Nyota is a given name. It means star in the African languages Swahili and Lingala.People, animals, companies and fictional characters with this name include:
Nyota Inyoka (1896–1971), French-Indian dancer and choreographer
Nyota Ndogo, Kenyan musician
Nyota (Bonobo), male Bonobo born at the Language Research Center at Georgia State University
Nyota Uhura, fictional Communications Officer in the original series of Star Trek
Nyota, wedding invitation and accessories manufacturer and exporter
kuna wasanii kwenye mziki, filamu etc walikuwa wanatenbelea nyota za wasanii wengine lakini kwa sasa ni kama washakufa.
Mfano
Ben kwa kanumba
Kr mullah kwa wanaume tmk
na wengine.
Je hii inatufunza nini?
Tunapopata shavu ya kutembelea nyota za wengine ni muhimu kujifunza pia ili kuwa na...
Nimekuwa nikisikia hivyo na sikuwa nafuatilia sana hilo jambo. Mara nyingi nmekuwa nikisia... Bonyeza Nyota itakuwa ya kwako.
Je umewahi shawishika kubonyeza nyota? Ikawa yako? Je umeona kuna faida yoyote katika hilo? Mimi binafsi hayo matangazo hayajawahi nishawishi kuanza kubonyeza nyota. Na...
Nyota wa Mamelodi na timu ya taifa ya South Africa, Jayden Adams (25) amefariki dunia leo.
Kiungo huyo amefariki dunia siku chache baada ya kushiriki fainali za kombe la Dunia, Marekani lakini mpaka sasa chanzo cha Kifo chake hakijawekwa wazi.
R.I.P Jayden Adams
For English Speakers
South...
1. Nguvu Yako ya asili kuchukuliwa.
2. Kupewa nguvu ya asili tofauti.
Unaposhiriki zinaa Kuna "reaction" hutokea ambapo mtu hufa ghafra na kuzaliwa upya tofauti na yule wa awali.
(Utu to unyama)
Mtu mpya huyu ametokana na asili mbili tofauti kwa mchanganyiko wa damu. Mnapoachana baada ya...
Ukiwa na hela, ukiona watu wamejazana kwenye mahoteli wanakula bata unasema Uchumi unapiga hatua, watu wana pesa. Ukiwa huna hela unasema Hawa raia wanatoa wapi hela wakati hali ni mbaya hivi?
Ukiwa na hela, mafuta yakipanda bei unasema Hii ni hali ya soko la dunia Ukiwa huna hela unakuwa na...
Yote yaliyosemwa hapa yamenitokea na yanaendelea pia kunitokea kila Siku kwani nina Shuhuda za kutosha.
Asante sana Mwenyezi Mungu kwa hii Tunu yako kubwa ambayo uliichagua iwe ndani yangu Mimi GENTAMYCINE.
Kwa wale ambao mnajijua mna hii Nyota kama yangu na ambayo imesemwa hapa kama ukitaka...
Wadau habari zenu? Hili suala la diamond platnumz kuhusishwa na kupoka nyota za wasanii wenzake, hasa wale wanaofanya vizuri kwa kipindi fulani, limeshika kasi sasa.
Hivi karibuni kumekuwa na mijadala mbalimbali mitandaoni kuhusu kupokwa kwa nyota ya msanii Jay melody aliyetamba ni nyimbo...
Watu wenye nyota ya ng'e ni watu wote waliozaliwa kati ya tarehe 23 oktoba mpaka tarehe 21 Novemba
Kama unataka kufanikiwa kwenye jambo lako hasa linalohusu uchumi na kuvutia pesa kwako jizoeshe kujitamkia maneno yafuatayo mara kwa mara, sema :
1. Ninapokea na ninaikubali hela yoyote au zawadi...
Habari Watanzania wenzangu naomba niende moja kwa mojakwenye hoja, nikiwa kama kijana wa kitanzania naomba niishauri serikali yangu kupitia menejimenti ya NSSF kufikiria upya matumizi ya jengo la NSSF Water Front,
Jengo hili ni kati ya majengo bora kabisa kwa muonekano kwamaana ya designing na...
Maisha ni nguvu na mwenye nguvu ndio anakuwa mtawala na mtawala ndio anakuwa na mamlaka .
Sio kwamba watu awakuoni Wala awakuheshimu Bali kuna kitu ndani Yako ambacho Bado ujakiamsha kimelala na kadiri kinavyo lala heshima Yako pia inapungua kidogo kidogo .
Heshima sio kitu kinacho tafutwa ni...
Semper Fidelis.
In the Marine Corps, under President Donald J. Trump color does not matter.
Merit does.
For the first time in its 246-year history, the U.S. Marine Corps has promoted a Black officer to the rank of four-star general.
General Michael E. Langley has made history.
Commissioned...
Zikiwa zimepita siku 6 tangu tukumbuke kumbukumbu ya kuzaliwa ya rapper XXXTENTACION (Jahseh Dwayne Onfroy), aliyezaliwa tarehe 23 Januari 1998 nchini Marekani.
Alijulikana kwa muziki wake uliogusa hisia za vijana wengi duniani, akichanganya Hip-Hop, Rock na R&B. Nyimbo zake zilizungumzia...
Ndugu wana jukwaa,
Leo ni siku ya huzuni tunapopokea habari za kuondoka kwa mmoja wa magwiji wa kweli wa filamu za mapigano kutoka Hong Kong—Leung Choi-sang.
Kwa wale tuliozaliwa na kukua tukitazama mikanda ya VHS na filamu za kusisimua za miaka ya 70 na 80, Leung hakuwa mwigizaji tu, bali...
Katika numerolojia namba ndiyo siri na nguvu itawalayo maisha kama nilivyowahi kuandika juu ya mwaka 2025 ni njia ile ile ninayoitumia kuhesabu mwaka wa 2026:
2 + 0 + 2 + 6 = 10, na kisha jumlisha tena: 1 + 0 = 1. (Kwa sababu lengo ni kupata namba ukiwa katika dijiti moja "single digit")
Kwa...
Maji ni kitu chenye nguvu sana!
Kamwe usijaribu kuyazuia yanapochagua njia yake, maana hutayaweza. Ukijaribu, yatakusababishia madhara makubwa!
Ni wakati wa mabadiliko… Hayazuiliki! Na kujaribu kufanya hivyo ni kujitafutia shida za kujitakia.
Nyota waliohamasisha na kufanikisha maandamano ya...
Tulikua vitani, tukipigania uhuru kwa amani.
Rafiki zangu waliuawa kikatili na askari.
Mikononi mwao hawakubeba hata jiwe la kupigania,
lakini walipigwa risasi viunoni, vifuani, na hata kichwani,
ili kututisha, ili kutunyamazisha, ili kutuvunja moyo.
Walio tangulia nawaombea mbele ya MUNGU...
UKifatilia katika jamii zetu wale vijana waliopata ukimwi mapema chini ya miaka 40 wengi wao lazima wawe vizuri kiuchumi
Bado hata watu wazima wengi na mishangazi,kila mshangazi wenye mapene ukiifatilia vizuri unagundua tayari imeshawaka
Naanza kuamini ukimwi utakuwa na nyota ya hela
Ushauri wangu jamani Mwenyezi Mungu anapotupa nafasi ya Kuzikamata basi tuwe na Nidhamu ya Kuzitumia lakini Kubwa tujikite mno katika Kuwekeza ili tusije Kuumbuka baadae / mbeleni kama aliyewahi kuwa Mchezaji nyota / mahiri wa Yanga SC Jesus Kololo.
Ila Moloko nawe leo ngoja Nikuchane kwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.