mtumwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GoldDhahabu

    Kila mtu ni mtumwa wa utamaduni wake

    Kama umezaliwa kijijini kwenu, ukakulia kijijini kwenu, ukasomea kijijini kwenu, na shughuli zako zote ukazifanyia kijijini kwenu, ni rahisi kuamini kuwa mila na desturi zenu ndizo bora kuliko zingine zote. Lakini wakati huo huo, kwa watu wa tamaduni zingine, wanaweza wakawa wanawashangaa jinsi...
  2. M

    Watu hawana muda na shida zako, usiposhtukia hilo utaishi kuwa mtumwa

    Ili ujue kama watu hawana muda na shida zako subiri siku wanakuomba uwasaidie nawe eleza shida zako, hata kama zitakuwa ni kubwa kuliko zao bado watakulaumu tu 😔 TUMIA KANUNI HII ILI USIWE MTUMWA HUKU MAMBO YAKO YAKIHARIBIKA 1. Jali afya yako kwa 100% 2. Hakikisha mambo yako yako sawa ndio...
  3. Mhafidhina07

    Abadani afrika itaendelea kuwa mtumwa na masikini mpaka kiama

    Kwenu wana jamvi leo nimekalia jamvi siti ya mbele kuongelea msiba mkubwa wa nchi za kiafrika kurudi nyuma karne moja iliyokwishapita,si aghalabu ila naona imekifu sasa licha kuanza kwa harakati za kujikumboa kwa mtu mweusi kipindi cha utumwa ambapo ilitumika nguvu nyingi kupinga biashara ya...
  4. Ghost boss

    Mungu siyo mtumwa wako, hafanyi kamwe mapenzi yako

    Hakuna anayeishi kwa ajili yake “Mungu wangu, mungu wangu mbona umeniacha”, hii ni kauli ya Yesu alipokuwa msalabani anakaribia kufa, na muda mchache baadaye Yesu alikufa, kumbuka kama yasemavyo maandiko, 'Ndani yake yeye sisi tunaishi, tunajimudu, na tuko". Mungu sio Mungu wa wafu ni Mungu wa...
  5. B

    Ukweli ni mchungu na asiyeubali ni mtumwa wa fikira. Wanawake na Wanaume hili mnalijua?

    Kwanza kabisa niwape pole wale wanaopitia changamoto za mahusiano. Poleni sana Ila wakati mwingine poleni kwa kujitakia. Tatizo watu wengi hutengeza tatizo na baadaye mnakimbilia JF kuomba huruma. Leo tuambizane ukweli ulio mchungu, wanawake 90% hawateswi na waume zao bali wanatengeneza...
  6. Burkinabe

    Capt. Ibrahim Traolè: Mtumwa asiyejitambua (mpumbavu) hatakiwi kutetewa wala kuhurumiwa

    Moja kati ya viongozi jasiri kabisa kuwahi kutokea barani Afrika, kijana mdogo na mzalendo kwa Taifa lake na Afrika kwa ujumla; Capt. Ibrahim Traolè, Rais wa mpito wa Burkina Faso, amewaasa vijana wa Kiafrika ifikie mahali wajitambue (waache ujinga) na kujinasua dhidi ya ukandamizaji unaofanywa...
  7. Kiboko ya Jiwe

    Hivi ni kwanini Waafrika wengi wana akili ndogo na wengine hawana akili kabisa?

    Nilishaongea sana na sasa naona kazi kurudia . Icheki hii video fupi hapo chini uone jinsi akili za Mwafrika huyu na ma bodyguards wake Mimi ni Mtanzania ila simjui huyu kijana I mean sio maarufu sana, sio potential sana kwamba anaweza kuvamiwa akitembea mchana maeneo ya wazi hasa pahali...
  8. Innocent Ngaoh

    Jinsi ya kutokuwa Mtumwa wa Mitandao ya Kijamii na Uishi Maisha ya Furaha

    Upweke ni tatizo kubwa hususani vijana, unashangaa upo online masaa 24 kwenye mitandao ya kijamii. Lakini... Huna muda wala ukaribu na mtu wa karibu yako pengine majirani zako, kwa kisingizio unaishi maisha yako hivyo wasikufate fuate, Kumbuka maisha bila watu hayana ladha. Mitandao ya...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Mwanamke Mnyenyekevu Vs Mwanamke Mtumwa

    MWANAMKE MNYENYEKEVU Vs MWANAMKE MTUMWA Anaandika, Robert Heriel Mume. Wanaume wote Duniani wanapenda Mwanamke mnyenyekevu, lakini wapo wanaochanganya unyenyekevu na Utumwa. Kwa kweli wengi wanaposema Unyenyekevu humaanisha Utumwa. Wanahitaji Mwanamke mtumwa. Mwanamke mnyenyekevu ni Nani...
  10. Kiboko ya Jiwe

    Najuta kuwa Mwafrika

    Kibaya zaidi Mwafrika hataki kabisa kukiri kuwa akili zake ni finyu au hana akili kabisa. Kila mtu hapa Afrika ni daktari, ukiumwa kidogo utasikia kunywa maji mengi. Kula matunda. Ukimuuliza hayo maji yanafanya vipi moa mtu apone hana jibu. Karne hii bado kuna watu wanawafundisha Waafrika wenzao...
  11. Nigrastratatract nerve

    Karma is real imeanza na Lissu, amekuwa mtu wa kutangatanga, amekuwa mtumwa hayuko huru. Atubu kwa kumsingizia Hayati Magufuli mabaya. Mengi yatamkuta

    Tundu Lisu anajua kutoka moyoni kwa uhakika kabisa kwamba Magufuli hakuhusika na shambulio lake lkn kwa kuahidiwa hela akakubali kulichafua Jina la Magufuli kwa kumsakizia mambo ya uongo akamdhalilisha mpaka amelala umauti hakuwahi kumuomba msamaha. Lakini cha kushangaza sana Sana kwa utu...
  12. NetMaster

    Nilianza kwa majaribio nikaishia kuwa teja, Story ya ukweli jinsi nilivyokuwa mtumwa wa kujichua kwa miaka 10

    Ilikuwa ni kipindi nipo darasa la sita nikiwa na miaka 12 kwenye kipindi cha sayansi mwalimu alikuja kufundisha topic ya mitindo ya maisha kama sikosei ilikuwa ni reproduction. Ni topic ambayo wengi iliwafanya wawe wasikivu kama mjuavyo hata watoro walikuwa hawaikosi, sasa katika maswali ya...
  13. NetMaster

    Tofauti na wachaga, kwanini wakabila mengine hayaendelezi makwao na hawapendi kurudi kwao?

    A. MAENDELEO (Kujenga kwao) Mtu ana mafanikio makubwa huku mjini ana nyumba ya kisasa, gari nzuri, kipato cha uhakika, n.k lakini huko kwao hali ni mbaya, Nyumba imekaa kimasikini mpaka aibu, bati lina kutu,ndani vitanda vimechoka, jikoni sufuria ni za kale, n.k… Huu ni uungwana kweli ? kuna...
  14. Basi Nenda

    Isidore Bakanja, Mtumwa aliyeuawa kisa Dini

    Huyu alikuwa kijana mdogo aliye zaliwa mnamo mwaka c. 1887 huko Congo (DRC ya leo)sehemu inaitwa Bondela wakati huo palijulikana Kama Congo Free state na kufariki 15 August 1909 huko Busira,Bakanja alitangazwa mwenye heri tarehe 24 April 1994 na papa John Paul wa pili. Bakanja alikubali imani...
  15. Farolito

    Negro Tom: Mtumwa wa Kiafrika aliyekuwa na uwezo wa ajabu wa kufanya Hesabu kichwani kiasi cha kuitwa 'Calculator'

    Jina lake halisi ni Thomas Fuller, Mwafrika aliyezaliwa huko Benin mwaka 1710 na kuuzwa utumwani huko Alexandria,Virginia USA mwaka 1724 akiwa na mika 14. Alipewa jina la "Virginia Calculator" kutokana na uwezo wake wa ajabu wa kufanya kufanya mahesabu magumu kichwani. Mfano aliulizwa kuna...
Back
Top Bottom