wake zenu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Hudumieni wake zenu

    Wakuu mliooa hudumieni Hawa wake zenu.Huku nje wanaomba omba mno pesa
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Hongereni wanaume mnaoweza kwenda shopping na wake zenu kisha mkarudi wote kwa furaha mimi yamenishinda

    Kipindi sijaoa bana nilikuwa nikiangalia tamthiliya za wakina kanumba natamani sana nami nikioa itakuwa hivyo. Mungu saidia hatimae nikaoa na nilikuwa vizuri kidogo kiuchumi. Ndoa kubwa tulifunga bana zawadi tukapata nyingi sana hasa vyombo na nguo (vitenge/khanga) tulipata zakutosha kiasi...
  3. Think2

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaopeleka wake zenu kwa waganga wanawazunguka wanaendakuwatengeneza ninyi muwe marofa

    Mnaoenda na wake zenu kwa waganga asilimia kubwa wake zenu wanawazunguka mkiwa hampo majumbani wanaenda kuwatengeneza ili muwanyenyekee akiomba kitu au kukwambia kitu chochote usipinge ukubaliane nacho Wanawake ni viumbe hatari sana wanaume tunarogwa sana. Unajuwa ni kwanini familia nyingi...
  4. Setfree

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaokasirika kasirika humu, mnaishije na wake zenu?

    Wanaume, mpo? Nawauliza kwa upole kabisa, lakini kwa uzito wa moyo: Hivi nyie mnaokasirika kasirika hapa JF, mnaishije na wake zenu majumbani? Naongea na wewe mwanaume, ambaye kila unapoandika mada, unapojibu maswali, unapochangia hoja, maneno yako hayakosi ukali, kejeli, hasira na wakati...
  5. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Mahakamani kuu itisheni kesi ya Lissu,LASIVYO nanyi usiku huu wa saa KUMI waachemi wake zenu mkalale na walioukumiwa kunyongwa walau kwa lisaa limoja.

    Mahakama kuu itisheni kesi ya Lissu la sivyo nanyi waacheni wake zenu mkalale na walioukumiwa kunyongwa ya walau kwa lisaa limoja Ili. Mwone uchungu
  6. D

    JamiiForums Tanzania Chungeni wake zenu au mademu zenu. Leo wanajeshi na walimu wamepata midhahara yao.

    Nawasihi sana mke au demu wako akikuaga anaenda sokoni usikubali. Hiyo ni appointment anaenda kupata ukimwi huko
  7. mbasa ya konge

    JamiiForums Tanzania Kero: Muwe mnawanyoa wake zenu wakikaribia kujifungua

    Sisi madakitari na manesi mnatupa changamoto sana pale mnapowaleta wake zenu kujifungua. Mara nyingi wajawazito wengi wanakuja na mavuzi mengi sehemu zao za Siri. Unakuta wengine amenyoa lakin ameacha acha mavuzi yaani kakondo ya papuchi.sehemu nyingine kipara na sehemu nyingine inakuwa na...
  8. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Wanaume ishini na wake zenu kwa akili hawajawahi kuishi kirohoo. Jipe moyo

    1petr 2.3 Wanaume muishi na wake zenu kwa akili na muwapeeee heshima Ukisoma utaonaa kinachowapa heshima wanawake n akiliiii kama utapata mwanamke asie na akili ndugu umeumiaaa jamboo muhimu unapoelekea kwenye ndoawambiee MUNGU AKUPE Mwsnamke MWENYE AKILI WANAUME MWANAMKE AJAWAHI KUISHI...
  9. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Mabraza Mlioa Njoo NIWASANUE:- Hivi ndivyo mabraza wenzenu wavyowafanyia wake zenu huko Marathon..!!!

    INTRODUCTION. Haloo mpoooo .... Wotee tusemee watumishi wa umma msiwe mabwege wa kudanganywa na increament za 50k, MAMA HAFAI na HAFAI KABISAA. Vingapi ni haki zenu tena zipo kisheria na HAWAJATEKELEZA?? Kwanini watudanganye na kipande cha mti walichotupa wakati haki yetu ni saizi ya...
  10. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Allah alitoa kibali cha kufaidi wake zenu vyovyote tutakavyo. Tusipangiane matumizi ya mashamba yetu

    ALLAH AMEWARUHUSU WAISLAM KUNYONYA MATITI YA WAKE ZAO NA KUNYWA MAZIWA YAO NA KUWAINGILIA KATIKA TUPU ZAO WATAKAVYO. Allaah Kamhalalishia mume kufurahi kwa mkewe atakavyo. Anaweza hata kufanya naye mapenzi kwa njia mbalimbali. Allaah (Ta´ala) Kasema: نسآؤكم حرث لكم فأتوا حرثكم أنى شئتم "Wake...
  11. Kigilagilagatirumo

    JamiiForums Tanzania Kuna design wife kama anafanya mambo ya hovyo hivi au na wake zenu pia wapo hivo

    .
  12. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzetu Msiwape uhuru usio na mipaka wake zenu. Majuto ni mjukuu

    Sikumbuki kama niliwahi leta Uzi humu unao muhusu bro mmoja Hivi ni mtoto wa baba mdogo kiukoo ila ki umri ana nizidi kama miaka 9 Hivi. Huyu bro mke wake (shemeji) amempa uhuru sana.Iwe kwenye nguo, kuzurula nk. Yaani mwanamke ukikutana nae kitaa huwezi amini ni mke wa mtu. Mavazi anayo vaa...
  13. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzetu ninyi mnaweza vipi kushona sare za vitenge na wake zenu? Ni nini siri ya hili?

    Huenda ni malezi niliyokulia maana sikuwahi kabisa kumuona mzee wangu akivaa sare na mama yangu. Ziwe sare za kanisani ama popote pale kwakweli sijawahi Ona hadi sasa wana zaidi ya miaka80! Ninyi wanaume wenzetu ni Mahaba/upendo sana kwa wake zenu au ni limbwata pamoja na kupandwa kichwani na...
  14. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Imeandikwa waume wapendeni wake zenu kama nafsi zenu wenyewe kwa maana sasa mmekuwa mwili mmoja

    Waefeso 5:28-33 28 Vivyo hivyo imewapasa waume nao kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe. 29 Maana hakuna mtu anayeuchukia mwili wake po pote; bali huulisha na kuutunza, kama Kristo naye anavyolitendea Kanisa. 30 Kwa kuwa tu viungo vya mwili wake. 31...
  15. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kwenu wanaume ambao wake zenu wanafanya kazi. Kipi bora mke wako kulea watoto na kutunza familia ama kazi?

    Wakuu huu mwaka 2025 hakuna jiwe litabaki juu ya jiwe yote yatabomolewa na kugeuzwa kwa wakati wake. Leo mtuambie wanaume ambao wake zenu wanafanya kazi na majukumu yote ya nyumbani kuwaachiwa wadada wa kazi. JE NI KIPI BORA KATI YA KULEA FAMILIA NA KUFANYA KAZI?. Pengine sisi tulioa wamama...
  16. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Lengo lenu nini mnao wakataz wake zenu kufanya kazi?

    Mnafact ipi inayo wafanya kuwazuia wake zenu kufanya kazi au kufanya biashara wengine mme waachisha wake zenu kazi mliwakuta wameajiriwa lakini baada ya kuwaoa mmewapiga pini wasijushugulishe na kazi. Mnaongeza idadi ya magoli kipa kuwa wengi mwisho wa siku mkija kufa mashemeji na mawifi ndio...
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Muache kuitana wake zenu blood pressure hatakama n utani

    Pitapita hapa Nimekutana na jamaa zangu karume kijiwen Nafika naonaa wanaambiana hahaa wewee leoo umekuja blood pressure wakoo kakuruhusu leo MMmhnkawaza nani... Mwingine akajibu hahaa blood pressure wangu hana shida anatumia 3g yaan yeye urudi usirudi kabisa nyumban hata hasumbuki na wewe...
  18. Maleven

    JamiiForums Tanzania Nyie wenzangu wake zenu wanaomba msamaha?

    Mi akijitahidi sana anasema "basi sawa yameisha" Au "tufanye yaishe" Na likiwa more obvious anajifanya kulia, lakini hawez sema " Nimekosa mume wangu sitarudia" Kwanini?
  19. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Wenzangu mkiambiwa hamna utu na wake zenu huwaga mnafanyaje ili maisha yaendelee?

    Ndugu zangu.. Japo wanaume tuna mioyo migumu ya kuvumilia kila jambo ila hakuna kauli inayouma na kujeruhi sana kama kuambiwa huna "UTU" na mkeo Sasa . Hivi nyie wezangu mkiambiwa hamna utu na wake au wanawake zenu huwaga mnafanyaje ili maisha ya endelee maana mimi naona na karibia kukata...
Back
Top Bottom