ttcl

 1. LAZIMA NISEME

  Makampuni haya ya Simu yanapimana Msuli na Rais. Dr Magufuli...

  Mpaka jana tarehe 30.7.2017 ni Makampuni matatu ya Mawasiliano pekee ndiyo hayajaonesha Ushirikiano wa kujiunga katika Mfumo wa kulipa kodi Kielekroniki kama Rais wa Tanzania Dr. Magufuli alivyo agiza mapema mwezi Juni Mwaka huu. Makampuni ambayo yameshajiunga Katika Mfumo huu wa kulipa Kodi...
 2. J

  Fanya Yafuatayo Ili Kuhamia Mtandao Mwingine Bila Kubadilisha Namba

  Mobile Number Portability (MNP) Ni Huduma ya kuhamia mtandao mwingine bila kubadili namba ya simu ya kiganjani (MNP), ina maana kuwa mtumiaji anabaki na namba yake ya awali iwapo ataamua kuhamia mtandao mwingine wa simu za kiganjani nchini Tanzania. Huduma hii ya MNP itaanza rasmi tarehe 01...
 3. B

  TANESCO na TTCL: Pamoja na kupata ruzuku kubwa ya Serikali lakini ufanisi ni mdogo sana

  Haya makampuni, TANESCO & TTCL pamoja na kupata ruzuku kubwa ya serikali lakini ufanisi ni wa kusua sua, wanaishia kununua magari ya kifahari na kuyapiga rangi za ajabu ajabu (TTCL - Njano-Crazy Colour). La kusikitisha zaidi ni kuwa wana wakuu vijana lakini wana mawazo ya kizee mno (kama...
 4. Ashura9

  Serikali kumiliki tena TTCL kwa asilimia 100 mwezi huu

  Hii ilielezwa na Waziri husika Prof Makame Mbarawa kuwa serikali itailipa Airtel sh bil 14.9 ili kuchukua hisa zake 35% abazo Airtel ilikuwa inashikilia. Hivyo TTCL itakuwa ni shirika la serikali kwa asilimia 100%. Kwa sasa hivi Serikali ina hisa TTCL 65% na Airtel 35% Mwezi huu serikali...
 5. Ashura9

  Government to pay Airtel for TTCL shares this month to have full ownership

  This was revealed here yesterday by the Minister of Works, Transport and Communications, Prof Makame Mbarawa, when he toured TTCL facilities in the region including the national ICT broadband backbone network. “We have held lengthy discussions with the management of Bharti Airtel after which we...
 6. snipa

  TIGO ni mtandao mbovu kuliko yote Tanzania kwa sasa.

  Naamini hili wazo sio mimi tu binafsi ambaye ninalo, no ni watu wengi. Sikuwahi jijengea mtizamo wakuamini hivi lakini kwa sasa Tz sioni mtandao mbovu kama TIGO, hakuna kabisa. Bora mtandao uwe unakata afu unarudi, lakini sio unaona kabisa mtandao uko full afu kinachoendelea hakuna. Hili jambo...