mume

 1. Sky Eclat

  Mke wa Bill Gate alikodi Mpelelezi wa siri kuchunguza mienendo ya mume wake

  Baada ya mume wake kuwa anatoweka ofisini muda wa kazi, Melinda alitaka kujua huwa ana kwenda wapi. Alikodi Private Investigator. Report ya PI huyo imefahamika kuwa jamaa alikua anakutana na totoz mchana, ndiyo msingi mkubwa wa talaka. Hii Porches ya rangi ya dhahabu ndiyo aliitumia Mzee...
 2. Mpess

  Mume mwema ni zawadi kutoka kwa Mungu anahitajika

  KUTOKA KWA RAFIKI YANGU AMEOMBA NIMUWEKEE Naitwa(L) jina kwenye mabano umri wangu miaka 41 nina watoto 3, nahitaji mume..awe mkristu awe na kazi yoyote inayomuingizia rizki..umri kuanzia 45 na asiyehitaji kuzaa tena, namba yangu 0789044835
 3. Mpess

  Nahitaji mume mwaminifu

  KUTOKA KWA RAFIKI YANGU Naitwa (H) jina kwenye mabano Mimi ni kijna wa kike naish dar umri 28 nahitaji mume mwenye vigezo hivi: Awe anaish dar, Awe anfny kaz, Awe na umri kuanzia 29-33, Dini awe muislam or mkrito, Awe wa kawaida na awe tyr kwa ndoa no_0626596966
 4. R

  Nahitaji mume

  Sifa zangu Umri: miaka 34-35 Dini: Mkristo Elimu: Shahada ..... Ajira: Mwajiriwa Urefu: 161cm SIFA ZA MWANAUME Umri: 35-45 Kabila: Lolote Rangi: Yoyote Elimu: Shahada na kuendelea Kazi: Uwe mwajiriwa wa serikali Dini: Mkristo Uwe mkweli. Usiwe mlevi. Uwe tayari kupima HIV
 5. mama D

  Ujumbe makini kwa mabinti toka kwa baba wa kiroho - "Mabinti msijilazimishe kwa wanaume"!

  Wanaume wengi kwenye mambo ya kujirusha wanaangalia vitu vya nje vile vinavyotamanisha, kuwapa mzuka na kuwatega ila inapokuja kwenye suala la kuoa huwa wanaangalia mke na sio mwanamke tuu. Wanaangalia mambo ya ndani kama tabia na akili ya maisha na sio yale mambo ya nje tena. Ya ndani yakiwa...
 6. N

  Haki za mke kwa mume zipo za aina mbili

  #Haki za mke kwa mume zipo za aina mbili; 1) Haki za kimali (mahari, chakula, malazi, mavazi nk). 2) Haki za nafsi (Mwili). #Miongoni mwao ni;
 7. jshilla

  Kwanini wanawake wanashindwa kufanya haya matano?

  1. Lala nae (muhimu kuliko yote) 2. Mlishe ashibe 3. Muheshimu 4. Mwache awe na amani 5. Usimuingilie katika mambo yake. Ni ajabu sana wanawake hawawezi kuyafanya haya matano kwa waume zao, ni kwanini?
 8. kibovu

  Mwanamke aongea na simu ya Wanaume mbele ya mume wake

  Wakuuuu poleni na mfungo ndugu zangu na kazi iendelee. Ndugu zangu nimekuja kikaz Dar es Salaam ntakuwa kwa muda wa mwaka mmoja nimepata nyumba ya kupanga hapa sinza madukani . Nimepanga na jirani yangu akiwa na mkewe chombo sana lakini bado hawajapata mtoto. Mkewe jioni hupenda kujifunga...
 9. livewise1

  Ushauri: Mtalaka anatishia kuvunja ndoa mpya ya rafiki yangu

  Habari wakuu! Kuna jamaa yangu amenipa kisa kilichomtokea nibaab-kubwa, na anaomba mawazo mbadala au kama yeye yuko sahihi pia aendelee. Mwaka juzi alikuwa mkoa wa Mara akifanya kazi kama msaidizi wa familia ya mama mwenye kampuni ya utalii. Huyo mama alimuamini ikafika hatua amemuelekeza...
 10. Sky Eclat

  Mume na mke wamepata watoto mapacha baada ya miaka 43 ya ndoa

  There is no age restriction to getting your wish fulfilled and this 68-year old woman in Nigeria proved that. The old woman was trying to have kids for a long time, to state, 46 years of long wait she did for the birth of her first child, but when she became successful, she got not one but a...
 11. S

  Nimeanza kulewa kwasababu nimemchoka mume wangu tangu alipofilisika

  Hata kulala naye kitanda kimoja tu, achilia mbali mambo ya kuchakatana, najisikia kama niko gerezani. Inanibidi nipige ulabu ili nimudu kulala hapo kitandani. Appetite ya kuwa naye imekata kabisaaa. Nikimcheki alivyopauka, midevu imechachamaa utadhani yule mchezaji wa Simba ambaye huwa akifunga...
 12. B

  Amfumania mume wake na house girl, alimlipisha pesa ili yaishe

  Hiki kisa kilitokea muda kidogo. Nakumbuka nilitoka mkoani kuja kusoma tuition dar, nilifikia kwa baba mdogo. Siku moja najiandaa kurudi shule mkoani nikaenda kariakoo kununua vitu mbali mbali vya shule, kurudi home nikagonga get akaja baba mdogo kunifungulia . Bahati mbaya mimi sikufunga na...
 13. Sandali Ali

  Mke au mume wako anapojenga kwa siri bila wewe kujua tafsiri yake ni kwamba anajiandaa kuishi bila wewe

  Habari wanandoa na wanauchumba. Hivi unajua kuwa mwenzi wako anapoamua kujenga nyumba au kufanya jambo la kimaendeleo bila wewe kujua hapo anajiandaa kuishi bila wewe? Hii dunia ina mambo sana. Unaweza kuona watu wakiishi pamoja wakicheka pamoja na kula pamoja ila mmoja au wote wakaingiwa na...
 14. EINSTEIN112

  Ukiamua kuwa na mahusiano na mume/mke wa mtu lazima ukubali kuwa mtumwa

  1. Baby samahani dakika moja, wife anapiga simu. 2. Baby muda umeenda Sana mke wangu atanipigia, wacha niwahi kurudi nyumbani, Kesho saa 12 nitakuwa hapa 3. Baby nataka kuja kulala kwako mke Wangu amefiwa kaenda kwao 4. Baby sintaweza kuja Leo, wife kanibana... Pole kwa kuugua 5. Baby...
 15. M

  Mume wa mzazi mwenzangu kanikataza kuwasiliana na mkewe

  Nilikua na girlfriend wangu na tulibahatika kupata mtoto ila tulitofautiana hali iliosababisha kutokuishi pamoja. Sasa mwezi uliopita mwenzangu kapata mwenza lakini tulikua tunawasiliana kawaida kuhusu malezi ya mtoto. Jana mumewe kanipigia simu ananiambia nisiwasiliane na mkewe, ishu zote...
 16. M

  Hivi watu wanaotafuta mke au mume wa ndoa mitandaoni wanapataga kweli watu sahihi?

  Mara nyingi mitandaoni nimekuwa nikishuhudia mitandaoni sativa ski post mata ohoo natafute MTU wa kuoa, au nahitaji Mwanaume serious wa ndoa mwenye sifa hizi Mara zile . Napenda kuuliza, hivi hawa watu wanapataga watu sahihi kweli katika mahusiano ya ndoa?
 17. S

  Mama Samia ni rais lakini bado ana mume, wewe mshahara laki 3 unamtosa mumeo ili uwe single mama!

  Mama Samia ni mfano bora sana kwa wanawake wa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Pamoja na kushika nafasi kubwa serikalini kwa muda mrefu lakini bado ameendelea kumheshimu mumewe na hivyo kudumisha ndoa yake. Wapo wanake wengi tu ambao wakipata nafasi bora ama kipato Bora kuliko waume zao basi...
 18. 2019

  Kupitia kisa hiki, kama mume ungechukua hatua gani? Wanawake Je huyu mwenzenu yuko sahihi?

  Imemtokea mdogo wangu ukoo mmoja saivi anazidi kukonda tu: umri wa wote ni kati ya 21-27. Alimpenda dada mmoja 2018,mtoto wa kike nae alimpenda pia jamaa akawa serious nae na kutangaza kuishi nae,huyo dada akadai ana mtu mwenye malengo nae(ndoa) ambaye pia wazazi wanamjua. Basi dogo akampa...
 19. Sky Eclat

  Mume wa Rais katika dunia ya mfumo dume

  Mume wa Rais ni mtu wa muhimu sana katika jamii, kama alivyo mke wa Rais. Katika dunia ambayo bado ni mfumo dume, mume awe tayari kukutana na changamoto katika jamii. Ninakumbuka wakati wa G8 summit, mume wa Angela Marckle alijikuta akiongozana na wake wa Marais katika kutembela shughuli za...
 20. Shark

  Nini Majukumu ya Mume wa Rais (First Gentleman) Kiserikali?

  Wakuu Kwema? Kama mnavyofahamu kwa mara ya kwanza Tanzania tumepata Rais Mwanamke baada ya Rais aliye madarakani kufariki kwa kuumwa. Sasa baada ya kuwa na Rais Mwanamke, nini yatakuwa majukumu ya Mumewe? Je, naye atakuwa anaandamana na Mkewe (Rais) kila anapoenda? Mwenye kufahamu hili...
Top Bottom