mume wake

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. LIKUD

  Ya Metacha na mke anaemfanyia jeuri mume wake wa ndoa

  Ukiona mke wako anakufanyia jeuri /kiburi Wala usifikiri anazuzuliwa na MTU maana... Kanakuwaga kajinga jinga Fulani hivi kasiko Na mbele Wala nyuma. Ukitaka ku prove ninacho kwambia, wewe ukiona analeta jeuri muache aende zake tafuta mwanamke mwingine Kazi iendelee. Metacha Kwa jeuri Na...
 2. A

  Hii ni mboga iliyopikwa na mke wa ndoa kwa mume wake

  Kuna watu wanaishi maisha magumu duniani.
 3. mzee wa kasumba

  Nimenyong'onyea baada ya kusikia mume wake alifariki

  True story. Hapa mjini kwetu bana Nina bahati ya kutembea na wadada wauza migahawa na CHAKULA. Nadhani sijui ipoje hii, Kuna aina fulani ya Wanawake ukiwa na upepo nao basi ukimtongoza hatoki (Nikija daslama nitamjaribu shilole) Basi bwana Huku na huku, huku na huku, nikafahamiana na mdada...
 4. Sky Eclat

  Mke wa Bill Gate alikodi Mpelelezi wa siri kuchunguza mienendo ya mume wake

  Baada ya mume wake kuwa anatoweka ofisini muda wa kazi, Melinda alitaka kujua huwa ana kwenda wapi. Alikodi Private Investigator. Report ya PI huyo imefahamika kuwa jamaa alikua anakutana na totoz mchana, ndiyo msingi mkubwa wa talaka. Hii Porches ya rangi ya dhahabu ndiyo aliitumia Mzee...
 5. kibovu

  Mwanamke aongea na simu ya Wanaume mbele ya mume wake

  Wakuuuu poleni na mfungo ndugu zangu na kazi iendelee. Ndugu zangu nimekuja kikaz Dar es Salaam ntakuwa kwa muda wa mwaka mmoja nimepata nyumba ya kupanga hapa sinza madukani . Nimepanga na jirani yangu akiwa na mkewe chombo sana lakini bado hawajapata mtoto. Mkewe jioni hupenda kujifunga...
 6. Mwanamayu

  Kwanini mume wa Rais Samia Suluhu hajaambatana na mkewe ziarani Kenya?

  Mara nyingi viongozi wafanyapo state visits wanakuwa na wenza wao wa ndoa. Ziara ya Rais Samia ya siku 2 nchini Kenya imeonesha picha ya couples wakati wa state banquet, lakini kwa upande wa Tanzania pamepwaya. Je, kuna tatizo? Endapo mume wa Rais Samia angeonekana, wakati Marais wanaongelea...
Top Bottom