"Nchi yetu sasa hivi haisimami kwenye misingi ya uadilifu. Katika mengi tunaenda ovyo.
Ubinafsi umeshamiri, ufujaji umeshamiri. Na karibu misingi yote ya maadili hakuna anayeihangaikia tena. Ni kweli kanisa linatambua kwamba tunapaswa kutembea katika misingi ya uadilifu na kanisa linahubiri na...
Happy Nyerere day Tanzania 🇹🇿
Leo ikiwa ni kumbukumbu ya kifo cha muasisi wa taifa hili, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyezaliwa tarehe 13 Aprili 1922 na kufariki tarehe 14 Oktoba 1999, ni vyema tukajikumbusha historia yake na mchango wake katika taifa hili.
Nyerere wakati anafariki...
Kuna mwelekeo duniani kote nchi mbalimbali kuondoa adhabu ya kifo.kwenye mashauri mbalimvali. sina takwimu sahihi kwa sasa nchi ambazo bado zina adhabu hii ambayo kimsingi inapingana na misingi ya haki za binadamu. Kwa Tanzania ma Rais wa awamu zote walikwepa kusaini hukumu ya kifo na kubakia...
Matendo 28
3 Paulo alipokuwa amekusanya mzigo wa kuni, na kuuweka motoni, nyoka akatoka kwa ajili ya ule moto akamzongazonga mkononi.
4 Wenyeji walipomwona yule nyoka akilewalewa mkononi, wakaambiana, Hakosi mtu huyu ni mwuaji; ambaye ijapokuwa ameokoka katika bahari haki haimwachi kuishi...
Ninachokihitaji kiko sehemu ya Utangulizi wa Katiba ya JMT 1977,
Kuna maneno ambayo yamepewa kichwa cha MISINGI YA KATIBA.
Yanasomeka kama ifuatavyo.
MISINGI YA KATIBA
KWA KUWA SISI Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania tumeamua rasmi na kwa dhati kujenga katika nchi
yetu jamii...
Hoja ya Steven Wasira kuwa kesi za jinai hazipaswi kuisha kwa busara na maridhiano ni ya kuungwa mkono na kila anayeamini katika utawala wa sheria. Kama DPP amefungua kesi kwa maslahi ya umma ili kupambana uhalifu kwanini kesi hiyo iishe kwa maridhiano kati wa mtuhumiwa na serikali?.
Hakuna...
Kutokana na kuongezeka kwa kasi ya uwekezaji katika shughuli za kuongeza thamani madini nchini na kujifungamanisha kwake na sekta nyingine za uchumi, Sekta ya Madini imeendelea kuweka msingi madhubuti wa kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 inayolenga kujenga uchumi wa Dola...
Hakuna haja ya kuunda tume wala kamati
Hizi ni action zinazotakiwa kuchukuliwa
1. Zuia machawa katika chama
2. Rudisha mamlaka kwa wanachama wa chini ( wananchi), mambo ya watu wachache kukata majina na kuamua nani akagombee yasiwepo tena.
3. Zuia rushwa katika chama, hiyo ndio inaleta...
WAZIRI DKT. AKWILAPO AAGIZA MTUMISHI KUSIMAMISHWA KAZI NA KUCHUKULIWA HATUA ZA KINIDHAMU KWA KUKIUKA WELEDI NA MISINGI YA UTUMISHI WA UMMA
Dodoma Agosti 12, 2026
Kufuatia malalamiko ya wananchi wanaoishi katika eneo la Bahari Beach Manispaa ya Kinondoni kuhusu kusudio la ujenzi wa kituo cha...
Mohamed Said Unatamani sana nchi hii ingekuwa chini ya caliphate, sasa kwa kuwa misingi ya dini katika siasa iliminywa na sera za nyeerere ili isipelekee taifa kugawanyika kidini na kugeuka kuwa lebanon sasa inapelekea kukuumiza sana kwa kudanganya watu kuwa TANU na nyerere waliua historia na...
Wauguzi wa Chumba cha Upasuaji kutoka Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameendelea kupatiwa mafunzo ya kuwakumbusha misingi na kanuni za matumizi sahihi ya vipandikizi vinavyotumika katika matibabu ya mivunjiko ya mifupa, ikiwa ni sehemu ya programu endelevu inayodhaminiwa na...
Kanuni kumi na tatu za imani zimejumuishwa katika kila kitabu cha maombi cha Kiyahudi, na husomwa kama wimbo wa kiliturujia mwishoni mwa ibada. Usomaji huu unajulikana kama kiashiria cha ufafanuzi wa maandishi cha Yigdal na unaangazia nguzo za msingi za imani ya kitamaduni ya Kiyahudi, kama vile...
Tanzania, nchi yenye mamlaka kamili iliyosaini mikataba mbalimbali ya Kimataifa hususani mikataba ya kulinda haki za binadamu na ulinzi wa rasilimali za umma imeacha misingi hiyo,na sasa inajinadi kuwa na Demokrasia yake na tamaduni zake.
Kwa kuwa lengo ni kukuza aina mpya ya Demokrasia ya...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amewataka wanafunzi wa taasisi za elimu ya juu nchini na vijana kuendelea kulinda na kutetea misingi ya Muungano iliyoachwa na Waasisi.
Mhandisi Masauni ameyasema hayo Aprili 06, 2026 Jijini Dar es...
Evance Kamenge, Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema “CCM ikitoka kwenye misingi ya kuanzishwa kwake itatoka Madarakani, naoingana na aliyesema CCM itakaa madarakani Milele huo ni uongo”
Mfanyabiashara uliyeamua kuendesha biashara yako kwa kuzingatia misingi ya kisheria ili kufanikisha ukuaji endelevu bila vikwazo, kuanzia sasa usijitese. Wasiliana na kampuni yetu yenye wataalamu waliobobea na wenye uzoefu wa kutosha katika Sheria na mifumo ya kodi.
Kumbuka kuwa kuanzia tarehe...
Mfanyabiashara uliyeamua kuendesha biashara yako kwa kuzingatia misingi ya kisheria ili kufanikisha ukuaji endelevu bila vikwazo, kuanzia sasa usijitese. Wasiliana na kampuni yetu yenye wataalamu waliobobea na wenye uzoefu wa kutosha katika Sheria na mifumo ya kodi.
Kumbuka kuwa kuanzia tarehe...
Naandika haya nikiwa na uzoefu wa hizi Dini zote mbili na uwezo wa kuzichambua bila bias. Kwa kutumia pia A. M.
Nitaelezea kwa uwazi, bila kutetea, lakini pia bila kuchochea chuki. Tuende moja kwa moja kwenye mzizi wa tatizo na kama kuna njia ya kutoka.
1. Kwa nini ukatili wa kidini...
1: JORDAN PETERSON
https://youtube.com/shorts/bUynwmuTZA0?si=eoQeDd8uByUwS1ar
2: BEN SHAPIRO
https://youtube.com/shorts/fBLCnVkJ5vY?si=7Y48SE_E2PL9sukM
3: CHARLIE KIRK (RIP)
https://youtube.com/shorts/dl8azReaeks?si=CAUenD-4wRm84pm3
4: JOE ROGAN...
Serikali yatoa wito kwa vyombo vya habari vya nje kufuata maadili ya uandiahi wa habari kwa kuchapisha habari ambazo aio za upande mmoja, serikali ipo tauari kutoa ushirikiano kwa vyombo vya ndani na nje ya nchi pale watakapohitajika.
Msigwa amesema sio sawa kilichofanywa na CNN, Al Jazeera na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.