mdahalo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ojuolegbha

    Mdahalo wa kutathimini Nafasi ya Mwanamke wa Tanzania katika Miaka 60 ya Muungano wa Tanzania ulioandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika Mdahalo wa kutathimini Nafasi ya Mwanamke wa Tanzania katika Miaka 60 ya Muungano wa Tanzania ulioandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) ukumbi wa Mlimani...
  2. Ojuolegbha

    Mdahalo wa Kitaifa wa Wanawake na Muungano

    Kuelekea Maadhimisho ya siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, UWT imeandaa mdahalo wa Kitaifa wenye Dhima ya Nafasi ya Wanawake ndani ya miaka 60 ya Muungano. Tulipotoka, Tulipo na Tunapoelekea litakalofanyika katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam Tarehe 25 Aprili, 2024. UWT...
  3. Roving Journalist

    Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti Vijana ACT - Wazalendo

    Mdahalo wa Wagombea wa Uenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa kwa Chama cha ACT Wazalendo kwenye Ukumbi wa Hakainde Hichilema, leo Februari 27, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=32rMuLtDJG0
  4. peno hasegawa

    Ili kumpata Rais imara 2025- 2030 wagombea wote wa Urais bila kuwakilishwa wasimamishwe kwenye mdahalo live Kila baada ya miezi mitatu

    Ninaomba BBC iandae mdahalo wa masaa 3 Kwa wagombea wote wa Urais bila kuwakilishwa wasimamishwe kwenye mdahalo live KABLA hawajachukua fomu za kugombea Urais. Kuna wengine wanatumia watu kwawananchi yeye anajificha nyuma kuombewa kura. Wanaccm tunaomba mdahalo tena midaholo mitatu ...
  5. R

    Tundu Lisu Mgombea Urais Chadema akifanya mdahalo na Mgombea Urais wa CCM 2025 Dunia itasimama kwa muda

    Kwa mfano Tundu Lisu uandaliwe Mdahalo na Mgombea Urais wa CCM na iwe live unategemea kuna TV itaacha kuonyesha huo mchuano ? Pamoja na kwamba tunatamani ,je hivi vyama viwili vitaruhusu kutokea kwa mdahalo huo? Kama haitaruhusu unadhani kwanini itakuwa ngumu kuruhusu msuguano huu wa fikra?
  6. Sildenafil Citrate

    Maandamano ya CHADEMA kuanzia Mbezi Mwisho na Buguruni hadi Ofisi za UN

    https://www.youtube.com/live/_uByoGOsCLQ?si=0k-1F0Yv8_LU5grI Maandamano ya Jumatano, Januari 2024, yataanza Saa 3:00 asubuhi. Yatahusisha njia mbili kuanzia Mbezi Mwisho (Stand) na Buguruni, na yataishia Ofisi za UN, barabara ya Sam Nujoma, Dar es Salaam. Nakala za barua za taarifa ya...
  7. kipara kipya

    Chama changu pendwa CCM ni kweli mnataka mdahalo na CHADEMA?

    Kiongozi wa mwisho aliyefanya mdahalo kwa kujiamini bila woga alikuwa ni hayati Benjamini Mkapa baada ya hapo waliofuatia wote waliingia mitini na sababu mbali mbali. Imenikumbusha aibu ya mdahalo wa mchakato majimboni mpaka kupelekea mkurugenzi wa TBC komredi Tido kuvurumishwa na kupewa kesi...
  8. Sildenafil Citrate

    CHADEMA yakubali kufanya mdahalo na CCM kwa masharti

    Baada ya tamko la Mwenyekiti wa Chama Taifa Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe kuhusu maazimio ya Kamati Kuu ya Chama kuitisha maandamano ya amani tarehe 24 Januari, 2024 Jijini Dar Es salaam, ameibuka Katibu wa itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi na kutoa kauli potofu dhidi ya Maazimio ya...
  9. M

    Video: Makonda ataka mdahalo na Tundu Lissu

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amependekeza kufanyike mdahalo wa wazi kati yake na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ili Watanzania wachague ikiwa wataendelea na maandamano au kuchagua maridhiano...
  10. MSAGA SUMU

    Nataka niandae mdahalo hapa JF kati ya Lucas Mwashambwa na Erythrocyte

    Nawasiliana na uongozi wa juu wa JF kuhusu kupata kibali cha kuandaa mdahalo hapa JF, TOPIC nitaitoa mapema kabisa kwa washiriki kujiandaa. Mdahalo utakuwa kati ya manguli wawili wa CCM na Chadema ndg Lucas mwashambwa na Erythrocyte . kwenye kona ya Lucas mwashambwa pia atakuwepo ndg The Sunk...
  11. S

    Mpina ataka mdahalo na Mwigulu ufisadi wa Trilioni 30

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameomba kufanya mdahalo na Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba live kwenye Televisheni kuzungumzia kashfa ya ufisadi wa Trilioni 30 alizochambua kutoka ripoti ya CAG ili kukata mzizi wa fitna. Mpina alisema wakati anachangia ripoti ya CAG, Waziri Mwigulu...
  12. mama D

    Dkt. Tulia leo 26.10.2023 ameshiriki mdahalo wa kuomba kuchaguliwa kuwa Rais IPU

    Dkt. Tulia Ackson amewakilisha vyema katika mdahalo wa kuomba kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge duniani IPU. Tunamtakia kila la heri katika uchaguzi utakaofanyika kesho 27.10.2023 Mungu ibariki Tanzania
  13. M

    Uandaliwe Mdahalo kati ya wanaaunga na wanaopinga mkataba wa Bandari

    Tunataka uandaliwe mdahalo mbashala/live kati ya wanaotetea mkataba kina Waziri Marawa na wapambe wake kina Kitenge nk dhidi ya Profesa Shivji na timu yake ya kina Tundu Lisu nk. Hapo bila shaka kuna timu itataka dunia ipasuke halafu iwafikie, maana si kwa aibu ile!!
  14. GRAMAA

    TIC itisheni mdahalo kuhusu hili suala la DP WORLD na uwe live kwenye televisheni zote nchini

    Itapendeza sana kama TIC wataitisha na kuendesha mdahalo kuhusu hili jambo la DP WORLD. Na mdahalo huo uwe live kwenye television zote nchini. Mdahalo huwo uwakutanishe watu wanaopinga mkataba wa DP WORLD na wale wanaounga mkono mkataba huo wa DP WORLD. Yaani kuwe na room ya makundi haya...
  15. CONSISTENCY

    Kufanyike mdahalo huru wa Wananchi v/s Serikali kuhusu mkataba wa bandari

    Kuhusu mkataba wa bandari tumeona mapungufu makubwa ya bunge letu kuhusu namna linavyosimamia serikali, tumeona bunge limetumika kama toilet paper na serikali. Udhaifu huo wa bunge unapelekea kuchochea zaidi mahitaji ya katiba mpya ili kuepukana na udhaifu na upumbavu kama huo wa bunge. Hivyo...
  16. Stephano Mgendanyi

    Mdahalo - Dawati la Jinsia lifike mpaka Vijijini

    MDAHALO - DAWATI LA JINSIA LIFIKE MPAKA VIJIJINI Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Singida Mhe. Martha Gwau mnamo tarehe 06 Machi, 2023 katika wiki ya kuadhimisha Siku ya Mwanamke Duniani alishiriki mdahalo wa Wanafunzi wa kike katika shule ya sekondari Mwanamwema. Mhe. Martha Gwau, Mbunge wa Viti...
  17. JokaKuu

    Tujikumbushe Mdahalo kati ya Ole Sabaya na John Pambalu

    Sikiliza hapa. Hii nchi imetoka mbali sana.
  18. J

    ITV mbona mnawaziba watu midomo kwenye mdahalo?

    Kuna mjadala unaendelea ITV hapa kuhusu tatizo la panya road kuibuka tena, watu wanatiririka maoni yao hapa ila muongozaji wa mdahalo ambaye ni mtangazaji Maulid Kambaya ni kama akisikia mtu akitoa maoni ambayo hakubaliani nayo anaanza kumkaba hoja yake kabla hajamaliza Achani watu watoe maoni...
Back
Top Bottom