Upande wa juu wa mawingu, wingu kubwa limetanda msiyemtaka kaja.
Makonda anajulikana kwa uzalendo wake na kupanga mikakati ya kisasa ya kulitetea Taifa. Makonda ni mwamba kabisa hakuna aisye mjua. Watu wale wenye nia mbaya na Taifa la Tanzania ninauhakika wameanza kutetemeka.
Karibu makonda...
Wakati Shirika la Habari la China, CGTN (China Global Television Network), linaendelea kuonesha umahiri wake katika kukuza utamaduni, sanaa, na fikra za kitaifa kupitia filamu kama “The Legend of the Monkey King” na “Nezha”, Shirika la Utangazaji la Taifa Tanzania (TBC) linaendelea kutumia...
Watanzania wote tunajua hakuna hata Watanzania milioni 15 walioenda kupiga kura! Leo hii tunaambiwa eti wapiga kura ni milioni 32 sasa hawa vijana wakichoma nyumba zetu tunawalaumu wakati pesa za mikopo wenyewe ndiyo walipaji. Lakini kuna kizazi cha Watanzania wenyewe ni wa kujiaminisha uongo na...
Mchoro wa ukutani wenye urefu wa mita 80 unaoonyesha ndege wa taifa wa Uganda, korongo, pamoja na dragon wa China anayeashiria maelewano, ulisimama kama kitovu cha tamasha la jadi lililofanyika hivi majuzi katika Kijiji cha Kasinyi, jamii iliyopo mbali katika Wilaya ya Buliisa magharibi mwa...
Wahadzabe wamekuwa na mfumo wa maisha unaoheshimika duniani, wakihusishwa na uwindaji wa asili, maarifa ya mimea tiba na mfumo wa kijamii usio na mpangilio wa tabaka. Lakini mabadiliko ya karne hii yameingia kwa kasi isiyozuilika.
Wageni na makampuni ya utalii wamevamia makazi yao kwa lengo la...
Katika falme za kale, kulikuwa na desturi za kutisha ambapo wasaidizi wa karibu au wafuasi walizikwa pamoja na mfalme aliyefariki. Hii haikuwa tu kwa sababu ya uaminifu, bali pia ilikuwa na maana kubwa ya kisiasa, kiroho, na kijamii.
Baadhi ya jamii zilizokuwa na desturi hii ni pamoja na Misri...
Polepole Utamaduni wa CCM ndiyo umetuletea umasikini! Pigania mifumo sio CCM. CCM sio nchi ni brand na Chama.
Ushauri Popepole huwezi kufanikiwa kwasababu mawazo yako ni kupigania chombo ambacho sio cha kidemokrasia.
Huwezi kupingana na wana CCM ambao chama chenyewe ni chama cha kifalme...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Chama Mapinduzi (CCM) Bara, Mzee Stephen Wasira amesema, vyama vingi vya siasa ulimwenguni vina utamaduni wa kuwaongezea muda viongozi ambao wanafanya vizuri kwenye uongozi wao kwa maana ya kutowapinga ndani ya chama wanapogombea kipindi kingine cha uongozi.
Amesema...
Je yupo mtu anaweza kuwatukana wazazi wake....!?
Mama zake wadogo...!? Mama zake wakubwa...!? Baba zake wadogo na wakubwa...!? Mashangazi na wajomba...!?
Kwa utamaduni wetu wa kitanzania,Hawa wote ni kundi la wazazi.Hata wanapokuwa wamekwenda kinyume Kuna namna ya kuwashitaki kwa staha na...
Ndugu Katibu Mkuu,
Kwa heshima na taadhima, mimi ni Mtanzania mpenda utamaduni na maendeleo ya jamii zetu za asili. Kupitia barua hii, napenda kuwasilisha hoja ya kuitaka serikali kupitia wizara yako tukufu kulinda utambulisho wa jamii ya Wahadzabe dhidi ya vitendo vinavyoweza kuathiri maisha...
Nimemsikiliza badala ya kuongelea reform anaongelea tamaduni za chama! Hii nchi inataka mabadiliko ya mifumo tamaduni za CCM ndizo zimeleta umasikini Polepole! Pigania mifumo bora
Tamasha la Utamaduni la Bulabo. Limepigiwa chapuo na UN katika kuendeleza Utamaduni wa asili wa Mwafrika kama Mkataba wa UNESCO Convention on Intangible Cultural Heritage wa 2003 unavyoelekeza. Hongera Mheshimiwa Dr Samia.
Lucas Mwashambwa
GT
Jamani jamani mambo ya asili yabaki kuwa ya asili miaka nenda rudi bulabo ni Tamasha lilioasisiwa na kanisa pamoja na kabila la wasukuma hapo Mwanza.
Leo nimeshangaa mno kuona hali ilivyokuwa kugeuzwa Tamasha hili uwanja wa siasa ni aibu kwa kweli. Inawezekan hata na ubongo wa waafrika una...
Picha: Pinterest
Mtanzania lazima ufahamu kuwa Kila kitu unachokiona au kusikia kupitia media huathiri ubongo wako, na kwa hivyo utu wako.
Kwani taarifa tunazopokea kupitia media zina athari kubwa kwenye fikra zetu, na hisia.
Hivi karibu nimeona media zikipa kipaumbele habari za local...
Wakuu
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere anatukumbusha kujenga utamaduni wa kudhibiti viongozi kama wanavunja sheria ya nchi, anasema tukiogopa, tutatawaliwa na viongozi madikteta.
"Tujenge utamaduni wa kudhibiti viongozi wetu kama wanavunja sheria ya nchi. Tusiogope mkiwa na uoga, 'i promise...
Kwa takribani miaka saba sasa nimekuwa nikifuatilia kwa karibu masuala ya Kijamii na Kisiasa nchini, nimejikuta nikijiuliza swali moja ambalo hadi leo halijapatiwa majibu ya kuridhisha.
Nimewahi pia kuwauliza baadhi ya watu walioko karibu nami, lakini hata wao walionekana kuwa na mashaka au...
Watanzania wote waliotendewa vitendo viovu kama hivi kwa kawaida hukaa kimya na kwa aibu hawathubutu kusimulia kwa undani yaliyowakumba kwenye kinachodaiwa matibabu ya Kitanzania?
Je kuna uwezekano kwamba watekaji pamoja na viongozi wanaowatuma kufanya hivi vitendo nao hupitia hayo matibabu ya...
Wakuuu
Serikali inasisitiza Dabi iko palepale, ile kauli ya 'HATUCHEZI' imeishia wapi?
==
Serikali imethibitisha rasmi kuwa pambano kubwa la watani wa jadi Yanga dhidi ya Simba litapigwa kama ilivyopangwa, Juni 15, 2025, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Katika kipindi cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.