Kuhani Musa Richard Mwacha ni Mwalimu bora kwa kizazi hiki kisicho na usikivu, kabla ya kukubali au kukataa tafuta kumjua na kuujua ukweli kwanza

mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
19,760
35,205
Niliwahi kuweka Uzi huku nikiuliza huyu mtumishi ni mtu wa aina gani, na kwa kuwa mimi napenda kufuatilia mafundisho mbalimbali yenye tija nimegundua

1. Kuhani Musa Richard Mwacha ni mtumishi wa Mungu na Mwalimu mzuri sana katika nyakati hizi kwa jamii yetu, ana mvuto au haiba ambayo inaweza kuhamasisha watu kumsikiliza na kubadilika au kufanya mambo ambayo wasingefanya
Idadi ya wafuasi wanaofika ibadani ni kubwa

2. Mtumishi wa Mungu anayewakumbusha watawala kutenda haki kila Wakati

3. Ana uwezo mkubwa sana katika kuyachambua maisha ya mwanadamu kuyaelezea katika uhalisia kwenye ulimwengu tunaouona hata ule wa kiroho.

Kwa habari ya Ukristo na Mungu mmoja vs miungu wengi (baba, Mwana Yesu na Roho Mtakatifu)

Kuhusu taratibu na desturi mbaya zinazoingiza jamii kwenye majanga bila kujua
Maiti ni kitu cha heshma, cha kuogopwa na najisi

Waislamu wako sahihi kutokukaa na maiti muda mrefu

4. Hajawahi Kukaa kimya kwenye maovu yanayoendelea kufanyika kwenye jamii yetu
Mkesha kulaani ushoga na panyaroad

5. Mambo magumu anayofanya kwa nguvu ya Mungu iliyo ndani yake

Kweli adui wa mtu ni wa nyumbani kwake

Shekhe anasema amejifunza kitu kwamba usijitenge na watu

Furaha ya Shekhe akimuimbia Yesu asiyezuilika baada ya mwanae kupona

6. Msimamo wake kwenye swala la ushoga na usagaji

Fuatilia zaidi kuanzia dakika 3:55:44

7. Habari nilizowahi kuzisoma na kuziskia kama hadithi

Dunia ina mambo hii

Niliwahi kuja na Uzi huu pia
 
Sijawahi kumuelewa huyu kuhani , Mungu anisamehe

Hii style yake ya huduma ni tofauti sana na style tulizozoea au zile tunazozijua

Ni ngumu sana kumhubiri Yesu asiyebadilika kwenye kizazi kinachobadilika, bila kujua yaliyomo kwa msimu uliopo mahubiri na mafundisho mhubiri anayotoa hayawezisaidia walengwa

Mimi nilimuelewa baada ya kuchukua muda kumsikiliza.

Mwanzoni nilikua simuelewi kabisaaaa
 
Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.

Mathayo 24:24

Makristo wa uongo, na manabii wa uongo wengi sana siku hizi.
Wale wanaoabudu sheria za dini na madhehebu huku wakihalifu sheria za Mungu
 
Niliwahi kuweka Uzi huku nikiuliza huyu mtumishi ni mtu wa aina gani, na kwa kuwa mimi napenda kufuatilia mafundisho mbalimbali yenye tija nimegundua

1. Kuhani Musa Richard Mwacha ni mtumishi wa Mungu na Mwalimu mzuri sana katika nyakati hizi kwa jamii yetu, ana mvuto au haiba ambayo inaweza kuhamasisha watu kumsikiliza na kubadilika au kufanya mambo ambayo wasingefanya
Idadi ya wafuasi wanaofika ibadani ni kubwa
Asante sana mama D kwa uzi huu, wewe ni baraka, Kuhani Musa ni mtumishi wa Mungu wa kweli!. Mimii pia ni mwana Ngomeni!, bila kuhama kwenye dhehebu langu la asili, from time to time huwa najumuika pale Ngome ya Yesu, Kimara Temboni.
P
 
Hakuna kitu hapo.
Ni promo za kipigaji tu.
Kuna mambo mtu anaweza akanidanganya, lakini linapokuja suala la kumjua mtumishi wa kweli wa Mungu, ni suala la dakika chache sana. Kuhani Mussa ni hapana, big no, hakuna utumishi wa Mungu pale, ni ujanja ujanja wa kiimani wa kimjini.
 
Asante sana mama D kwa uzi huu, wewe ni baraka, Kuhani Musa ni mtumishi wa Mungu wa kweli!. Mimii pia ni mwana Ngomeni!, bila kuhama kwenye dhehebu langu la asili, from time to time huwa najumuika pale Ngome ya Yesu, Kimara Temboni.
P
Hata mimi pia ni mwana Ngomeni, Ngome ya Yesu Kristo pale Kimara Temboni.
 
Kusema ukweli sijawai hata kumuelewa au kujipa muda kumsikiliza huwa napita pale tembeni naona watu wanavyo miminika kwenda na pale kwa msuguri …
Namuheshimu kama watumishi wengine lakini siwezi sema lolote kuhusu yeye!
 
Niliwahi kuweka Uzi huku nikiuliza huyu mtumishi ni mtu wa aina gani, na kwa kuwa mimi napenda kufuatilia mafundisho mbalimbali yenye tija nimegundua

1. Kuhani Musa Richard Mwacha ni mtumishi wa Mungu na Mwalimu mzuri sana katika nyakati hizi kwa jamii yetu, ana mvuto au haiba ambayo inaweza kuhamasisha watu kumsikiliza na kubadilika au kufanya mambo ambayo wasingefanya
Idadi ya wafuasi wanaofika ibadani ni kubwa

2. Mtumishi wa Mungu anayewakumbusha watawala kutenda haki kila Wakati

3. Ana uwezo mkubwa sana katika kuyachambua maisha ya mwanadamu kuyaelezea katika uhalisia kwenye ulimwengu tunaouona hata ule wa kiroho.

Kwa habari ya Ukristo na Mungu mmoja vs miungu wengi (baba, Mwana Yesu na Roho Mtakatifu)

Kuhusu taratibu na desturi mbaya zinazoingiza jamii kwenye majanga bila kujua
Maiti ni kitu cha heshma, cha kuogopwa na najisi

Waislamu wako sahihi kutokukaa na maiti muda mrefu

4. Hajawahi Kukaa kimya kwenye maovu yanayoendelea kufanyika kwenye jamii yetu
Mkesha kulaani ushoga na panyaroad

5. Mambo magumu anayofanya kwa nguvu ya Mungu iliyo ndani yake

Kweli adui wa mtu ni wa nyumbani kwake

Shekhe anasema amejifunza kitu kwamba usijitenge na watu

Furaha ya Shekhe akimuimbia Yesu asiyezuilika baada ya mwanae kupona

6. Msimamo wake kwenye swala la ushoga na usagaji

Fuatilia zaidi kuanzia dakika 3:55:44

7. Habari nilizowahi kuzisoma na kuziskia kama hadithi

Dunia ina mambo hii

Niliwahi kuja na Uzi huu pia

Kifupi ni kwamba akina mama hua mnakamatika kirahisi sana na wapiga "sound". Ni hayo tuu
 
Back
Top Bottom