energy

In physics, energy is the quantitative property that is transferred to a body or to a physical system, thus enabling the performance of work and the generation of heat and light. Energy is a conserved quantity; the law of conservation of energy states that energy can be converted in form, but not created or destroyed. The unit of measurement in the International System of Units (SI) of energy is the joule, which is the energy transferred to an object by the work of moving it a distance of one metre against a force of one newton.
Common forms of energy include the kinetic energy of a moving object, the potential energy stored by an object's position in a force field (gravitational, electric or magnetic), the elastic energy stored by stretching solid objects, the chemical energy released when a fuel burns, the radiant energy carried by light, and the thermal energy due to an object's temperature.
Mass and energy are closely related. Due to mass–energy equivalence, any object that has mass when stationary (called rest mass) also has an equivalent amount of energy whose form is called rest energy, and any additional energy (of any form) acquired by the object above that rest energy will increase the object's total mass just as it increases its total energy. For example, after heating an object, its increase in energy could in principle be measured as a small increase in mass, with a sensitive enough scale.
Living organisms require energy to stay alive, such as the energy humans get from food and oxygen. Human civilization requires energy to function, which it gets from energy resources such as fossil fuels, nuclear fuel, or renewable energy. The processes of Earth's climate and ecosystem are driven by the radiant energy Earth receives from the Sun and the geothermal energy contained within the earth.

View More On Wikipedia.org
  1. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Hivi vidhibitiwe: Energy drinks, pombe kali(visungura), dawa za kuua wadudu kwenye mboga mboga na matunda, SHISHA

    Nimeona mnaongelea dira ya 2050 kuhusu kuboresha AFYA za wananchi kuwa na TAIFA lenye wananchi wenye AFYA.. Kama hilo halitaendana na KUDHIBITI bidhaa za vyakula 1)energy drinks 2)pombe kali VISUNGURA 3)dawa za kuulia wadudu kwenye mboga mboga sokoni (nunua nyanya sokoni peleka maabara kwa...
  2. stephenga

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna deodorant inaizidi Nivea Fresh Energy?

    Miaka mingi sasa natumia hii deodorant, na kwangu imekuwa bora kuliko zote nilizowahi kujaribu. Nimeshatumia Old Spice, Gillette, Adidas, Fa na nyingine kadhaa, lakini bado Nivea Fresh Energy ndiyo inanifaa zaidi. Harufu yake ni laini na safi, si kali, haisababishi kero wala chafya, na haiachi...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Trader Namaro Energy corners fuel imports

    The government's reorganisation of petroleum supplies has seen this company emerge as one of the most influential players in the sector. Owned by the powerful Nahdi family, which has close ties to the government, the group has won the majority of recent tenders. MY TAKE Namaro Energy...
  4. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Azam Energy hawaoneshi kiwango cha caffeine kilichopo kwenye vinywaji hivyo?

    Ningependa kuibua hoja kuhusu vinywaji vya Azam Energy Drink, ambavyo havionyeshi wazi kiwango cha caffeine kilichomo katika kila chupa. Ninaomba mamlaka husika pamoja na wazalishaji wa bidhaa hii kushughulikia suala hili kwa kuweka taarifa sahihi na wazi kwenye vifungashio. Watumiaji wana haki...
  5. PAYE

    JamiiForums Tanzania Dar: DCEA yakamata Energy drink zenye kemikali ya Bangi

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imebaini na kukamata makopo 122 ya vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) vyenye kemikali ya THC, inayopatikana kwenye dawa za kulevya aina ya bangi, katika operesheni iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Vinywaji hivyo vyenye chapa...
  6. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Video: Jinsi Energy drinks zinavyo chakaza mwili na kuua nguvu za kiume mazima.

    salaam, Wakuu kizazi hiki tunaangamia huku tunachekelea. Nimekutana na video ticktock MADHARA YA HIZI ENERGY. Oya weka dhamira ya kuachana nazo. Tazama mwenyewe link hapo chini https://vt.tiktok.com/ZSQEygmWJ/
  7. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Uponyaji upo ndani mwako,ukifika level ya pili ya ufahamu magonjwa, umasikini, wachawi,tamaa ya ngono,ulevi na negative energy zote ukaa mbali na wewe

    Uponyaji upo ndani mwako,ukifika level ya pili ya ufahamu magonjwa, umasikini, wachawi,tamaa ya ngono,ulevi na negative energy zote ukaa mbali na wewe kwa sababu wewe ni adui.
  8. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Energy & Frequency

    Watu wengi huchanganya, FREQUENCY NA ENERGY Ngoja nikueleze hapa kwa lugha rahisi : Energy ni nguvu. Kila kitu duniani kina energy. Mwili wako una energy. Maneno yana energy. Mawazo yana energy. Hata sehemu unazotembelea inaweza kuwa na energy nzuri au mbaya. Ndiyo maana: Kuna watu ukikaa...
  9. Archival Sense

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda UEDCL boss sacked!

    (Image courtesy of Daily Monitor) Government has effected sweeping leadership changes at the Uganda Electricity Distribution Company Limited (UEDCL), terminating the contract of Board Chairperson Lydia Ochieng-Obbo and sending Managing Director Paul Mwesigwa on forced leave as part of what...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi, Makamba Wakutana na Viongozi wa Puma Energy Tanzania

    Waziri wa Nishati Mhe. Deogratius Ndejembi na Naibu Waziri wa nishati Mhe. Salome Makamba wakiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Puma Energy Tanzania. Bi. Fatma Abdallah pamoja na Mkuu wa Idara ya Sheria na Mahusiano wa Puma Energy, Bw. Emmanuel G. Bakilana
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Energy CS Wandayi: I have no reason to resign over fuel scandal

    Energy Cabinet Secretary Opiyo Wandayi has dismissed resignation calls following the Ksh. 4.8 billion fuel shipment outside the Government-to-Government (G-to-G) framework. “There is no reason to stop me from continuing to discharge my duties as cabinet Secretary,” he told the Parliamentary...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Puma Energy Tanzania Yaongeza Nguvu ya Ushirikiano Kupitia Futari ya Ramadhani

    Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam, Februari 27, 2026: Kampuni ya Puma Energy Tanzania imeandaa futari maalum kwa wateja na washirika wake ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha mahusiano na kuonesha shukrani katika mwezi mtukufu wa Ramadhani. Mkusanyiko huo uliwakutanisha wateja, wadau pamoja...
  13. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uganda Signs Deal to Join Kenya Pipeline IPO, Strengthening Regional Energy Ties

    Uganda has officially joined the Kenya Pipeline IPO. Energy Minister Ruth Nankabirwa Ssentamu signed the agreement confirming Uganda’s participation, sealing a Ksh106 billion stake in Kenya Pipelines’ Initial Public Offer, marking a big step in regional energy cooperation. So what does this...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti ya Energy iliyopo mchana na usiku

    Kwa wale mnaokumbuka miaka 90 kurudi nyuma na nyuma kulikuwa na masafa kwa upande wa redio AM,SHORT WAVE na kwenye VHF. Ikifika usiku kwa upande wa redio Ukiweka SHORT WAVE unapata redio zilizopo ulaya ikifika usiku ila mchana ni ngumu.Na hata tv za zamani zilianza usiku kuonekana. Nimeanza...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Raddy Energy ya Tanzania kununua mitambo ya uzalishaji umeme kutoka Uswidi kwa Dola Milioni 320

    Kampuni ya Raddy Energy Solution Limited ya Tanzania imeingia makubaliano ya kununua mitambo minne ya kuzalisha umeme kwa njia ya gesi asilia wa jumla ya megawati 177 kutoka kampuni ya Siemens Energy ya Uswidi (Sweden) kwa thamani ya dola za Marekani milioni 320. Ununuzi wa mitambo hiyo...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Raddy Energy ya Tanzania Kununua Mitambo ya Uzalishaji Umeme Kutoka Kampuni ya Siemens ya Uswidi Kwa Dola Milioni 320

    Kampuni ya Raddy Energy Solution Limited ya Tanzania imeingia makubaliano ya kununua mitambo minne ya kuzalisha umeme kwa njia ya gesi asilia wa jumla ya megawati 177 kutoka kampuni ya Siemens Energy ya Uswidi (Sweden) kwa thamani ya dola za Marekani milioni 320. Ununuzi wa mitambo hiyo...
  17. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Energy drink nyingi za Metl huku mtaani zimeexpire halafu wanaandika expired date kihuni kuhalalisha ujinga wao

    Za mchana Hii kampuni kama inaongozwa na mataahira yani expired date kwenye bidhaa yao ya Mo energy huwezi isoma hata utumie darubini au microscope ya umeme. Huu uhuni wanafanya kwa ajiri ya kumkomoa nani? TBS mpo wapi mpaka watu wafe au wapate madhara kwa wakati mmoja ndo mtawachukulia sheria...
  18. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Taifa la Tanzania linahitaji "inner engineers" wakati huu kuliko wakati wowote ule: Tumevuta nguvu hasi " negative energy" kwa kiwango kikubwa sana

    Wapo wapi "Mystic figures" wa Kitanzania wakati huu?. Yapo wapi mafundisho na mafunzo ya kujitambua badala ya kutambulishwa? Wapo wapi watu watakaosaidia wasijua kusudi la uwepo wao kulijua kusudi hilo kama anavyofanya Sdhguru India?. Je tuna tayari wa kuwasikiliza? Wapo wapi watu watakaofunua...
  19. W

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Matumizi ya Chai ya rangi, pepsi, coca na Energy drink baada ya kufanya mapenzi inazuia mimba

    Watu wengine wanaamini kwamba ukinywa soda nyeusi (cola), kuchemsha majani ya chai mengi kisha uyanywe au energy drink mara baada ya tendo la ndoa, mbegu za kiume hufa tumboni na hivyo mimba inazuilika. Nilishangaa zaidi kuwa kuna mtaalamu wa afya pia aliwahi kueleze kuhusu hii ishu. Sikumuamini...
  20. curie

    JamiiForums Tanzania Jitengenezee energy ya asili nyumbani

    Kinywaji cha Asili cha Kuongeza Nguvu na Hamu Viungo: Asali vijiko 2 Tangawizi safi kijiko 1 (iliyokunwa) Kitunguu swaumu punje 2 (zikachunwacho vizuri) Juisi ya tikiti maji kikombe 1 Parachichi nusu (iliyoiva vizuri) Korosho au njugu kikombe kidogo (karibu 10 – 12) Jinsi ya...
Back
Top Bottom