mahubiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    Mmoja wa magaidi kutokea Uturuki aeleza jinsi walifuata mahubiri ya Fariduni Shamsidin kwenda kuua Warusi

    Limetetemeka kweli kweli na kufunguka yote, sijawahi kuelewa mawazo ya hawa watu na haya maugaidi ya kwenye dini yao.................... This is the moment the gunmen suspected of carrying out an attack on a concert hall in Moscow are arrested by Russian authorities. Videos shared online...
  2. BARD AI

    Siku hizi Makanisani 90% mahubiri ni kuhusu Sadaka Sadaka Sadaka!

    Unaingia kanisani na shida zako kwa kutegemea upunguziwe mastress ya maisha matokeo yake unaenda kubebeshwa madeni tena. Kanisa siku nzima linachangisha fedha, bado kuna sadaka kama 7 hivi aloo. Hawa majamaa hapana aisee. Mungu hajaagizo mambo ya hivyo. Sadaka ni hiari ya mtu ila siku hizi...
  3. Maleven

    Bora sauti za mziki kuliko mahubiri ya dini

    Unapokua unatafuta utulivu ubaki wewe na akili yako au upunzike ulale, unaweza fanya hivyo kwenye mziki kuliko kwenye mahubiri ya dini. Sababu ni kua, mziki ni flow ambayo unaweza kui ignore lkn haya mahubiri yana interfere sana na mawazo yako. Kama hujakutana nayo huwezi kuelewa
  4. Nyafwili

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: UKIMWI bado upo, ninawaomba suala hili lipewe kipaumbele wakati wa mahubiri.

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa dini kuwaangalia zaidi vijana, akilitaja kama kundi ambalo liko hatarini zaidi kupata maambukizi ya virusi vya UKIMWI, huku akiwataka kuimarisha huduma za unasihi na malezi yenye mlengo wa kustahimili mabadiliko yanayotokana na utandawazi...
  5. M

    Mahubiri yamezidi kuwa holela sana. Tatizo ni Viongozi wa jiji

    Asubuhi ninapokwenda Kariakoo kwenye mishemishe zangu lazima niwahi kupanda Mwendo kasi pale Mbezi mwisho. pale ninaposubiria gari kuna wale jamaa walioweka Spika zao na kakikapu ka sadaka huku wakihubiri, huwa nashindwa kuongea na Simu sababu ya sauti za spika. Afadhali ingekuwa ni mara moja...
  6. mama D

    Mahubiri machungu na ya kutuponya toka kwa Kuhani na mwalimu Musa Richard Mwacha

    Vijana kuna tuition nzuri sana toka kwa Kuhani na Mwalimu Musa Richard Mwacha Mwanaume mwenye viwango vya juu kama kichwa cha familia. Big up kwa mwanaume yoyote mwenye bidii ya kazi. Eti umekula?? umekunywa maji?? Umelala??😂😂😂 Baadhi ya Watoto wa kike hawataki kutumia ubongo zao
  7. Huliza

    Ni mahubiri ya Utajiri, Mafanikio na Miujiza, Watu wanamtegemea Mchungaji Eliona Kimaro na kusahau injili ni Shida na Mateso

    Ni utamaduni mpya kabisa wa mahubiri ya Utajiri, Mafanikio na uponyaji tu na Miujiza unaopingana na Imani ya Msalaba, Eliona Kimaro na baadhi ya watu waliojipa utume na unabii wamelenga kwenye mahubiri ya uponyaji, utajiri, Miujiza na Mafanikio hivyo kuwaaminisha wafuasi wao kuwa njia ya...
  8. M

    World Islamic Cup, 2022 Qatar

    Qatar masharti kila kukicha mara sijui hamna pombe mara uje na cheti cha ndoa, mara sijui nn Yani masharti kibao daily. Kwann msiandae kombe la maadili ya dini pendwa?
  9. MamaSamia2025

    Wachungaji msitumie maneno ya kudhalilisha utu wakati wa mahubiri au semina zenu

    Nawasalimu katika jina la Chama Cha Mapinduzi. Naandika huu uzi nikiwa na hasira kali sana dhidi ya baadhi ya wachungaji, manabii, Motivational speakers na wengine wote wanaotoa mahubiri au semina mbalimbali. Hii ni kwa sababu ya wengi kuanza kudhalilisha watu kwa kisingizio cha ushauri. Mara...
  10. luangalila

    USHAURI: Serikali ifuatilie mahubiri yanayotolewa na baadhi ya wachungaji majira ya usiku na alfajiri

    Kuna mchungaji fulani yupo BUZA kwalulenge huwa ana ruka hewani kupitia redio fulani Usiku majira ya saa 4 alfajiri. Tarehe 7/4/2022 ulitoa mahubiri ya ovyo sana yaliyo ashiria kuzalilisha jinsia KE, niko na audio ya hayo mahubiri. Lugha uliyotumia ilikuwa ni ya uzalilishaji sanaa.
  11. Kambi ya Fisi

    Kwanini Wachungaji wengi siku hizi wanahubiri mafanikio ya pesa na sio wokovu wa roho?

    Shalom wapendwa, nataka kujua kuhusu hawa Wachungaji wa michongo inakuwaje wajikite kuhubiri mafanikio ya pesa na mali na sio mafanikio ya kiroho. Leo hii vijana wengi wamekimbilia kuanzisha makanisa huku wakijiita mitume, manabii, maaskofu nk lakini nimejaribu kusikiliza mafundisho yao yapo...
  12. Action and Reaction

    Hodi hodi

    Hodi hodi! Wenye mji, kwa mara ya kwanza kuwa member wa Jamiiforums, ingawa nilikuwa msomaji mzuri wa mahubiri yenu. Naomba mnikaribishe
  13. Uzalendo wa Kitanzania

    Taarifa ya Mkutano wa Injili Mubashara Kutoka Nyamongo Tarime Kanisa la Waadventista Wasabato Kewanja

    Unaweza fuatilia mahubiri haya kupitia Hope Channel au Mitandao ya Kujamii ya Facebook au Instagram Karibuni Wapendwa Wana JF Mpate neno la uzima Mungu kwanza mengine baadaye
  14. OKW BOBAN SUNZU

    Gwajima: Siwezi kujitetea kwa mahubiri yanayotoka kwa Roho Mtakatifu

    "Niliitwa na Kamati ya Maadili ya Bunge wiki iliyopita nilipotoka wengi mliniuliza kimejiri nini na nikasema sitosema hadi Kamati iseme kwanza na kwasababu Kamati imeshaongea acha nami nizungumze” “Sababu ya kuongea ni kwasababu wameniongelea kama Mtu mbaya sana, Jitu baya sana ambalo kama lipo...
  15. Z

    Askofu Gwajima amehukumiwa kwa mahubiri yake au kama Mbunge? Je, angekuwa siyo Mbunge ingekuwaje?

    Sijaelewa embu nielimishwe Askofu Gwajima alianza kutilia shaka chanjo hii akiwa bungeni. Akiwa kanisani ameendelea kutia shaka. unajua tutofautishe kutia shaka na kupinga. Sasa kwa sababu mahubiri take kama mbunge yameonyesha kudhalilisha bunge, je angekuwa RAIA wa kawaida hukumu yake...
  16. J

    #COVID19 Askofu Gwajima, kuwa Daktari (PhD Holder) hakumaanishi unaweza kutibu wanadamu

    Askofu Gwajima, tuwaache wataalam wetu wa maswala ya Afya wanapoendelea kutoa Maelekezo mbali mbalimbali juu ya kujikinga na janga hili la Corona likiwepo swala la Chanjo. Ndio maana hata Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kila anapotamka swala la ugonjwa huu wa Corona anasisitiza tusikilize...
Back
Top Bottom