utamaduni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Uwajibikaji unaooneshwa wakati wa Mwenge unapopita uwe Utamaduni wa Viongozi wetu Kila Siku

    Kwa takribani miaka saba sasa nimekuwa nikifuatilia kwa karibu masuala ya Kijamii na Kisiasa nchini, nimejikuta nikijiuliza swali moja ambalo hadi leo halijapatiwa majibu ya kuridhisha. Nimewahi pia kuwauliza baadhi ya watu walioko karibu nami, lakini hata wao walionekana kuwa na mashaka au...
  2. Mag3

    JamiiForums Tanzania Je, matibabu ya Kitanzania (Tanzania Treatment) ni utamaduni wa Kitanzania? Kwanini tunapiga vita ushoga?

    Watanzania wote waliotendewa vitendo viovu kama hivi kwa kawaida hukaa kimya na kwa aibu hawathubutu kusimulia kwa undani yaliyowakumba kwenye kinachodaiwa matibabu ya Kitanzania? Je kuna uwezekano kwamba watekaji pamoja na viongozi wanaowatuma kufanya hivi vitendo nao hupitia hayo matibabu ya...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo asisitiza dabi ya Kariakoo iko palepale

    Wakuuu Serikali inasisitiza Dabi iko palepale, ile kauli ya 'HATUCHEZI' imeishia wapi? == Serikali imethibitisha rasmi kuwa pambano kubwa la watani wa jadi Yanga dhidi ya Simba litapigwa kama ilivyopangwa, Juni 15, 2025, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Katika kipindi cha...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Michezo, Utamaduni na Sanaa 2025/26 yapaa kwa 82.2% hadi TSh Bilioni 519.66 kwa maandalizi ya CHAN na AFCON

    Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeidhinishiwa bajeti ya TSh bilioni 519.66 kwa mwaka wa fedha 2025/26, ongezeko la takriban asilimia 82.2 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2024/25 ya Shilingi bilioni 285.3. Pia, Soma: Waziri Kabudi aomba Bunge kupitisha Bajeti ya TSh 519.66...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hijab ni vazi la kidini au utamaduni wa kiarabu?

    Hili vazi la hijab ambalo huvaliwa zaidi na wanawake wengi wa dini ya Kiislamu na Waarabu ni vazi la kidini(uislamu) au la utamaduni wa Waarabu?
  6. Umeyashenyeta

    JamiiForums Tanzania naomba mwenye kujua au maswali ya written ya interview ya Afisa utamaduni II

    Afisa utamaduni II nimechaguliwa kwenda written interview lakini sijui maswali yanatokaje, naomba kueleweshwa
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kwa research niliyofanya makabila yaliyofanikiwa zaidi hapa Afrika yana utamaduni wa kurudi kwao kwa wingi kila mwisho wa mwaka,

    Wakati familia mbalimbali za jamii flani zinapokuwa kwenye misururu ya foleni ya kwenda vijijini kwao unajua sikukuu za mwisho wa mwaka zimekaribia, watu hao hutoka kila kona ya dunia kusherehekea mwisho wa mwaka kwa pamoja. Ni wakati wa kukutana na ndugu wapya, familia mpya, jamaa mliopotezana...
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Katika kipindi cha Julai 2024 hadi Aprili 2025, Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania umetoa mikopo yenye thamani ya Shilingi bilioni 2.69 kwa miradi

    Katika kipindi cha Julai 2024 hadi Aprili 2025, Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania umetoa mikopo yenye thamani ya Shilingi bilioni 2.69 kwa miradi 143 ya utamaduni na sanaa.
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majaliwa: Zawadi pekee ya kuwalipa Rais Samia na Rais Mwinyi kwa maendeleo waliyoyaleta kwenye michezo ni "mitano tena"

    https://www.youtube.com/live/2AL9sZGpSbA Ufunguzi wa kikao kazi cha Mafunzo na Mazingativu cha Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya Michezo Tanzania Bara, mgeni rasmi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa (MB). Ufunguzi huo unafanyika kwenye Ukumbi wa...
  10. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Wanaume tunatafuta Amani,salama na baraka katika ndoa,wenzetu wanadumisha utamaduni.

    Ndoa ni baraka na njia ya kuendeleza misingi mizuri ya utamaduni pamoja kuongeza uzao wa jamii/familia. Katika mkisanyiko huu dhamira kuu hua ni baraka ya watoto na kipato lakini pia kupunguza matokeo hasi kwa jamii dhidi ya wazaliwa wasiokuwa na malezi ya pande mbili kwani ukweli usiopingika...
  11. Damaso

    JamiiForums Tanzania Tuwaache Wahadzabe Waishi Maisha Yao: Heshima kwa Utamaduni wa Asili

    Imekuwa ni kawaida kukutana na video na picha zikionesha maisha ya ndugu zetu Wahadzabe wakiwa wanawinda na kutafuta chakula, huku zingine zikituonesha upekee wa lugha yao ambayo ni moja ya utajiri mkubwa sana wa lugha zaidi ya 1000 zinazopatikana ndani ya bara letu la Afrika. Lakini katika...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Sanaa, Utamaduni na Michezo

    Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Sanaa, Utamaduni na Michezo
  13. ngara23

    JamiiForums Tanzania Watoto wapiga dufu kuomba ovyo kipindi cha mwezi Ramadan ni utamaduni wa ovyo

    Kuna utamaduni umekuwepo wa kuwatumia watoto kuomba omba na vigoma vyao hasa katika mwezi Ramadhani Huu ni udhalilishaji wa watoto wadogo na kuwajengea fikra duni za kuomba omba Dr Gwajima Toka ofsini wasaidie hawa Watoto wanaomba omba waende shule wapate maarifa yake kuwafata baadaye kwenye...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Familia ya Kisyria huko Uholanzi ilimfunga na kumzamisha binti wao kwenye mtaro. Walipokamatwa, walijitetea kwa kudai ni kawaida katika utamaduni wao

    Jamaa wanasema wamefanya mauaji ya heshima kwa maana binti yao alikuwa amegeuka na kuwa kama "binti wa kimagharibi" Mtapeli mwanadamu vyote, ila ukishamteka katika fikra na imani, basiiii, unamuibia hadi doti ya mwisho ya utu wake
  15. K

    JamiiForums Tanzania Je wizi wa kura na kunyima haki ndiyo utamaduni wetu?

    Wanaosema Tanzania tuna utamaduni wa chaguzi na twende tu hivyo hivyo hata kama tunajua kabisa kura hazijesabiwi kabisa toka 2019. Lissu na team yake wametoa data za kila kitu lakini cha kushangaza unakuta wasomi kabisa wa media wanasema . Lissu Mama anakupenda sijui nini sasa hayo mbona...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, na uongozi wa VETA watakiwa kuendesha program zitakazowasaidia Vijana wa Zanzibar kujiajiri na kuajiriwa

    Naibu katibu Mkuu wa Chama Cha cha Mapinduzi Zanzibar Dkt. Muhammed Said Dimwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Fatma Hamad Rajab kukaa pamoja na Uongozi huo wa Veta ili kuweza kuendesha program zitakazowasaidia Vijana wa Zanzibar na kuweza kujiajiri...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania VIDEO:- Neno moja kwa utamaduni huu kwa wanandoa wapya.

  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa jamii ya kikurya kwa kuwa na utamaduni wa kuwafanyia sherehe ndogo ya kuwachinjia mbuzi wazazi/walez kama njia ya thanksgiving na kuwaenzi

    Hapa najua vijana mliotoka kawe leo mtasema wanatambika😂😂😂
  19. L

    JamiiForums Tanzania Tamasha la kwanza la mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China larushwa hewani baada ya Sikukuu hiyo kuorodheshwa kuwa “urithi wa utamaduni usioshikika”

    Tarehe 28 Januari ni mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China. Kama ilivyo desturi, saa 2 kamili usiku kwa saa za Beijing, tamasha la mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China ambalo linaandaliwa na Shirika kuu la utangazaji la China CMG linalojulikana kama “Chunwan” linarushwa hewani kwa ajili ya...
  20. Zemanda

    JamiiForums Tanzania Dating sio utamaduni wa mwafrika.

    Imezoeleka kusikia mabinti wakisema nadate na mtu fulani au fulani anadate na fulani au nataka kudate na fulani. Kudate ni ile aina ya mahusiano ambayo watu wawili wasio jua hatima yao wanaamua kuwa pamoja wakifanya mambo au kuwa na ratiba as if ni wapenzi lakini sio wapenzi rasmi. Sisi...
Back
Top Bottom