darasa

 1. Echililo

  Walimu wana wakati mgumu! Darasa limejaa wanafunzi zaidi ya mia moja hana hata pa kukanyaga!

  Katika pitapita zangu nimekutana na hii video ikionesha wanafunzi walivyorundikana kwenye chumba cha darasa kama ng'ombe tena wakiwa wamekaa chini, na bado tukiendelea kupiga makofi kuhusu ununuaji wa madege ya dreamliner. Kama Taifa tunapaswa kupaza sauti zetu kama wananchi wa Taifa Tanzania...
 2. Analogia Malenga

  Mwanafunzi darasa la pili apotea siku sita, mwili wake wakutwa pagalani

  Mwanafunzi aliyekuwa anasoma darasa la pili Shule ya Msingi Jitegemee Halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani nchini Tanzania (jina linahifadhiwa kwa sasa) amekutwa amekufa ndani ya nyumbani ambayo ujenzi wake bado haujakamilika. Mwanafunzi huyo ambaye inadaiwa alipotea tangu Januari 14...
 3. Analogia Malenga

  Darasa la saba Dar kufanya mitihani 16 Jan 2020, Necta watoa ufafanuzi

  Dar es Salaam. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetoa ufafanuzi kuhusu mitihani itakayofanyika kesho Alhamisi Januari 16, 2020 jijini Dar es Salaam kwa wanafunzi wa darasa la saba. Mtihani huo utahusisha shule zote za umma na binafsi na utafanyika kwa siku moja ya kesho. Limesema mitihani...
 4. YEHODAYA

  Shule za English medium kufanya vizuri somo la kiswahili kwenye mitihani ya darasa la saba kuliko shule za swahili medium nini maana yake?

  Ukiangalia matokeo ya darasa la saba 2019 kwa mfano shule za english medium ndizo zimeongoza kwa ufaulu kwenye somo la kiswahili kuliko shule zinazotumia lugha ya kiswahili kwenye masomo yote Hii inamaananisha nini? ==== Pia raia wa China Congcong Wang aliongoza somo la Kiswahili ambalo...
 5. J

  DC Mtatiro: Marufuku kufanya Sherehe za darasa la saba, fedha za Sherehe wazitumie kuwasomesha wasiwe mzigo kwa Taifa

  Mkuu wa wilaya ya Tunduru Mh Julius Mtatiro amepiga marufuku sherehe za kuhitimu elimu ya msingi yaani Darasa La Saba wilayani kwake. Mtatiro amesema kuhitimu darasa la saba ni sawa na Sifuri hivyo kufanya sherehe ni kuwadumaza wanafunzi na kuwafanya wawe na mawazo ya kimasikini yatakayoharibu...
 6. Gambino

  Ni fani kagi ya VETA inamfaa kijana alieishia darasa la saba?

  Naomba msaada wa kujua fani nzuri veta ambayo inaweza kumfaa kijana ambae ameishia darasa la saba. Kuna kijana wa dada yangu hakuendelea na masomo ya sekondari, sasa naona nimsaidie kwa kumlipia asomee fani VETA angalau imsaidie kukabiliana na changamoto. Naomba msaada wa kujua ni fani gani...
 7. beth

  Ambaka mtoto wa darasa la sita hadi kumuua, ajisalimisha Polisi

  Mponjoli Lisa, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kumbaka binti wa darasa la sita Shule ya Msingi Pugu Kajiungeni hadi kumuua. Akizungumza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, Zuberi Chembela amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba watu wanne wanashikiliwa na polisi...
 8. C

  Wahitimu 173636 Wa Darasa La Saba Kukosa Nafasi Nini Maana Yake

  Hii taarifa ya wahitimu 173636 wa darasa la saba kukosa nafasi za sekondari kwa sababu ya uhaba wa madarasa linaingia akilini kweli.
 9. beth

  Mabinti darasa la 4 wauza pombe za kienyeji

  SHEHE wa Kijiji cha Mpwayungu Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Nurdin Mbawala amesema watoto wa kike kuanzia darasa la nne wanatumiwa na wazazi wao kuuza pombe za kienyeji hivyo kuhatarisha usalama wao. Aidha amesema hali hiyo inawaweka watoto hao katika hatari ya kutumika katika ngono wakiwa...
 10. S

  Ruvuma: Mwanafunzi wa Darasa la 6 afariki katika harakati za kutoa mimba

  Mwanafunzi Monica Ponera wa darasa la 6 Shule ya Msingi Mtumbatimaji Wilaya ya Namtumbo, Ruvuma, amefariki baada ya kufanyika kwa jaribio la kutoa mimba ya Mapacha wawili kwa njia ya kienyeji, inadaiwa Mwanafunzi huyo alipelekwa kwa Mganga wa Jadi na Wazazi wake ili kutoa mimba. (Picha...
 11. southern boy

  Nimetengeneza App Kwa ajili ya kusaidia watoto katika somo la hisabati

  Habari humu!! Hi post pia nitaiweka na kule kwenye jukwaa la elimu sababu pia inahusu masula ya elimu. Ningependa kuanza moja kwa moja kwamba nimetengeneza app hii kwa ajil ya kumsaidia mzazi/mlezi/mwalimu/kaka/dada kumpa mtoto mazoezi kwenye somo la hisabati mda ambao upo busy na shughuli...
Top