zumaridi


  1. N

    Mfalme Zumaridi ni Nani?

    Wadau , jana katika kupoteza poteza muda na TV .. Nikakutana na mwanamama mrembo anajiita mfalme Zumaridi wa kule Mwanza....kwa kweli nimeshangaa mpaka basi....yeye anasema anaponya kwa kupitia maono ya Mungu... Halafu tofauti yake na watumishi wengine ni kwamba yeye wote anaowahudumia...