• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

sanaa

 1. Z

  Ugumu anaoupitia Harmonize ni kielelezo tosha kwanini sanaa yetu haikui. WCB inaua wasanii nje ya lable yao

  Nimefatilia kwa undani mikiki anayopitia Konde Boy toka ajiengue WCB. Kiukweli hajashuka Kama tunavyolazimishwa tuamini. Kwanza official songs katoa UNO na KUSHOTO KULIA na zote zimefanya vyema you tube. Hainshtui na Hujanikomoa ni bonus track wakati anajiandaa kuachia album yake...
 2. Analogia Malenga

  Kusikiliza kilio cha mtoto ni sanaa katika malezi

  Utafiti juu ya zana za mawasiliano ya watoto uliofanywa na R.G.Hopkins na J.K.Green pamoja na mwanasaikolojia John Bowlby unaonyesha kuwa mzazi anapaswa kusikiliza kilio cha mtoto wake ili kubaini mahitaji ya mtoto huyo. Kusikiliza kilio cha watoto siyo tu wajibu kwa wazazi bali pia ni sanaa...
 3. J

  Kongamano la Sanaa la Mwalimu: Rais Magufuli apiga simu mbashara na kutoa pongezi, achangia Shilingi Milioni 100

  Wageni waalikwa wameshaingia ukumbini wakiongozwa na mgeni rasmi Waziri mkuu Kassimu Majaliwa. Mhe. Kassim. Majaliwa anamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli katika kongamano la Sanaa la Mwalimu Nyerere linalofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha...
 4. Mwl.RCT

  Kongamano la Sanaa la Mwalimu Nyerere (Mwalimu Nyerere Arts Festival)

  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa anamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli katika kongamano la Sanaa la Mwalimu Nyerere linalofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini...
 5. S

  Kongole Roma Mkatoliki kwa kurudisha uhai wa sanaa ya Tanzania

  Habari ya muda huu Wakuu, Mnamo mapema wiki iliyopita niliandika uzi nikihoji nafasi ya sanaa ya Tanzania (Muziki) katika kuelezea na kuonesha uhalisia wa jamii yetu (Tanzania yetu). Nilipata wazo la kuandika uzi ule kutokana na kukithiri kwa nyimbo mbalimbali zenye mlengo wa kusifia pekee...
 6. FORTALEZA

  Anaitwa Roma: Wimbo mpya wa Roma Mkatoliki

  Roma Mkatoliki amerudi upya jamani. Ametoa wimbo mpya unaitwa "Anaitwa Roma". Ni Roma yule tuliyemzoea enzi za Mrisho akitamba na vibao vyake matata. Je Basata watauacha huu wimbo? Utafute mapema kabla hawajauchukulia hatua. Katika wimbo huo mimi nimependa mstari fulani hivi unasema; "Kwetu...
 7. kajengwa

  Ali Kiba ana cha kujifunza kwa Wizkid na Diamond, sanaa sio uadui

  Mdogo Wangu Ally Kiba acha uzazwa, umoja ni nguvu. Wizkid na mafanikio yote yuko humble na ameweza kuonesha upendo kwa kuimba na Diamond Platnumz lakini wewe unajiona mkubwa kuliko Wizkid. Kaka jishushe ili Mungu akupandishe
 8. BASIASI

  Leo nimecheka sana

  Vijana wanataka pepo wanaogopa kufa bhana. Nimefika Baa moja nikaagiza supu na katonic kangu pemben kuna meza kama tayu zimezungukwa na vijana wakila raha na aina mbalimbalu za bia. Hahahaa haikuchukua muda defender ikapita barabarani. Meza zikakimbiwaaa mabinti waliokuja nao maaskini wamelamba...
 9. BASIASI

  Nauliza: Awadh wa TTAFDICK yuko wapi, naona Ubungo kumekuwa kimya sanaa?

  Boss mkubwaaaa yuko wapii huyuuu Nakumbuka alivyokuwa akiwaotea wazee wakazi wa mwendokasi na wale wanaosimama vituo visivyo na maana Kwakweli aliwashonaaaaa aliwanyoooshaaaa kwelii wengineoooo Mpeni salam ubungo imetuliasan sema apunguze kidogo kufunga funga madreva wengine wanahitaji...
 10. Kaka Pekee

  Fikra za Katuni, Siasa za Siasa nchini!

  Fikiria nje ya Box na Wachora Vibonzo Mbalimbali.
 11. Mimi Youtuber

  NATAFUTA WATU WENYE FILAMU ZA KIBONGO *BIASHARA*

  JE UNAMILIKI FILAMU KUANZIA 20 NA KUENDELEA tafadhali ni inbox au email maige.kenneth22@gmail.com NB: Naomba zisiwe YOUTUBE
Top