shirika la posta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Vifurushi vyetu vinapotea shirika la posta

    Kuna mazingira ambayo hayaeleweki katika shirika la Posta hapa Dar es salaam.Kutokana na maendeleo yaliyopo sasa hivi ya kiteknolojia, Kuna bidhaa ambazo tunanunua kwa njia ya mitandao kutoka sehemu mbalimbali duniani. Baada ya kukamolisha taratibu zote za kimalipo,bidhaa inatumwa huko...
  2. M

    Mheshimiwa Chande Maharage karibu Shirika la Posta

    Tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu hapa Shirikani. Digitali kizazi sana! Tupo tayari
  3. BARD AI

    Maafisa wa Posta Tanzania wakutwa na kesi ya kujibu kuhusu kusafirisha Dawa za Kulevya

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewakuta na kesi ya kujibu, maofisa watatu wa ulinzi wa Shirika la Posta Tanzania, wanaokabiliwa na kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroine na bangi. Maofisa hao ni George Mwamgabe, Sima Ngaiza na dereva wa Shirika hilo Abdulrahman Msimu. Washtakiwa...
  4. Mchapakazihalisi

    Matumizi ya TEHAMA yawe Kipaumbele cha Utendaji ndani ya Shirika la Posta

    ♦️ Akabidhi Vyeti na Tuzo za Pongezi kwa wafanyakazi wa Shirika la Posta walioshiriki kufanikisha Tanzania kupata nafasi ya Ujumbe kwenye Mabaraza ya Umoja wa Posta Duniani (CA &POC). Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi wa Serikali ya Mapinduzi...
  5. Mparee2

    Tunaweza kufufua shirika la Posta, kodi zilizopo sio rafiki pia sio rahisi kwa mteja kuzielewa

    Pamoja na kazi nzuri ya Serikali ya kuboresha uchumi na miundombinu, Nafikiri ipo haja sasa ya kuja na mpango mkakati wa kufufua shirika letu la posta kwani lina uwekezaji mkubwa wa miundo mbinu karibu Nchi nzima wa Mabilioni iliyojengwa kwa kodi za wananchi Kwanini tusije na mpango mkakati na...
  6. mkadiriaji majenzi

    Huduma za Shirika la Posta Tanzania

    Habarini wana JF, Niende kwenye mada moja kwa moja. Juzi Ijumaa nilikuwa nataka kutuma Doc moja Mkoani ila kwa kuwa na confidential sana nikaona nisitume kwa basi kama ninavofanyaga mara nyingi. Nikaenda Posta lengo nitume kwa EMS na inahitajika J3. Cha kushangaza nikaambiwa itatumwa J3...
  7. mama D

    Uongozi Shirika la Posta na TTCL mkiweka kando utendaji wa kimazoea Mtatoa huduma bora zaidi badala ya kero kwa maslahi ya Nchi yetu

    Wakurugenzi wa haya mashirika mawili mnajidhalilisha sana na kudhalilisha nafasi mlizopewa pamoja na taaluma. Yaani mashirika yanafanya kazi kwa style ya kizamani mnoooooo. Kuna wakati inabidi mjikagaue msome alama za nyakati, anagalieni basi japo wengine wa nchi nyingine wanaofanya mnayofanya...
  8. Best Vibez Store

    Kero za Shirika la Posta

    Habari za Asubuhi Yaani sijui Posta huwa wanakwama wapi nimeagiza mzigo toka Ali Express umefika Dar tarehe 25 ukaondoka Dar siku hiyo hiyo ukafika Arusha tarehe 26 ila mpaka leo Jumatatu hakuna msg nimeenda hapo kwao wanasema bado hawajapewa tatizo liko wapi mbona dar siku hiyo wanatoa mizigo...
  9. Shujaa Mwendazake

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa azindua Vituo vya Huduma Pamoja vya Shirika la Posta

    Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa anazindua Vituo vya Huduma Pamoja vya Shirika la Posta, Jijini Dar es Salaam. Vidokezo: 1. Tutaanza na vituo 10 nchi nzima. Tumeanza na Dsm na Dodoma. 2. Vitapunguza muda wa kupata huduma kutoka wiki 4 hadi siku 3. --- MAJALIWA AZITAKA TAASISI ZA...
  10. B

    'Huduma Pamoja' kupitia Shirika la Posta inalenga nini?

    "Tumefanya mageuzi makubwa ndani ya Shirika la @posta_tz. Lengo ni kuwa na Posta ya Kidijitali, Posta kuwa kitovu cha biashara mtandao na huduma za Pamoja. Katika kutekeleza azma hii, Siku ya Jumatatu tarehe 6 Spetemba, tutazindua utaratibu wa Huduma Pamoja". Mhe. Faustine Ndugulile Nimeona...
  11. J

    Shirika la Posta linazindua huduma ya Pamoja (One Stop Center)

    📍 Taarifa📍 Katibu Mkuu wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari @wizaraMTH Dkt. Zainab Chaula anawakaribisha kwenye uzinduzi wa vituo vya HUDUMA PAMOJA(ONE STOP CENTER) Utakaofanyika jijini Dar es salaam tarehe 06/09/2021 saa 5:30 Asubuhi kwenye viwanja vya @posta_tz
  12. BestOfMyKind

    Nani alitufundisha kuhusu Duka la mtandao (Postashop) Kwanini hatujifunzi kwa walioendelea?

    Shirika la Posta limeanzisha duka la mtandao. Sijui nani aliwashauri kufanya hivi? Kwanini hatujifunzi kwa walioendelea? Huwezi kufanya biashara ya kwa mlaji (consumer) kwa kutumia kodi za watu na ukafanikiwa. Yaani sisi tulitakiwa haya mambo tuwe tunaruka tu, kwasababu nchi zilizoendelea...
  13. J

    Ufunguzi wa Kikao Maalum cha viongozi wa Shirika la Posta Tanzania

    UFUNGUZI WA KIKAO MAALUM CHA VIONGOZI WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA KWA AJILI YA KUTATHIMINI UTENDAJI KAZI WA SHIRIKA KWA MWAKA ULIOPITA 2020/2021 NA KUKUBALIANA MALENGO YA MWAKA HUU 2021/2022 Shirika la Posta linaendelea na kikao maalum cha tathimini ya utendaji Kazi kwa Shirika la Posta...
  14. K

    Ushauri: Uboreshaji wa Shirika la Posta

    Asante sana wana jukwaa wenzangu bado tunatumia fursa hii ya Uhuru wa kujieleza kulingana na katiba yetu kwa kuzingatia maadili na mipaka ya Democracy. Leo napenda kujadili au kutoa mapendekezo kwa Serikali juu ya shirika letu la Posta Kabla ya kuendelea nitoe pongezi ya dhati kwa Serikali...
  15. J

    Shirika la Posta Tanzania lakutana na Jukwaa la Wahariri wa Habari Tanzania

    SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LAKUTANA NA JUKWAA LA WAHARIRI WA HABARI TANZANIA. Mwandishi wetu, Dar es salaam Leo 29 Julai, 2021. Shirika la Posta Tanzania likiongozwa na Kaimu Postamasta Mkuu Ndugu Macrice Daniel Mbodo limefanya Mkutano na Jukwaa la Wahariri wa Habari Tanzania lengo ni kuwaeleza...
  16. PendoLyimo

    Dkt. Chaula ahimiza uwajibikaji wa pamoja Shirika la Posta

    DKT CHAULA AZUNGUMZIA UWAJIBIKAJI WA PAMOJA POSTA Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Zainab Chaula ameitaka Menejimenti ya Shirika la Posta Tanzania kufanya kazi kwa tija, bidii, weledi na uwajibikaji wa Pamoja ili kuleta matokeo mazuri kwa Shirika na maslahi mapana...
  17. J

    Dkt. Zainab Chaula: Tumieni Shirika la Posta kutoa huduma zenu

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Zainabu Chaula, amekutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya Wakuu wa Mashirika na Taasisi mbalimbali zinazotoa huduma ya kiserikali kwa jamii. Kikao hicho kimefanyika leo tarehe 6 Julai 2021, huku kikihudhuriwa na Wakuu wa...
  18. FrankLutazamba

    Jinsi ya kujitangaza kwa mabenki yetu kama NMB, CRDB, TPC, NBC, DTB, ABSA bank au makampuni kupitia shirika la Posta huku ukivuna faida ya mamilioni..

    Kwanza..ni kuanzisha shindano la urafiki mwema baina ya wanafunzi la kuandika na kutumiana barua kati ya shule moja na nyingine ndani ya mkoa kwa kutumia bahasha na stempu zilizo na logo au chapa ya kampuni zitazouzwa kwa wanafunzi hao kwa bei rahisi.hapo ni mwanzo wa kujitangaza. Pili...
  19. Kiboko ya Jiwe

    Shirika la Posta lifutwe, limejaa uhuni

    Habari waungwana! Naomba kuelezea kwa ufupi juu ya hujuma/ uhuni unaofanywa na wahudumu wa posta baadhi ya matawi. - Wahudumu wanawalazimisha watu watume barua kwa njia ya EMS. Ninaposema kulazimisha namaanisha hawakushikii bunduki bali wanakwambia hii ndio njia ya haraka, wakikuona unajua...
Back
Top Bottom