tamaduni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Licha ya Waislamu weusi kujaribu kutengeneza umoja na waarabu kwa kigezo cha kudumisha umoja wa kiimani na tamaduni, kwanini bado Waarabu wanasita?

    Juhudi za mtu mweusi kujenga umoja na waarabu. Mavazi ya kiarabu - kuvaa kanzu, kobazi, barakshia, n.k. Majina - ni kawaaida kukuta jina la kwanza mpaka la ukoo la kiarabu Lugha ya kiarabu - huipa uzito wa hali ya juu Ndoa kwa tamaduni za kiarab - kuvaa jambia kiunoni kwenye siku ya kufunga...
  2. THE BIG SHOW

    Zanzibar msiposimama imara kuendelea kulinda mila na tamaduni zenu, heshima yenu duniani itashuka

    Friends and Our Enemies, Beautiful Islands Of Africa, Zanzibar... Fahari pekee iliyobakia Africa na inayozidi kuwakilisha ubantu na TAMADUNI za heshima ni wewe Zanzibar. Watu wengi wakitaka kujitambulisha Kwa wageni WASIO ifaham Tanzania basi utawaskia wakisema huko kuwaambia wageni kuwa Mimi...
  3. Allen Kilewella

    Tunaweza kuwa waislam au wakristo bila ya kubeba tamaduni za waliotuletea dini hizo?

    Nimejikuta nawaza kama mkristo anaweza kuvaa kanzu na Barghashia na kwenda ibadani kanisani na wakristo wenzake wakawa na amani naye. Lakini nikawaza pia kama Muislam anaweza kumuadhinia mtoto wake Jina la Edward na waislam wenzake wakaona ni sawa. Hivi tunaweza kuwa waislam ama wakristo huku...
  4. WomanOfSubstance

    Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

    Nini madhumini na matumizi ya vitu vifuatavyo wavaapo wakina dada na akina mama katika jamii yetu? 1: Kipini cha puani a.k.a (Kishaufu) iwe kushoto au kulia 2: Kikuku iwe mguu wa kushoto au kulia au yote kwa pammoja 3: Na mwisho ni Shanga za kiunoni. Je, waonaje? Vyapoteza maana halisi kwa...
  5. Lyetu

    Je tamaduni za wamasai na wahadzabe ziko juu ya sheria?

    Mama wa watoto kadhaa anahukumiwa zaidi ya miaka 20 kwa kukutwa na nyamapori kilomoja, ila kuna kundi la watu linafanya uwindaji haramu kwa kuua mamia ya wanyamapori kwa kisingizio cha tamaduni. Ufugaji wa ng'ombe wa kienyeji umekuwa kama uharifu nchini kwa asilimia kubwa ya wafugaji, mifugo...
  6. Papaa Mobimba

    KWELI Tofauti na tamaduni iliyozoeleka ya Rastafarians, Lucky Dube hakuwahi kuvuta bangi

    Kama ilivyozoeleka kwenye jamii nyingi kuwa ukiwa Rastafarian basi kwa asilimia kubwa utakuwa unatumia bangi/marijuana na majina mengine lukuki kama inavyojulikana. Leo kwenye mitandao ya kijamii kulikuwa kuna meme inasambaa ikiwa na ujumbe "Wakati Lucky Dube anaimba "Born to Suffer" me...
  7. Mhafidhina07

    Umuhimu wa vyombo vya habari(media) kwa matokeo hasi ya tamaduni.

    Hakuna kiumbe chochote kisiyojua umuhimu wa makutano katika jamii zote za kiulimwengu pasipo kuwa makutano hakika wengi wetu tunageishi leo yetu ndani miaka 5 ijayo,tusengejua baadhi ya mambo muhimu ya kiuchumi katika matokeo chanya ya ukuwaji wa pato la mwananchi. Bado tusingejua nini maana ya...
  8. Chachu Ombara

    Waliosambaza taarifa potofu dhidi ya Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango kukiona cha mtema kuni. Waziri Nape atoa maelekezo

    Kupitia mtandao wa kijamii X, Waziri Nape Nnauye amesema kuwa ameelekeza vyombo vinavyohusika kuchukua hatua za mfano dhidi ya wote waliozusha na kusambaza taarifa za uongo dhidi ya Makamu wa Rais. Nanukuu "Pole sana Mhe Makamu wa Rais. Tumekusikia. Kwakuwa tuna sheria zinazoelekeza mitandao...
  9. FaizaFoxy

    Tamaduni na mila za kufikirika (ajabu) Tanzania na duniani

    "Anayesoma ana mengi sana asiyoyaelewa, asiyesoma hana asichoelewa". Kama umewahi kusikia kuona au kukutana na mila ambayo kwako ilikuwa ni ya ajabu au haijakukalia sawa lakini ulipoiona au kuikuta ilikuwa ni kitu cha kawaida, itupie uzi huu. Pia tupia hapa mila ambazo kwako au kwenu ni...
  10. Sky Eclat

    Watu wa Fiji ni ndugu zetu, mila na tamaduni zetu zinafanana

    Niliangalia kipindi kimoja katika luninga, kilionyesha mila na desturi za watu wa Fiji, kwa kweli wale ni wenzetu kabisa. Inasadikia miaka mingi iliyopita, Rufiji kuna watu walisafiri katika chombo kutumia Bihari. Katika safari ile, chombo kilipaigwa na dhoruba kali na kilipotea baharini. Kwa...
  11. Hyrax

    Mikoa ya Tanzania na tamaduni zake

    Tanga mtoto wa kike akizaliwa tu anavalishwa shanga. Arusha kama huna meno ya dhahabu unatengwa. Manyara usipoua simba we sio mwanaume kamili. Mara demu akiwa hapigwi anaomba talaka. Mwanza mtoto mchanga wa cku 1 anapewa ugali sio maziwa. Kagera huko hata barabara ya vumbi wanaita flyover...
  12. gstar

    Lini Waafrica tutaachana na tamaduni hizi?

    1. Kuvunja nazi njiapanda. 2. Kwa mama ntilie kupika chakula na maji yaliyooshea maiti / yaliyo tawaziwa. 3. Kuchukua watu misukule. 4. Kuwanga usiku. 5. Kufuga majini. 6. Kuhudhuria kwa waganga wa kienyeji. 7. Kugeuza watoto wetu mandondocha ili tupate utajiri. 8. Mwanamke kumlisha...
  13. Scars

    Baadhi ya Tamaduni Artist waliomjibu Khaligraph Jones

    Baada ya Khali kutoa kebei kwa wanamziki wa Hip Hop ya Bongo kuwa hawana uwezo wa kushindana naye. Khaligraph Jones alitoa masaa 24 kwa wasanii wa Hip Hop wa Bongo wajitokeze kum-challenge. Japo wakazi alishauri wasanii wasimjibu chochote lakini bado Songa na One the incredible wameamua kumpitia.
  14. Mr Why

    Tanzania ni nchi pekee duniani inayopuuza tamaduni zake

    Husika na kichwa cha habari cha mada hii. Ni kweli kuwa Tanzania ni nchi pekee duniani inayopuuza utamaduni wake na kuiga tamaduni za nchi nyingine za Afrika na ulimwenguni kwa ujumla. Katika swala la utamaduni kwa upande wa Tanzania basi haishikilii chake inatupa na kushikilia ya wageni...
  15. MK254

    Makundi ya Waislamu Waafrika wavamia na kuzuia sherehe za kusheherekea tamaduni za Kiafrika

    Yale yale tu, Waafrika wanakusanyika kusheherekea tamaduni na desturi za Kiafrika kisha Waislamu Waafrika wakaibuka na kuzuia na kusema zifuatwe tu tamaduni za Kiarabu yaani Kiislamu kwenye mkoa wa Yoruba, Nigeria, Afrika........ A Muslim group, Majlisu Shabab li Ulamahu Society, in Ilorin...
  16. Siku Hazifanani

    Kwa asilimia nyingi Waislamu tumechukua tamaduni za Kiarabu. Je, Uislamu ni Uarabu?

    uarabu una mila na desturi zake na uislam una sheria zake lakini huku kwenye uislam tumekomba mpaka uarabu, nimeuliza swali uislamu ni uarabu? Majina - yani mpaka jina la ukoo linanyofolewa. Kutukuza waarabu - kuwa na dhana potofu kwamba waarabu ni ndugu zake Mwenyezi Mungu, kuiita ngozi ya...
  17. Masikio Masikio

    Tamaduni za kabila la wazinza zikoje

    Kabila la wazinza lipo sengerema, geita na sehemu mbali mbali za kanda ya ziwa Ambaye anazijua tamadun za kabila la wazinza naomba anijuze Note: wale watukanaji na wale wenye stress huu sio uzi wa kumalizia stress zenu
  18. D

    SoC03 Tunaweza kujilinda dhidi ya utamaduni wa Kimagharibi

    Kama ilivyo kwa kila nchi kuwa na sheria na kanuni zake ambazo ni ngumu kukuta kwa nchi nyingine basi hata jamii ina tamaduni zake ambazo zilikuwepo tangu hapo zamani enzi za mababu na mabibi zetu na hazikuwekwa tu bila sababu bali zilitokana ili kuilinda jamii na watu waliomo ndani take dhidi...
  19. matunduizi

    Tamaduni 10 za kidini ambazo hazimo kwenye Biblia au Quran

    Hizi hazimo kwenye Biblia. 1: Sikukuu za Krismass na Easter. 2: Kunena kwa Lugha ambazo mnenaji na wasikilizaji wote hawaelewani. 3: Maombezi kwa maiti ili isamehewe dhambi alizofanya akiwa hai. 4: Sabato ya Jumapili. 5: Mchungaji au askofu wa kike. Katika biblia mchungaji ni Mume wa mke...
  20. M

    Tamaduni za kipekee na za ajabu Afrika

    Utamaduni ni jinsi binadamu anavyokabili maisha katika mazingira yake. Hii pamoja na ujuzi, Imani, Sanaa, sheria , mila, desturi, ambavyo mtu anajipatia kama mwanajamii. Inapokuja kwamba mambo fulani yanakubaliwa na jamii fulani kutekelezwa basi huitwa utamaduni wa jamii hiyo. Tutakubaliana...
Back
Top Bottom