Tuwe na utamaduni wa kuzoea maendeleo

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,609
8,754
Inawezekana nakosea kwenye hili kwasababu nimekuwa nikiishi kama diaspora kwa muda mrefu. Lakini sijaona tija kwa wananchi kukutana kwa siku nzima uwanjani kupokea ndege moja ingawa ni kitu kikubwa kwetu. Viongozi wangetumia muda kufanya shughuli za msingi. Waziri mkuu, mkuu wa mkoa mawaziri!.

Leo wakati naenda kazini hapa maeneo ya Dallas, Texas nikajiuliza hapa Dallas ni makao makuu ya kampuni ya American Airline nikajiuliza wana ndege ngapi. Ndege zinazoruka kwa siku moja ni wastani wa ndege 6,700 na ndege zinaenda nchi zaidi ya 50 kila siku. Hivyo hata kama hatujilinganishi basi tubane hizo pesa za mafuta twende mbele badala ya kusherehekea ka ndege kamoja.

 
Lakini sijaona tija kwa wananchi kukutana kwa siku nzima uwanjani kupokea ndege moja
Ili kujua kuwa haina tija kwa viongozi kukutana uwanjani siku nzima ili kupokea ndege moja ni lazima uwe na akili.
 
Ili kujua kuwa haina tija kwa viongozi kukutana uwanjani siku nzima ili kupokea ndege moja ni lazima uwe na akili.
Kweli kabisa mjanja ni yule aliyeuza ndege na kufanya biashara mnunuzi ni lofa tu.ukiwa masikini na akili inadumaa kuna jamaa mmoja aliniomba mchango mwaka jana kwa ajili ya binti yake kumaliza fomu four ndo walivyo CCM ya mwasamya kila kitu kwao ni kigeni na uchawa ili mkono uende kinywani.lakini hoja ni mtu kama kabudi,mkumbo, mollel kuwa chawa hapa huwa nachoka saaana.
 
Ukiskia IQ za waafrika kiwastani ni below 70 which is considered as 'mental retarded' unaelewa nini blaza?
Tuko kwenye kampeni ya nyumba ni choo alafu kampeni Tena tumia choo!!
Afrika inaumwa bablai

Ukifuatilia sherehe za kupokea ndege warzakuta gharama jumla mil 50 au zaid!! Jiulize hivyo nivitabu vingapi vingeenda mashuleni?
 
Back
Top Bottom