mfumo wa elimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mfumo wa Elimu TZ unaandaa Manamba (slaves)

    Kuanzia miundombinu (madarasa , maktaba, maabr) walimu (maslahi, sifa za kujiunga) na Content (curriculum) ni Tia maji Tia maji. Tusitegemee maajabu.
  2. Bull Bucka

    Rushwa katika tathmini za wanafunzi ina athari mbaya katika mfumo wa elimu

    Rushwa, inapojitokeza katika mfumo wa elimu, inaweza kuchukua sura nyingi, lakini moja ya matatizo makubwa ni ile inayohusiana na tathmini za wanafunzi. Katika muktadha huu, rushwa inaweza kujitokeza katika njia mbalimbali, ikiwa ni pamoja na walimu kupokea rushwa ili kuongeza alama za wanafunzi...
  3. tpaul

    Serikali ya CCM wanaua elimu; wanabadili mfumo wa elimu bila walimu

    Sitaki salamu nimevurugwa, naingia kwenye mada moja kwa moja. Nchi hii ina maamuzi ya ovyo na ya kipumbavu sana. Kila kitu kinafanyika ovyo ovyo! Ni juzi tu serikali imeuza nchi kwa warabu wa DP World. Na ni jana tu Rais Samia ameenda India kuwaomba wahindi waje kununua kipande cha nchi...
  4. M

    SoC03 Kujiajiri vijana inahitaji mabadiliko ya mfumo wa elimu nchini

    Kujiajiri vijana inamanisha vijana waliohitimu vyuoni waanzishe kazi au biashara zao wenyewe kutokana na elimu waliyonayo au waliopata vyuoni. Kwa maoni yangu hili ni wazo zuri saana lakini linahitaji wanafunzi waliopo mashuleni na vyuoni wapate kusoma na kufanya vitu ambavyo kiuhalisia...
  5. H

    SoC03 Mfumo wa elimu ya Tanzania una cha kujifunza kutoka mitaala ya kimataifa?

    Kutoka katika fukwe za Bahari ya Hindi hadi katika kilele cha mlima Kilimanjaro, Tanzania imejawa na utajiri wa asili, tamaduni mbalimbali, na watu wenye upeo mkubwa. Lakini katikati ya haya yote, kuna hazina isiyoweza kulinganishwa na chochote: elimu ya Tanzania. Elimu, kama msingi wa maendeleo...
  6. G

    SoC03 Mfumo wa elimu wa nchi yetu hauendani na kasi ya maendeleo ya dunia ya sasa

    Mfumo Mbovu wa Elimu Tanzania: Elimu ni msingi muhimu wa maendeleo ya jamii na ustawi wa taifa. Hata hivyo, katika karne hii ya teknolojia na maendeleo ya haraka, ni muhimu kutathmini na kuboresha mfumo wa elimu ili kukidhi mahitaji ya dunia ya kisasa. Katika kesi ya Tanzania, mfumo wa elimu...
  7. C

    SoC03 Mabadiliko ya mfumo wa elimu

    Elimu ni ujuzi anaopokea mtu kutoka Kwa we ye uekewa zaidi juu ya jambo fulani Kuna aina tatu za elimu 1. Elimu rasmi hii ni ule ujuzi tunaoupata kutoka a mfumo maalumu wa serikali mfano shule na vyuo 2. Elimu ya jadi hii ule ujuzi unaopatikana kutoka na mafunzo ya makabila na jamii zetu...
  8. Mwl.RCT

    SoC03 Maoni juu ya Mfumo wa Elimu Tanzania: Je, Tunakidhi Mahitaji ya Kielimu ya Vijana Wetu?

    I. Utangulizi Tanzania, sawa na nchi nyingine duniani, inatambua umuhimu wa elimu kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Kwa miaka mingi, serikali imefanya juhudi kubwa kuendeleza mfumo wa elimu, kutoka kwa elimu ya msingi hadi chuo kikuu. Hata hivyo, bado kuna changamoto nyingi ambazo zinakabili...
  9. Mr mutuu

    Serikali ingilieni kati, huu mfumo wa elimu utasababisha watoto waanze kuichukia shule

    Nimerudi nyumbani kutoka mahali ninapofanyia shughuli zangu, nimekutana na kitu kinanipa mawazo sana. Mwanangu wa kwanza (4yrs old) alikuwa anapenda shule sana, mwaka jana alikuwa anasoma shule si mbali sana na hapa, walikuwa wanatoka saa 6 mchana, sasa mwaka huu nikaona nimtafutie nursery bora...
  10. AbuuMaryam

    Mfumo wa elimu wa nchi yetu si salama kwa kizazi cha kesho. Ni hatari mno. Hebu tazama haya

    Mzazi unaweza unaweza ukajitahidi ukamlea mtoto katika maadili mema...Ila uhuni na utaahira...Ataupata shuleni...Shuleni ni sehemu kuu ya kuharibu watoto kitabia na kimaadili... Mimi ninafanya shughuli ya kukaa watoto kabla ya kwenda mashuleni...Tunawatengeneza vizuri tu kitabia na...
  11. J

    Elimu yetu inatuandaa kuendana na kasi ya Teknolojia?

    Teknolojia inaendelea kupenya katika nyanja mbalimbali za Maisha yetu, ikiwemo Ajira. Umuhimu wa Ujuzi wa Kidigitali unaendelea kujidhihirisha katika Soko la Ajira na hata kwa wanaojiajiri. Mfumo wetu wa Elimu unatuandaa kuendana na kasi ya Mabadiliko ya Teknolojia?
  12. J

    Mapendekezo yaliyotolewa na wadau mbalimbali kuhusu nini kibadilike katika Mfumo wa Elimu ya Tanzania kupitia Twitterspace ya Jamiiforums

    Wadau mbalimbali wa elimu wamekuwa wakilalamikia mfumo wa sasa wa Elimu ya Tanzania. Jamiiforums kama mdau mmoja wapo wa elimu na mabadiliko inatoa fursa kwa Wanachama wake na umma kwa ujumla kutoa maoni yao juu ya nini hasa kibadilike katika mfumo wa elimu uliopo. Ili kupata nafasi hii...
  13. Valencia_UPV

    Sera mpya ya Elimu inayoandaliwa haishiriki Wadau Muhimu (Walimu, Wazazi, wanafunzi)

    Tunataarifiwa kwa sasa SERA mpya ya Elimu inaandaliwa lakini inafanyika kisiri siri huko Dodoma, 1. Wataalamu wachache wamejifungia sehemu wanapata Per diem zao safi (zaidi ya miezi sasa) huku wadau muhimu (wazazi, walimu na Wanafunzi) katika sekta wakiachwa nje. Mfano, Mwaka jana 2022...
  14. peno hasegawa

    Waziri Mkenda, nakushauri ufumue mfumo wa elimu kuanzia Awali, Msingi, Sekondari ndipo uanze mambo ya ajira za GPA

    Waziri mkenda, ninaomba nikupe ushauri wa bure kabisa kuhusu elimu. Kwa sasa mambo ya ajira za GPA uko sawa ila anza kufumua mfumu, muundo na mitaala ya elimu nchini. Prof, hakikisha kila shule ya msingi ina madarasa 2 ya awali na walimu wa awali wenye uwezo wa kufundisha wanafunzi kwa lugha...
  15. Mwande na Mndewa

    Tatizo la ajira ni tokeo la mfumo wa elimu uliokosa fikra bunifu

    Fikra ni namna mtu anavyochukulia jambo fulani, fikra ni mawazo ya mtu juu ya kitu fulani katika maisha kwa ujumla wake, mara nyingi kabla ya kumshauri mtu, tunaanza na fikra, start with mindset, fikra ni dhana, fikra, umasikini na utajiri vinaenda sambamba,lakini tujiulize nini chanzo cha...
  16. J

    SoC02 Fikra na elimu kwa wahenga

    Elimu huchochea maendeleo makubwa mno katika jamii lakini elimu bila pesa kizazi cha sasa ni sawa na kofia ya chuma inayopata moto nyakati za jua la utosi, Enyi kizazi cha sasa tubadilike tusichukue ya wahenga yote kwani mengi yameharibiwa na teknolojia pamoja na usasa elimu tunayopata mashuleni...
  17. Z

    Waziri wa elimu simamia watu wa TCU, wanaelekea kuharibu mfumo wa elimu ya juu

    Nimekuwa nikifuatilia utendaji wa TCU na hasa baada ya Magufuli (RIP) kuwapokonya kazi ya kudahili wanafunzi waliyojipachika. Kwa ufupi hapo Magufuli alishauriwa vizuri maana walishaanza kufanya biashara na vyuo vikuu na hasa vyuo binafsi (private). Sasa yaonekana hawana mwongozo wa kazi zao...
  18. tenachew

    SoC02 Mapendekezo kwa Serikali yatakayobadili mfumo wa elimu

    Mfumo wa elimu inahusisha sera na Sheria zote zinazoongoza mwenendo wa uendeshaji shughuli zote za elimu nchini. Makala hii ni andiko linalotoa mapendekezo Kwa serikali na wadau wengine wa elimu yatakayobadiri na kuboresha mfumo wa uendeshaji shughuli zote za elimu Kwa ngazi zote za elimu nchini...
  19. M

    SoC02 Mfumo wa Elimu kwa manufaa ya Wanafunzi na Taifa

    Jina: Hussein Juma Jitihadi 1.0 UTANGULIZI Elimu ni chachu katika maendeleo ya kila kitu, mfano teknolojia, uchumi, biashara n.k. Maendeleo ya nchi yoyote duniani yanatokana na athari chanya kutoka katika mfumo wa Elimu ulio imara na wenye kubadilika ili kukidhi mahitaji. Elimu hutumika...
Back
Top Bottom