kidiplomasia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mkoloni mweupe angekataa kuondoka 1961 nahisi Tanganyika tungepata uhuru 1990

    Ingekuwa mkoloni sio muelewa basi muda ungekuwa extended hadi 1990
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tanzania haina haja ya kua na ushirikiano wa kidiplomasia au kimaendeleo na taifa ambalo haliheshimu uhuru wa taifa jingine.

    Na ni muhimu sana wadau wa Jf kufahamu hili. Tanzania kama nchi huru, kamwe haiwezi kubabaishwa na mabadiliko ya kidiplomasia au kimaendeleo na taifa ambalo haliheshimu uhuru wa mataifa mengine, mathalani Tanzania. Tanzania itaendelea kuheshimu uhuru wa mataifa mengine na kuendelea kua kisiwa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Je, nini kifanyike ili kama Taifa tutoke kwenye mkwamo wa kidiplomasia duniani?

    Kama taifa tunapitia matukio magumu. Hayajawahi tokea huko nyuma. Kabla ya Okt29 hakuna aliyeamini kama yangeweza tokea machafuko ya vile, mimi ni mmoja wapo. Kuna wadau nakumbuka niliwakatalia kabisa kwamba baada ya uchaguzi hata kama kutatokea uonevu basi wananchi tutanywea. Kilichotokea baada...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hakuna na wala hapatakuwepo na mgogoro wa kidiplomasia baina ya Tanzania, Marekani na EU, Puuzeni upotoshaji wa wafuata mkumbo waliokosa agenda.

    Uhusiano wa Tanzania na washirika wake wa maendeleo na kidiplomasia kote ulimwenguni ikiwa ni pamoja na serikali ya Marekani, Umoja wa Ulaya EU, Urusi, Japan, China n.k ni mzuri sana na unaendelea kuimarika kila uchwao kwa maslahi mapana ya wananchi wa nchi zote husika. Porojo na upotoshaji...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Zimbabwe akutana na CP Kaganda kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe, Kembo Mohadi, amekutana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini humo, Kamishna wa Polisi (CP) Suzan Kaganda, ikiwa ni juhudi za kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia kati ya nchi hizo mbili. Mazungumzo hayo yaliyofanyika tarehe 15 Aprili 2026...
  6. Fene

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda kukata uhusiano wa kidiplomasia na Uturuki

    Mkuu wa Majeshi ya Uganda na mtoto wa Rais Yoweri Museveni, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amezua taharuki mpya ya Kidiplomasia baada ya kutoa maonyo makali dhidi ya Uturuki kutokana na uhusiano unaozidi kuwa mbaya kati ya nchi hizo mbili. Katika msururu wa machapisho yake kwenye X (zamani...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa mawaziri wa SADC wamalizika, wasisitiza miradi yenye tija kwa wananchi

    Mkutano wa siku mbili wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umehitimishwa jijini Pretoria, Afrika Kusini Machi 13, 2026. Madhumuni ya mkutano huo yalikuwa ni kupanua kasi ya mtangamano wa kikanda kwa ajili ya kuharakisha maendeleo ili kutengeneza ajira...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Balozi wa Singapore nchini wajadili umuhimu wa kuimarisha ushirikiano wa Kidiplomasia

    WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA SINGAPORE NCHINI WAJADILI UMUHIMU WA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIDIPLOMASIA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Singapore nchini Tanzania, Mhe. Douglas Foo...
  9. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Kidiplomasia imekaaje, eti unaenda nchi nyingine kuteka watu, hii ni kama STATE OF WAR....unatangaza vita

    Kuna mambo mengine ya kipumbavu sana. Nimekua nasoma habari za mmoja wa wanaharakati wa Tanzania kunusurika kutekwa huko nchini Nairobi, na mmoja wa watekaji amekimbia na wengine wamekamatwa. Nimekua najiuliza hii kidiplomasia imekaaje? Je sio ni kama kitendo Cha uvamizi kwenye nchi husika...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Iran Yasema Ipo Tayari Kuikaribisha Marekani Kuwekeza Iran Endapo Itafikia Maelewano ya Kidiplomasia

    Kufuatia mazungumzo yanayoendelea, Iran yaelekea kulegea na kutoa ushawishi wa kila aina, siyo tu Marekani isiishambulie, bali kujenga mahusiano mazuri ya kidiplomasia na kiuchumi. Kwenye tamko la Serikali, Iran imesema kuwa uhusiano mzuri na Marekani utakuwa na faida kwa pande zote, na kwamba...
  11. funaku

    JamiiForums Tanzania Uingereza yaboresha mahusiano ya kidiplomasia na china

    Haya ni mabadiliko makubwa katika siasa za sasa za kikanda na kidunia. Wafanyabiashara wa Uingereza wataruhusiwa kuingia china bila visa
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Samia 'Who are You' ilikuwa siyo ya kiungwana wala kidiplomasia, tunatengwa na dunia

    Kauli yako inali-cost taifa, kila nchi inafanyia review uhusiano wetu, walianza USA, EU, Sweden leo Canada hatujui nani watafuata, soon athari zake tutaziona kwenye uchumi. Maadui tulionao, ujinga, maradhi, umasikini, siasa safi na CCM, wanatutosha, kauli zako zisituongezee maadui wengine...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Kombo: Tanzania hatutakufa kwa kukosa fedha za EU

    Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) limepitisha azimio linalopendekeza kusitishwa kwa ufadhili wa fedha za maendeleo kwa Tanzania, likieleza wasiwasi juu ya mazingira ya kisiasa na ukiukaji wa haki za binadamu ulioripotiwa baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025. Uhusiano wa Tanzania na Umoja wa Ulaya...
  14. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Ahmed Assas ana hati ya kusafiri ya kidiplomasia kwa hadhi ipi aliyo nayo? Nchi imeoza hii

    Haya ni machache yaliyopo hadharani. Hatuyajui ya sirini. Sote tunaijua hadhi ya kuwa na passport yenyewe hadhi ya kidiplomasia. Huyu mfanyabiashara anapitisha biashara ngapi kwa kutumia pass ya kidiplomasia aliyopewa? Waliyompa wamelipwa kiasi gani? Je serikali ni kweli haijui na kufahamu juu...
  15. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kwa maoni yangu naona hili tangazo la shughuli wasizotakiwa wageni kufanya halijakaa sawa kidiplomasia

    Ukiingia mtandaoni utaona pages nyingi za nchi jirani zilizoko SADC na EAC haziongelei kwa uzuri hili tangazo la Jafo. Kwa majirani zetu ni ngumu kujua kama walengwa wakuu ni wachina. Watu wengi wameona kama limekaa kibaguzi. Mimi ninashauri badala ya kuleta matangazo haya yaliyokaa kisiasa ni...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ahimiza mahusiano ya kidiplomasia na kibiashara kati ya Tanzania na Grenada

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na mwenyeji wake Waziri Mkuu wa Grenada, Dickon Thomas Mitchell na kumhakikishia kuwa Tanzania itaendeleza mahusiano kidiplomasia na kibiashara kwa manufaa ya pande zote mbili. Amesema kuwa Tanzania itaendelea kutumia Jukwaa la Nne la Kibiashara na...
  17. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Kremlin haioni dalili ya kusitisha vita kidiplomasiaSaumu Njama

    Kremlin ilisema haioni njia ya haraka na ya kidiplomasia ya kumaliza vita dhidi ya Ukraine, saa chache baada ya kuzindua mashambulizi makubwa zaidi ya ndege zisizo na rubani na makombora.SiasaUkraine Kremlin haioni dalili ya kusitisha vita kidiplomasia Saumu Njama Kremlin ilisema haioni njia...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Trump atoa dirisha la wiki mbili kufanya majadiliano ya amani na Iran. Muda ukiisha atishia kuishambulia Iran

    Uamuzi wa Rais Donald Trump kufungua dirisha la majadiliano la wiki mbili kabla ya kuamua iwapo ataiamuru Marekani kuishambulia Iran umechochea harakati za haraka za kuanzisha tena mazungumzo ambayo yalikwama wakati Israel ilipoanza mashambulizi yake wiki iliyopita Kwa mujibu wa maafisa wa...
  19. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wabunge kusifia kila jambo inaenda kuleta mgogoro mkali wa kidiplomasia utakaodumu milele kati ya TZ na Kenya

    Habari wakuu Ni kawaida hapa Tanzania kuwasikia wabunge wakimsifia Mh Raisi na ku amplify kile alichokisema ktk hotuba yake yeyote Hii hali tulishaizoea, Mh Raisi hakupendezwa na ujio wa wanaharakati wa kenya nchini, narudia tena ujio wa wanaharakati wa kenya nchini kwetu Hivi sasa wabunge...
  20. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Vita ya Tanzania dhidi ya waKenya: Serikali na vyombo vya dola vimekosea sana, kidiplomasia tumeyumba mnoo

    Tuweke ushabiki pembeni, tuseme ukweli. Tujiulize haya maswali muhimu; 1. Hivi kulikuwa na ulazima wa serikali na vyombo vya dola vya Tanzania kuchukua hatua za namna hii? 2. Kulikuwa na ulazima wa Rais kujiingiza moja kwa moja, kichwa kichwa, mstari wa mbele, tena kwa kebehi, dhihaka na...
Back
Top Bottom