kando

Kálmán Kandó de Egerfarmos et Sztregova (egerfarmosi és sztregovai Kandó Kálmán; 10 July 1869 – 13 January 1931) was a Hungarian engineer, the inventor of phase converter and a pioneer in the development of AC electric railway traction.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM Taifa, Khamis Hamza Chilo, Amewataka wana CCM Wilaya ya Ilala Kuondoa Makandokando na Kujenga Mshikamano.

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Taifa, Khamis Hamza Chilo, amewataka wana CCM Wilaya ya Ilala kuondoa makando kando na kujenga mshikamano kuakikisha CCM inashika dola. MNEC Khamis Hamza Chilo alisema hayo kata ya Ilala katika mkutano mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya chama...
  2. sky soldier

    Pongezi kwa Zakazakazi kuufafanua mgogoro wa Israel na Palestina kwa facts na kuweka udini pembeni

    asili ya mgogoro huu siyo dini bali ni ardhi. Wanagombania ardhi ya kuiita nyumbani, hawagombanii dini. Israel ni nchi moja inayokaliwa na watu ambao hawajakubaliana kuishi pamoja, wayahudi na waarabu ambao ndiyo wapalestina, eneo lao ni hilo lenye vidoti doti vya kijani, na sehemu iliyobaki...
  3. N

    SoC03 Uthubutu na kuiweka hofu kando, kila kitu kinawezekana

    Haujambo mwafrika, haujambo mtanzania? Katika jukwaa la stori za mabadiliko, ninayo furaha kubwa kuwasalimu kwa jina la mtanzania na muwe na amani hata milele Amina. Niko na wazo langu, ambalo kupitia jukwaa hili, huenda likaleta mabadiliko kwenye jamii yetu ijapo hata kidogo tu. Nina uliza...
  4. R-K-O

    Makabila haya, yanaweza kuwa na makando kando mengine lakini suala la uchawi ni nadra kwao

    MUHIMU: Hakuna kabila lisilo na Tambiko, HAKUNA !! matambiko mpaka leo hii hufanywa na kila kabila na sanasana ni zile koo za kichifu lakini bado ni tofauti kabisa na uchawi huu tunaozungumzia hapa wa kurogana, kutupiana majini, malimbwata, kuwanga usiku, n.k. Uchawi umekuwa ukisumbua jamii...
  5. Nyendo

    Tangu sifa za makalio ziimbwe mabinti akili zimekwisha, maadili wameweka kando

    Tangu wanaume wawaimbie sifa za kuwa na makalio makubwa wanawake ndio wenye soko mjini na vijijini mabinti wamelewa sifa hizo na akili wameweka kando wamebakiza makalio, yawezekana ndio ujana wa sasa ulivyo ila je wamewahi fikiri haya wanayoyafanya sasa huko mitandaoni kama wataweza kutamani...
  6. D

    Plot4Sale Shamba heka 18 zilizopimwa kando kando ya ziwa viktoria kuelekea Nyanguge km 8 kutoka barabarani linauzwa

    Eneo kubwa heka 18 za ardhi kandokando ya ziwa viktoria lenye mifugo, vizimbwi vya samaki,malambo linauzwa kwa usd 300000 piga simu 0739290084 au 0622290084. Bei inaweza kupungua. Ni zuri kwa hotel,apartment,mifugo,kilimo nk.
  7. mama D

    Uongozi Shirika la Posta na TTCL mkiweka kando utendaji wa kimazoea Mtatoa huduma bora zaidi badala ya kero kwa maslahi ya Nchi yetu

    Wakurugenzi wa haya mashirika mawili mnajidhalilisha sana na kudhalilisha nafasi mlizopewa pamoja na taaluma. Yaani mashirika yanafanya kazi kwa style ya kizamani mnoooooo. Kuna wakati inabidi mjikagaue msome alama za nyakati, anagalieni basi japo wengine wa nchi nyingine wanaofanya mnayofanya...
  8. K

    Mateso wanayopata wananchi wanaoishi kando kando ya shamba la mifugo la Utegi

    Shamba la mifugo la Utegi kisheria ni shamba la vijiji vinavyoizunguka shamba hilo na walipewa na Serikali baada ya kuilipa Serikali jumla ya Tshs.90,000,000 (millioni tisini). Na kama nasema uongo, naomba kusahihishwa. Awamu ya Tano ilipoingia madarakani, iliichukua shamba hili bila kukaa na...
  9. D

    TANROAD barabara ya Bagamoyo Mbezi Tegeta kwanini mnafyeka majani ya kando ya barabara kwa greda na kuziba mitaro?

    Sijui kama hili limekaa kitaalam sana au kipigaji! Kwa taarifa za Mamlaka ya hali ya hewa! Baada ya wiki mbili kutakuwa na mvua! Ukipita barabara ya bagamoyo kuanzia eneo la mbezi kuelekea tegeta! Yale majani ya pembezoni mwa barabara wanayakwangua na greda! Kama tunavyojua greda husukuma...
  10. M

    Kitenge: Rais Samia, Mawaziri wanautaka urais 2025 waweke kando kabla ya Oktoba 30, 2022

    Mtangazaji maarufu nchini, Maulid Baraka Kitenge amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kama ikimpendeza kuwaondoa haraka kwenye Baraza la Mawaziri mawaziri waliotajwa kwenda nje ya nchi kusaka fedha kutaka kumuondoa 2025. CHANZO: EFM uchambuzi wa Magazeti Oktoba 26,2022
  11. Chachu Ombara

    Kiteto: Mwili wa mtu asiyejulikana wakutwa umefukiwa kando ya barabara

    Jeshi la Polisi wilayani Kiteto mkoani Manyara, limefukua mwili wa mtu mmoja ambaye hajafahamika ukiwa umeharibika vibaya huku ukiwa umezungushiwa mfuko aina ya salfeti na kufukiwa chini katika kijiji cha Mbigili, Kata ya Partimbo. Tukio la kufukua mwili huo limefanyika hii leo Oktoba 12, 2022...
  12. May Day

    Shule ziwe na "madarasa kando" kwa ajili ya Wanafunzi Wabunifu

    Dunia inaenda kasi sana na hakuna wa kumsubiri mwingine eti ndio tuende sawa. Ni dhahiri kuwa Mataifa yaliyoshika hatamu za dunia hii wao wamewekeza sana kwenye sayansi na teknolojia, gunduzi mbalimbali zinazofanywa na Wananchi wao ndio zinazogeuzwa bidhaa na wengine tuliobaki tunakuwa Wateja...
  13. MK254

    Kando na HIMARS kuna hii nyingine inayomtesa Mrusi kimya kimya inaitwa Excalibur

    Ina mapigo kama ya HIMARS ila mizinga yake haikosei shaba..... America has sent Ukraine its "most accurate artillery shell", a high-precision GPS-guided munition called Excalibur, Pentagon budget documents have revealed. Previously undisclosed documents, dated last month, show that the US...
  14. B

    Kontena linapangishwa mabibo

    Kontena la ft 20 linapangishwa....lipo kando ya barabara ya lami( inaangaliana na barabara) mabibo Makutano. Kodi 90000 kwa mwezi. Linafaa kwa matumizi ya biashara mbalimbali mf duka, stationery,mgahawa n.k Mazungumzo yapo. Hakuna dalali mmiliki ni mimi mwenyewe. 0685510781
  15. GENTAMYCINE

    Ni kwanini Mke / Mchumba wa Mtu akijua unajua Siri zake za Mpango wa Kando atahangaika mpaka ufanye nae Mapenzi?

    GENTAMYCINE nimeshakugumia (kutana nawe kwa bahati mbaya) zaidi ya mara Saba (7) katika Loji na Gesti mbalimbali ukitoka Kubanduliwa na Wanaume tofauti tofauti na nikakuhakikishia kuwa usiwe na wasiwasi nitakutunzia Siri zako hizo lakini bado huamini na unahangaika kwa kila namna Kunitega ili...
  16. J

    Tajiri Roman Abromavich akabidhi timu ya Chelsea kwa Bodi ya Wadhamini wa club hiyo

    Tajiri wa kirusi Roman Abromavich anayemiliki club ya Chelsea ya England ameikabidhi timu hiyo kwa Bodi ya wadhamini kufuatia vikwazo vya kiuchumi ilivyowekewa nchi yake. Source: BBC ---- Mmiliki wa Chelsea FC, Roman Abramovich ametangaza kujiweka kando na majukumu ya uongozi ndani ya klabu...
  17. Tony254

    Wadau, tuweke vita kando kidogo tusherehekee habari njema kwamba Biashara kati ya Kenya na Tanzania inakaribia kufika 1 billion dollars

    Wadau huwa tunapigana vita sana huku lakini ukweli usemwe kwamba nchi hizi mbili zikiweka vita kando tunaweza kufanya biashara nzuri sana. Baada ya miezi 11, biashara kati ya Kenya na Tanzania imefikia 905 million dollars na hapo ikumbukwe kuna mwezi moja bado haujahesabiwa. Rais wenu yule...
  18. M

    Nilivunja kimdoli cha kibata kando ya barabara nikapigwa kwenzi

    Sisemi vibaya! Ila hawa ndugu zetu ni wababe sana kwa watembea kwa miguu! Majuzi juzi tu natoka Msimbazi napita kando ya barabara nakumbuka kulikuwa na mdada anauza korosho na karanga, kwa mbele kidogo kulikuwa na mauzo ya kapeti ya mnada! Kumbe lile kapeti kwa mbele bwana kuna jamaa anauza...
Back
Top Bottom