• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

tanzania ya viwanda

 1. wanzagitalewa

  Tanzania ya viwanda inavyohitaji mazingira bora kukuza ubunifu wa kiteknolojia

  Wiki jana tumeona ufunguzi wa maonyesho katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya. Tukio hilo muhimu lilileta pamoja wanafunzi na waalimu wa vyuo na taasisi mbalimbali za mkoa wa Mbeya kuonyesha na kujadili fursa zitokanazo na ubunifu wa kiteknolojia. Katika hotuba yake, Mkuu wa Kitivo...
 2. Pascal Mayalla

  Je, tunaweza kujenga Tanzania ya viwanda bila kutegemea mabeberu?, Ukaribu beberu na 'next door' ni fimbo au biashara tu?

  Wanabodi, Wanabodi, Ijumaa ya leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikiulizia kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari zenye maslahi makubwa kwa taifa, jee msimamo huo una Maslahi kwa Taifa?. Bandiko hili ni la swali moja...
 3. wanzagitalewa

  Kuelekea Tanzania ya viwanda yenye uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025

  Mwanzo wa mwaka huu ni kengele ya miaka mitano kuelekea 2025 mwaka ambao Tanzania ilipanga kuwa imefikia lengo lake la kuwa nchi ya uchumi wa kati, ya viwanda.Dira hii ambayo Tanzania ilianza nayo mwanzoni mwa karne hii ya 21 inatambulika kuwa ni moja ya malengo makubwa ya Rais Dkt John...
 4. Kaka Pekee

  Tanzania ya Viwonder...ni lini tutafika huku? (Tufanye nini?!)

  Kuelekea Tanzania ya Viwonder (Viwanda) ni lini tutafikia kutoa support kwa Wataalamu wetu wabuni na kutengeneza Vimashine vidogo au kubwa za kurahisisha kazi na kutengeneza ajira. Tukiwa na nia ya dhati ya kupata 'Viwanda' inabidi sapoti hizi ziwepo, fungu liwepo na hamasa iwepo. Yuko wapi...
 5. musa_ali

  Ninaandika na kuuza Proposal za Biashara, Miradi na Idea mbalimbali.

  Wakuu za siku? Natumaini wote hamjambo. Mimeona niseme hili, linaweza kunufaisha watu kadhaa ambao either wana mtaji au wanahitaji professional Documents za kuombea hela (funding & grants), au hata za kushindania Tender flani, etc. Ni mwajiriwa wa muda mrefu kwenye Kampuni ambayo kazi yetu ni...
Top