mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,760
- 35,205
Habari ya muda huu GreatThinkers
Hili ni shamba la dhahabu lenye zaidi ya heka 35.
Mwenye eneo ameshapata nyaraka zote zinazotakiwa toka wizara husika na upande wa geologist report - anayo ambayo aliipata toka kwa local company.
Heka 5 tayari zimeshatengwa kwaajili ya uchimbaji (binafsi) na wanapata ila vifaa sahihi vya kazi bado ni changamoto. Na hapa ndipo linapokuja swala la kutafuta mwekezaji ili ku
Najua kwamba kampuni kubwa za nje ndio wenye nguvu ya kufanya haya mambo lakini pia naamini hapa jukwaani kuna wadau, wataalamu na wazoefu wa hii sector, wanaoweza kutoa ushauri wenye faida kwa mhusika.
Nawasilisha