Watoto ni matokeo ya ngono, Na wala sio baraka wala zawadi kutoka kwa Mungu yeyote.
Ndiyo maana “slay queens ” wanatafuta pesa ili kutoa mimba, wakati mke mgumba wa mchungaji anatafuta mtoto kwa muda mrefu. Na mimba haishiki.
I'm out.
Nikiendelea na harakati ZANGU za usafi wa mazingira, nikafikiri hatuwezi kuweka mazingira safi pekee ilihali nguo zetu haziko safi.
Sasa nimekuja na sabuni za maji na Jiki ya nguo nyeupe, angalizo, bado sija sajiliwa natengeneza kama mjasiriamali mdogo nipo kwenye utaratibu wa kufuata Sheria...
Tukiachana na masuala ya dini kwanza, kwasababu sio dini ndo zimeleta uwepo wa Mungu
Ukizingatia dini kuu zilizopo mfano Uislam umeanza baada ya uwepo wa Mohhamad S.A.W, mtume huyo alidai kashushiwa kitabu kutoka mbiguni (Kuran) na hapo ndio ukawa mwanzo wake kitu ambacho kabla ya Mohhamad...
Hiki ni kionjo katika mabishano huko mahakamani katika kesi hii yenye kuleta hisia.
Nini maoni yako kuhusu hili...je wanasheria mna maoni gani MUNGU au SHETANI anaweza kuwa shahidi katika kesi?
Nasikia watu ambao hatuamini uwepo wa Mungu (huyu wa kwenye dini za Ukristo na Usilamu) tutaenda kuchomwa moto na yeye. Eti ka mind kuwa hatuamini yupo na hatumjui ukizingatia yeye mwenyewe hajaja kutuonesha ushahidi wa wazi ambao ungefanya tumuamini, zaidi kaacha binadamu ndio watangaze uwepo...
Nimelelewa katika familia yenye maadili, wazazi wangu walipenda nisomee mashaallah kitu ambacho nimekikamilisha japo bado sija fika wanapo taka.
Kutokana na changamoto za hapa na pale rasmi, nimeona nijaribu na kwingineko, nimefanya sana biashara lakini naona kila kitu na mtue, hivyo rasmi...
Hizi dini zinatuvuruga sana.
Tunaambiwa tuamini Biblia, tumefundishwa Amri za Mungu kabla ya Ubatizo wala kuwa Mkiristo unaambiwa uzitaje kwa Kukariri.
Tukija kwenye Maisha ya kawaida, amri moja inarukwa na haitekelezwi ambayo ni amri ya nne.
Wachungaji wanakazana na usizini, usinywe pombe...
Kama sio chawa ni kumfurahisha Mama na masiha yake tu
Wabara wamekuwa kama watume wa Malikia Samia! Mungu ni lini Tanzania tutakuwa huru?
https://youtu.be/Ur_aGlVQTkA?si=PpXpuKdFaQp7D22f
Taarifa ambazo zimetufikia mchana huu ni kuwa makundi makundi ya Walokole yamesukwa kufanya mauaji kwa Siri au hadharani ya kumuua Bw. Civilian-Coin Nalimi Kisandu almaarufu CIVILIAN-COIN taarifa nyeti tumezipata. Aidha wamejipanga kuua au kumbambika kesi yoyote ile Bw. Civilian-Coin.
Hata...
Lugha iliyotumika kati ya Adamu na Mungu kwenye bustani ya Edeni
Biblia haijataja lugha gani ilikuwa inatumika pale bustani ya Edeni.
Ingawa Mungu ana uwezo wa kuzungumza na sisi pasipo lugha na tukamwelewa, lakini ni wazi kuwa kulikuwa na lugha fulani iliyotumika, kwa sababu Mungu ametuumba...
Dunia tunayoiishi kwa muundo wa 3d ni umetengenezwa na kiumbe kilichopo level ya 10d yaani 10th dimension.
Kila kitu kinachoeendelea kimepangwa, kuanzia mwezi, nyota na sayari nyingine.
Mtu ukifa basi unaingia katika 4th dimension moja kwa moja.
10th dimension ni uhalisia wa uwepo wa Mungu .
Mungu siku zote hatabakia kuwa Mungu na nafsi yake ni yakwaza hana mbadala
Yusufu akiwa kwa potifa alikutana na mtihani kati ya kuchagua kumpendezesha mke aa potifa au kumpendezesha Mungu, na Yusufu akachagua kumpendezesha Mungu
Tumekuwa na changamoto kwa watumishi wa sekta binafsi au serikali...
Sio kwamba natafuta sifa au nataka kubishana na mtu kuhusu imani. Lakini nikitazama yanayoendelea duniani vita, mauaji, watoto wanaoteseka, njaa, magonjwa na watu wasio na hatia kupoteza maisha naanza kujiuliza kwa dhati kama Mungu yupo na ana uwezo wote, kwa nini anaruhusu mateso haya...
"Ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya;
basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao."
(2 Mambo ya Nyakati 7:14. Hili ni ahadi maarufu sana).
MJI WA NINAWI
Ninawi, mji wenye watu...
Kuhusu Kudhoofika kwa Nguvu za Marekani na Israel
Mohamed Said anaeleza kuwa Marekani imepoteza nguvu zake za kijeshi dhidi ya Iran kiasi cha kulinganishwa na "chui wa karatasi":
"...tunavyodhani kuwa ni nguvu za Israeli ni nguvu za Marekani umekija kujulikana kuwa hawa wakitumia sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.