machungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. bless on

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu wa Mapenzi: Kutoka Dopamine Hadi Machungu

    Wanawake Ukiwanyima Tu pesa Kauli Inayofuata Ni "Wanaume Wote Ni Mbwa" Hii kauli Ilitokana Na Mapenzi Watu wanajiua Kisa mapenzi Laiti haya Mapenzi yangekuwa mtihani wa taifa wengi tungekuwa tunarudia darasa kila mwaka Na ndio maana wanakwambiya Mapenzi Hayana Mwenyewe. Wengine wakati Tumeingia...
  2. idiomer

    JamiiForums Tanzania Maisha yanazidi kuwa machungu kwa hizi nauli mpya

    Baadhi ya taasisi watumiaji wa daladala kupata shida mfano walimu, madaktari, na wanafunzi kuchelewa kwenye vituo vyao. Leo asubuhi wasafirishaji wa wanafunzi kutoka mabibo hostel Wagoma
  3. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Mwangaza Uliozimwa – Safari ya Mkombozi na Mwisho Wake Wenye Machungu

    Mwangaza Uliozimwa – Safari ya Mkombozi na Mwisho Wake Wenye Machungu Ndugu zangu, wenzangu, wapenzi wa haki na uwajibikaji, Leo, tunakutana hapa kwa mioyo mizito na roho zilizojaa huzuni. Tunakutana kuzungumza kuhusu kisa ambacho kinatuacha na maswali mengi yasiyo na majibu, kisa...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mayele najua unataka kurudi Tanzania kwakuwa huko una Furaha ila nakuomba baki piga Hela usirudi Bongo kwani Utatuzidishia tu Machungu Sisi Lia Lia SC

    Baada ya kumsikia Mtu wako wa Karibu akisema unataka Kurudi Tanzania namtafuta Mganga akufunge Akili usirejee TZA.
  5. Dear_me_

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya Tabasamu Kuna Machungu Yasiyoelezeka. Tumebeba Ndoto za Wengi Nyuma Yetu

    Wakuu mambo vipi Kuna muda unakaa unawaza hakuna muda uliwahi kuishi kwa furaha unahisi shida ulizopitia ni nyingi kuliko siku za furaha na maisha nyumbani sio mabaya sana wazazi wote wapo ila tu unataka upambane mwnywe kwa ajili ya maisha. Yako 🌍 Kuna watu wanatoka familia ambazo wazazi wao...
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Aliyemwagiwa tindikali na CHADEMA afunguka 'Nilikuwa naitumikia chadema kwa uaminifu, sikuamini wangeniua kwa machungu ya ndani'

    ALIYEMWAGIWA TINDIKALI NA CHADEMA AFUNGUKA: "Nilikuwa Naitumikia CHADEMA kwa Uaminifu, Sikuamini Wangeniua Kwa Machungu Ya Ndani" Dar es Salaam, Tanzania – Juni 17, 2025 Katika kile kinachoonekana kuwa sura nyingine ya giza ndani ya chama cha upinzani CHADEMA, kijana aliyekuwa mshabiki na...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Haya ndio mateso matano yanayotesa watu wengi, kila mtu huyapitia kwa namna na jinsi yake, ni ngumu kuyakwepa

    MAHUSIANO - Kuna watu wanapigania sana mahusiano yao yasivunjike, kuna waliochoka na mahusiano wanatafuta mlango wa kutokea lakini hawauoni mlango wa kutoka, wengine wana kiu ya mahusiano wanautafuta mlango wa kuingilia lakini hawauoni, watu wanasalitiwa na kuachiwa vidonda vya milele, mtu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naumaliza mwaka Kwa machungu ya kuachana na mwanaume wangu niliyempenda sana

    Hello wakuu, Nimeona nishare sababu niko katika hali mbaya. Mawazo mabaya ya kujidhuru yananijia kichwani. Sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye. Kila kitu kilikuwa vizuri, ghafla akakata mawasiliano. Wiki 3 sasa nikimpigia hapokei, sms hajibu. Nimehangaika, nikaongea na dada na kaka yake...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kupisha machungu ya ndugu kupotezwa au kuuawa kwa sababu za kisiasa kwanini tusikubaliane walioko madarakani wadumu milele?

    Ni machungu kiasi gani kwa familia za waliopotea au kuuwawa kwenye kadhia hizi za kisiasa? Ni familia ipi inaweza kuhalalisha unyama huu kutokea katika familia yao? Imekuwa ni kawaida watu kupotea au kuuwawa kwa sababu za kisiasa, huku kukiahidiwa chunguzi zisizokuwa na majibu. Kwamba haya...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kwa machungu nasema 'Kwaheri mji wangu Dar es Salaam'

    Kama maudhui ya mada yangu inavyosema, nimeona nikubali hali ya sasa ya maisha yangu na jiji la Dar es salaam. Kwa kukubali Dar es salaam sio tena ule mji au jiji niliwahi kuishi na kuwa na marafiki na ndugu. Baada ya kukulia, kusoma na kufanya kazi jijini Dar es salaam tangu nilivyozaliwa...
  11. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Viongozi Waliokuwa Ndugu wa Giza: Safari za Damu na Machungu

    Ndugu wa Giza ni maneno yanayofaa kuwataja viongozi hawa, waliotumia mamlaka yao kama mapanga makali kukata haki na ustawi wa watu wao. Kila mmoja wao aligeuka kuwa kivuli cheusi kilicholeta maafa makubwa katika historia ya ulimwengu. Hawa ndio viongozi waliotumbukiza dunia katika jahanamu ya...
  12. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Kama haujawahi kupitia machungu makali ya maisha usiwabeze na kuhukumu kirahisi wanaojitafuta kwa njia ambazo zinaoekana ni mythical.

    Angalau hajakukaba kukupora au kufanya ujambazi wa unyama kupelekea mauti ya ndugu yako. Hivi unadhani kuna mtu yuko tayari kupoteza nafasi ya kuhudimia familia bila ya kuwa omba omba na mfalme wa madeni. Shida na tabu zinachaganya nyie sio hizo mlizonazo na unajua at some point unafuu una...
  13. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Mhadhara wa Uprofesa: Machungu ya MV Bukoba, Dola na soko

    Katika tukio la kipekee ambalo linakipa Kiswahili nafasi iliyopokwa siku nyingi ni tukio la muhadhara wa uprofesa kuendeshwa Kwa lugha ya Kiswahili. Mchango mkubwa wa Profesa Mkandala katika hili siyo jambo dogo. Ni dhahiri kuwa ana mchango mkubwa yeye binafsi na kupitia historia yake ya...
  14. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Maisha matamu ila mapenzi yamekuwa machungu kama kitunguu swaumu

    Mungu awe nanyi, Dunia Ina mengi matamu tumeishi nyakati zote tunaona utamu wa Dunia ila kwa sasa mapenzi yamekuwa Machungu sana, bila pesa wanaume tumegeuka vibwengo watazamaji wa miili minono ya wanawake ikipita barabarani, ukijikaza kidogo tu swali la kitaifa linakuhusu. Una shingapi? Hii...
  15. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya bank za kibiashara aliyokuwa anakopa Magufuli machungu yake ndio yanaonekana sasa

    Kwenye hii dunia ili ushindane na mzungu inahitaji uwe na akili kubwa sana ya kufikiria mbali ukishindana na mzungu kwa hisia ni swala la mda tu utaumia sana RAIS Magufuli alitumia hisia kushindana na wazungu Wakati Magufuli kaamua kuchukua mikopo bank binafsi watu tulilaani sana ila wako...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kila napopata machungu ya Man Utd huwa narudi kuangalia hii picha kukumbukia ya kale.

  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Walinzi (Makomandoo) na Wapishi wa Simba SC mliokuwa zamu Derby ya Novemba 5, 2023 Albadiri itatulipia machungu yetu kwa usaliti wenu

    Jamaa kweli Walituweza kila Kona kuanzia kwa Wachezaji Watano ( japo Wawili Kipa na Fowadi wamesamehewa na Wengine Watatu wakilindwa ili Kutuzuga Mashabiki na huenda leo Wasipangwe au Wapangwa baadhi au Wakaishia tu Bench ) kisha wakaenda hadi kwa Viongozi Wawili ambao hawapatani Mmoja akiwa na...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Niko netflix naangalia doc ya Beckham ili kupozea machungu ya Man Utd

    https://www.netflix.com/us/title/81223488?s=a&trkid=13747225&trg=cp&vlang=en&clip=81728489 Jamaa nilimu idolize sana miaka ile hadi nikawa napiga cross kama zake mpirani
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CCM mlizoea kufanya siasa za Michongo na CHADEMA ili wawalegezee na kuendekeza usanii. Wamekaza kiduchu tu mmesikia machungu

    Naona mwenyekiti wenu analalama kuwa haheshimiwi. Haheshimiwi vipi? Mlitaka wapinzani wakae kimya wakati wanaona kuna madudu? Mkataba wa bandari na usimamizi mbovu wa rasilimali za taifa zinawacost. Ukweli ni kuwa wamepata pa kuwashika.
Back
Top Bottom