pamoja na mambo mengine kuwa, Serikali imepanga kumuua Mhe. Lissu kwa risasi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana ,mchapakazi, mwenye uzoefu na shughuli za Library

    Natafuta kijana (anayejielewa),mchapakazi, mwenye uzoefu na shughuli za Library,anicheki ili tufungue ofisi. Atatafuta location bora ambayo kazi itaenda,atanipa mchanganuo wa vifaa vinavyohitajika,then mi nitashghulika na gharama zote ZA AWALI.ITAKUA NI KAZI YA HESABU! Means kila siku atanipa...
  17. beatboi

    JamiiForums Tanzania Anahitajika kijana wa Car wash haraka

    Anahitajika kijana wa Car wash haraka, Mwenye uzoefu na mwaninifu.
  18. N

    JamiiForums Tanzania Dereva bajaji ya mkataba anahitajika

    Dereva bajaji kwa mkataba anahitajika 1.Awe anaishi na kufanyia route Kigamboni 2.Awe na mdhamini mwenye makazi ya kudumu 3.Awe na leseni 4.Awe anafanya bolt 5.Awe mchapakazi na mwaminifu Mawasiliano:0757208745/0617984818
  19. D

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Gynaecologists mzuri Jijini Dar

    Habari ya asubuhi wadau. Tafadhali nahitaji msaada wa kufahamu wapi ninapoweza kupata Daktari bingwa mzuri wa magonjwa ya wanawake (Gynaecologists) , either ana hospitali binafsi , Polyclinic au anahudumu katika hospitali binafsi au serikali. Nikipata Jina au hata mawasiliano yake nitashukuru...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Kinyozi wa saluni ya kiume anahitajika Kigamboni

    Habari. Natafuta kinyozi wa saluni ya kiume ambaye atakua pia msimamizi iliyopo Kigamboni Geza ambaye tutalipana kwa mtindo wa hesabu. Aliye tayari na mwaminifu anicheki inbox.
Back
Top Bottom