kimasihara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. rikiboy

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasira, jamaa yake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga...
  2. jastertz

    Je, ulishindwa kula tunda kimasihara?

    Hii ni opposite thread ya ile ya kula tunda kimasihara. Kuna wakati tumewahi kuwa kwenye mazingira yenye opportunity ya kula/kuliwa tunda kimasihara ila tukashindwa/kuponyoka. Binafsi nilishapata opportunity hiyo kwa dem na nikashindwa. Opportunity ya dem niliipata nikiwa field 7 years ago...
  3. mama D

    Zumaridi asichukuliwe kimasihara, imani ni kitu kikubwa sana inahuisha na imani inaua Watanzania tuamke

    Zumaridi anawafundisha watoto kwamba yeye ni mungu, yeye ndie msaada na ndie anayewakinga na mauti, anasema yeye ni mtawala wa dunia mzima na anayetawala vitu vyote vya duniani na mbinguni tena wake kuna uzima wa milele. Halafu anawaambia watoto leo atawapikia tena wali😎😎😎 Inatisha...
  4. BRN

    Movie zenye Maudhui ya Kula/Kuliwa Tunda Kimasihara

    Kama kichwa cha Uzi hapo juu na wale waliowahi kupitia Uzi wa kula Tunda Kimasihara wa rikiboy watakuwa wanaelewa ninachomaanisha. Hizi ni movie ambazo Maudhui yake yamehusisha washiriki wake kufanya ngono au kuwa wapenzi bila kutarajia kwa sababu mbali mbali,nitazitaja hapa na maelezo kidogo...
  5. The Eric

    Tulishakubaliana wanawake wa JF ni dada zetu kimasihara haiwahusu

    Haloo wakuu kina Chakorii, Hornet, To yeye, Kelsea, Depal, Joanah, Witnesj7, miss minah, stacia, Kalpana, Kasie, na wengineo wote hao kwa pamoja ni dada zetu. Itifaki imezingatiwa..... Kimasihara haiwahusu sisi tunacheza na universal set walio nje ya JF......😁 Wakulungwa si tupo pamoja!!!!
  6. Kaka yake shetani

    Valentine ni siku ya kulana kimasihara

    Hii siku inaweka presha kwa watu wengi muda mfupi. Leo ukimtoa mtoto wa kike aliyempweke utakuwa umejishindia biko. Subiri turushe kete ofisini maana wife kasafiri.
  7. T

    Namna ya kujenga nyumba kimasihara

    Wakuu heshima kwenye, Naamini mmestuka kidogo mkajua Uzi huu unafanana na Uzi wa Rikboy... hapana, hapa namaanisha NAMNA gani tunaweza kupata cement, nondo, tiles, mabati, fundi wa bei rahisi Ila anakazi nzurna vifaa vingine. Kumbuka unapochangia zingatia kutoka location, na gharama...
  8. heartbeats

    Ni hivi wanawake wanaliwa kimasihara kwa sababu hii

    Wakuu ndugu zangu Ni kwa yale maneno ambayo mwanaume anachomekea kama masikhara, mfano ktk kazi. Unafanya kazi ya boda mwanamke kashuka kwene chombo, unafanya kama umeshika kiti pale alipo kaa alaf wajisemea akiwa anakusikia aisee nusu kiti kiunguwe inalekea nanii ako ni so hot, akicheka cheka...
  9. Bujibuji mafuriko

    Nilivyoliwa tunda kimasihara.

    Haiwezekani wanaume, vijana, wazee, wanatusema Sana kwenye Uzi wao kula tunda kimasihara. Na sisi wanadada, wamama, wasicchana tulivyopigwa mambo kimchezo mchezo. Ukifungua Uzi wa kula tunda kimasihara unaweza ukasafiri unasoma stori zao zimejaa. Hembu na sisi tufunguke humu
  10. Expensive life

    Ukisikia kula tunda kimasihara ndiyo hii sasa!!!

    Kijana mmoja huko buza kwa mpalange amejikuta akitunukiwa tunda kimasihara bila kutoa hata senti tano. Dah,, ila hizi bahati mbona hazijawahi kunikuta ona sasa mpaka nimesha owa.,😋😋😋
  11. Notorious thug

    Namfananisha January Makamba na Harry Maguire!

    Pale Manchester United kuna mchezaji ambaye amekua akishutumiwa na kupewa lawama nyingi kutokana na ufanisi wake uwanjani Harry Maguire hivyo hivyo kwa Waziri January Makamba ambaye wizara yake iimepoa mithili ya mchuzi wa juzi usiokua na nyama.
  12. De Professor

    A real man should have class: Nilivyoshindwa kula kimasihara

    Nikiri wazi kale ka uzi Pendwa ka vijana wakati mwingine kana hamasisha na unaeza kuwa mtaani na mambo yako ukikumbuka tu JF unasema eemu ngoja nitest zari. Kwa kifupi last 2 weeks nilikua napita pita tik tok kuna mdada kiukweli ni pisi hatar nilikua namfatilia kwa week kadhaa huwa anapenda...
  13. VMWare-Oracle

    Uhusiano wa bia na kula tunda kimasihara

    Habari za wakati huu wana JF. Baada ya kupitia ule uzi pendwa wa kula tunda kimasihara nimegundua visa vingi vimejengeka katika mazingira yanayohusisha matumizi ya vilevi. Hivi sababu ni nini? Je vilevi vinahamasisha ulaji wa tunda kimasihara?
  14. kyagata

    Kimasihara masihara tu ataliwa huyu, muda si mrefu ntawapa mrejesho

    Nampanga hapa mdogo ili awe kitoweo changu cha leo huyu.
  15. sky soldier

    NTAPATAJE UZI ORIJINO WA KULA TUNDA KIMASIHARA, HUU WA SASA HAUNA VIBE

    Ningeomba sana uzi urudishwe kama ulivyokuwa hapo mwanzoni, maana kwa namna ulivyokuwa hapo mwanzo ndivyo ukivyofanya watu wengi waupende, ila huu uliounganishwa na nyuzi za 2014 hapana kwakweli, Uzi umekosa lile vibe la uzi ule wa mwanzo. Huu uzi wa sasa nmemtumia mtu majuzi kaishia page ya...
  16. S

    Umeshawahi kumla kimasihara mwanamke wa rafiki yako

    1Kuna siku nilikwenda club na washkaji zangu nikakutana na ex wa brother wangu. Nikamsalimia akaniomba nimnunulie bia nikamletea huyo nikaondoka nikajichanganya zangu bado kama nusu Saa club kufungwa yule ex wa bro alikuja kucheza na mimi hapa nami nikiwa nimelewa. Club ikafungwa nikatoka nae...
Back
Top Bottom