tulia ackson

Dr. Tulia Ackson (born November 23, 1976) is the Speaker of the National Assembly of Tanzania, in office since 2022. She was appointed as a Member of Parliament by President John Magufuli.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Dkt Tulia: Naweza kuwakilisha wananchi bungeni bila kuuliza maswali

    Mbunge wa Wa Jimbo la Uyole, Mbeya Dkt Tulia Ackson amesema anaweza kuwawakilisha wananchi wake bila kuuliza maswali Bungeni, Tulia ameyasema hayo wakati akizungumza kwenye kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi Fm. Soma Pia: Dkt. Tulia agawa mchele kwa kaya 130 jimbo la Uyole, aahidi kuwapa...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson anaishi maisha ya furaha na haoni shida ku-share furaha yake. Ninapenda watu aina yake

    Hamjambo Walimwengu! 1. Kuna wale watu ambao hupotosha na kuwaweka watu under the Cage, kwamba mtu hatakiwi kujipost akiwa na furaha au akifurahia. Jambo ambalo sisi Watibeli tunapingana nalo kwa nguvu zote 2. Sio kwamba hatujui kwamba kuna watu wenye wivu, tunajua Sio kwamba hatujui watu...
  3. PAYE

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia kumjengea nyumba ya kuishi mzee Mwakalindile kata ya Nsalaga

    Taasisi ya Tulia Trust chini ya Mkurugenzi wake ambaye ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge wa Jimbo la Uyole Dkt. Tulia Ackson imekabidhi vifaa kwaajili ujenzi wa nyumba ya Philipo Mwakalindile anayeishi kwenye mazingira magumu kata ya Nsalaga. Mwakalindile (54) anaishi mtaa wa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia: Tulipata maarifa kutoka kwa Lukuvi, Usipotaka kuwa mwizi angekufunza

    Amesema Dkt.Tulia Ackson, Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa ibada maalum ya kuaga Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani, William Lukuvi, katika Viwanja vya Bunge Dodoma leo...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Spika Mstaafu Tulia Ackson aipongeza Kamati ya Bunge la Myanmar kwa kupigania Demokrasia

    Kupitia ukurasa wake mtandaoni Spika Mstaafu na Mbunge wa Uyole ameandika; "Nawapongeza wanachama wote wa Kamati inayowakilisha Bunge la Muungano wa Myanmar (CRPH) kwa mapambano yenu thabiti dhidi ya ukandamizaji na kwa kujitolea kwenu bila kuyumba kwa matarajio ya kidemokrasia ya Myanmar. CRPH...
  6. PAYE

    JamiiForums Tanzania Dk. Tulia aifuta machozi familia iliyopoteza nyumba kwa moto, Igawilo

    Spika mstaafu wa Bunge la Tanzania, Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge wa Jimbo la Uyole, Dkt. Tulia Ackson, leo Disemba 19, 2025, ameifuta machozi ya familia ya Emmanuel Julius Kyanula kutoka kata ya Igawilo, Uyole, ambayo ilipata janga la nyumba kuungua kwa moto. Akizungumza...
  7. PAYE

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson aijengea nyumba familia iliyopatwa na janga la moto Uyole

    Hii leo Disemba 19, 2025, Spika Mstaafu wa Bunge la Tanzania ambaye ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge wa Jimbo la Uyole Dkt. Tulia Ackson amepeleka nuru kwa Familia ya Anyomwisye Mwalyaje ambayo ilipata janga la nyumba kuungua kwa moto katika kata ya Ilemi. Dkt.Tulia...
  8. Black cap

    JamiiForums Tanzania Spika mstaafu Tulia Ackson ana Siri ipi?

    Wakati wengine wakiwa kwenye msiba,tulia yeye katuma kijembe kwa njia ya mafumbo.
  9. PAYE

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt. Tulia atoa vifaa vya ujenzi wa nyumba ya familia iliyoungua moto kupitia taasisi yake ya Tulia Trust

    Tulia Trust watoa vifaa vya ujenzi wa nyumba iliyoungua kwa moto, Kata ya Ilemi Mtaa wa Mwafute, waiomba jamii kuendelea kutoa taarifa kwa wenye mahitaji ili waweze kufikiwa pia. Muwakilishi wa Idara ya Habari na Mawasiliano TULIA TRUST, Addy Kalinjila amezungumza baada ya kukabidhi vifaa vya...
  10. Pure Gentleman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ujumbe Muhimu Kutoka kwa Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kuhusu Maisha

  11. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tulia Ackson, wahuni walikutumia kuuza bandari za Tanganyika na kufumbia macho UTEKAJI na MAUAJI ya wananchi. Sasa wamekuweka pembeni

    Huyu dada, very ambitious, alidhani kuwa kwa kukubali kutumiwa kwake basi pengine atapanda ranks na kuwa mtu mkubwa zaidi ya cheo alichozawadiwa. Matokeo yake akaligeuza bunge kuwa chawa wa rais, akashiriki kubariki azimio eti la kumpongeza rais utendaji wake wakati alitakiwa amsimamie huyo...
  12. The patriot man

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson ndio Waziri mkuu ajae

    Nimekaa pale Tulia ackson ndo waziri mkuu ajae , wengine wanaolinganishwa nae watapewa vyeo vingine vya uwaziri ,ila Makonda lazima awe waziri
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson hatakiwi tena kuongoza IPU wakati kashindwa Tanzania!

    Tulia Ackson hatakiwi tena kuongoza IPU wakati kashidwa Tanzania! https://www.ipu.org/about-ipu/structure-and-governance/president Tuandike barua atolewe huko na kuacha unafiki
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wabunge waibua shangwe Bungeni Dkt. Tulia akijitambulisha

    Aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge mteule wa Jimbo la Uyole Dkt. Tulia Ackson akijitambulisha Bungeni leo.
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson kapost wimbo kwamba Watu asiowajua Wamemfuata Nyumbani wakiwa wamebeba Bunduki. Ila haogopi Babylon

    Kwenye Page yake ya Instagram, aliyekuwa Spika wa Tanzania bunge la 12, Kapost Picha yake akiambatanisha na wimbo wa Lucky Dube wa Jah save Us, Kipande kinachosema tafsiri isiyo rasmi kwamba; "Watu waliokuwa wamebeba bunduki aina ya machine gun(MG) wamemfuata Nyumbani kwake. Watu hao walikuwa...
  16. figganigga

    JamiiForums Tanzania Je, Tulia Ackson kususa ni anajisafisha ili agombee Urais 2030?

    Kitendo cha kutogombea Uspika, kwanza ni kutubu kwa Mungu wake kwamba anaenda kuongoza Wabunge ambao hawajachaguliwa na Wananchi. Pili ni Usaliti kwa Samia Suluhu Hassan ambao mafisadi au wanaonufaiki na mfumo wake wanaona ni Rais wao. Tatu anataka kujijenga Kimataifa. Sababu Dunia imeukataa...
  17. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ipi inaweza kuwa sababu ya Tulia kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha kugombea Uspika?

    Tulia Axon amejiondoa kugombea Uspika Tukumbuke Tulia Akson ndo spika wa bunge la Dunia (IPU) na Kwa kupoteza nafasi ya Spika katika Taifa lake automatically anapoteza fursa ya kuwa Spika IPU Tulitaraji CCM wangemtengezea nafasi ya kuwa Spika ili aendelee kuwa Spika huko IPu Sababu 1...
  18. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tulia Ackson ajitoa mbio za kugombania Uspika

    Wakuu, Taarifa zilizopo ni kwamba Kuna uwezekano wa yeye kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu.
  19. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Tulia azama Gereji kunadi sera, mafundi waibuka na ufinyu wa eneo la kazi

    Mgombea ubunge jimbo la Uyole, jijini Mbeya, Dkt. Tulia Ackson, ameahidi kumalizia kazi aliyoianza ya kufanikisha upatikanaji wa maeneo kwaajili ya mafundi wa magari ambao hufanya shughuli zao maeneo ya magerejini kata ya Mwakibete. Akiendelea na kampeni zake za kata kwa kata Dkt. Tulia amesema...
  20. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dk Tulia Ackson nitahakikisha Barabara ya Lami kutoka Uyole-Ilemi inajengwa

    Mgombea ubunge wa Uyole kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Tulia Ackson amesema atahakikisha barabara ya Juhudi mpaka Ilemi inajengwa kiwango cha lami ili kuondoa adha kwa wananchi katika msimu wa mvua. Dk Tulia amesema hayo leo Ijumaa Oktoba 3, 2025 katika mkutano wa kampeni wa...
Back
Top Bottom