mwanachama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Mtu aliyetangaza kustaafu siasa si anakuwa si mwanachama cha siasa tena?

    Chama cha siasa kinafanya vikao kumvua uanachama mwanachama aliyeishangaza kuachana na siasa! Usicheze na mtu anayekuzi akili. Jamaa kuwapiga tobo
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mambo makuu matano ukiwa JF member kwa mwaka. Utajikuta mwanachama mbobevu

    Habari za ijumaa! Leo sina mambo mengi. Ukishakuwa mperuzi wa JF mara kwa mara. Kwa zaidi ya mwaka mmoja. Ukamezeshwa Doctrines humu ndani. Kuna uwezekano mkubwa ukawa moja ya mwanachama bobevu wa; a) Kataa CCM. Yaani Anti-CCM Humu ndani hasa ukiingia jukwaa la Siasa. Aiseeh! Hata uwe shabiki...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Kuporomoka kwa ndugu Nchimbi kutoka cheo cha uMakamu hadi kutokuwa mwanachama kuna mafunzo mengi ya kujifunza

    Poromoro la kisiasa la ndugu nchimbi kutoka umakamu hadi kuwa raia wa kawaida asiye na chama kuna mambo mengi ya kujifunza kwa viongozi waliobaki: 1. Cheo ni dhamana au ni sawa na koti la kuazima hivyo tusiinue mabega juu. 2. Hakuna mkubwa kuliko chama. 2. Tuwe na nidhamu na maadili kwa...
  4. Chakaza

    JamiiForums Tanzania VP Mstaafu Ambaye Sio Mwanachama wa CCM, Serikali na Raia Tuendelee Kumpa Stahili na Heshima zake Bila Ubaguzi

    Ndio, bwana Emanuel Nchimbi ameondoka madarakani kwa kujiuzulu na Katiba inampa haki ya kufanya hivyo na kustahili heshima, mafao na stahili zote kama VP mstaafu. Hayo ya kufukuzana CCM mtajua wenyewe na chama chenu. Nchimbi alikuwa makamu wa Rais hivyo ni mtumishi serikali lakini kwa jinsi...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Hata kama Tanzania ikijitoa kwenye Mahakama ya ICC leo, Mahakama hiyo ina mamlaka ya kuchunguza makosa yaliyofanywa wakati nchi ikiwa mwanachama

    Marekani imekuwa ikizishinikiza nchi kadhaa za Afrika kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), ikiwa ni pamoja na kutishia kuchukua hatua dhidi ya serikali zitakazokataa kufanya hivyo, gazeti la Le Monde liliripoti Jumanne. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio...
  6. under500

    JamiiForums Tanzania Mwanachama Mpya JF: Naomba Mnikaribishe

    Habari za j2 wakuu Mm ni mwana chama mpya hapa JF ndo najiunga leo kwa mara ya kwanza japo kuwa nilianza kufatilia JF toka mwaka 2024 ila ilishindikana kujiunga coz nilikua natumia simu ndogo Naombeni mnipokee wakuu nawakubali sana Wana JF
  7. R

    JamiiForums Tanzania Heche: Halima Mdee si Mwanachama. Akitaka kuwa Mwanachama utaratibu anaujua

    Kauli ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, John Heche alipoulizwa kuhusu status ya Halima Mdee ndani ya CHADEMA. "Sio mwanachama. Na hawezi kuwa mwanachama bila kufuata utaratibu ambao upo kikatiba, yeye anaujua. Akitaka kuwa mwanachama anajua hatua za...
  8. MRWINNER

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwanachama mpya, naomba mnipokee

    Habari wana JamiiForums, mimi ni mwananchama mpya naomba mnipokee
  9. R

    JamiiForums Tanzania Chawa na Mwanachama wa CCM anamhoji Katibu Mkuu wa CCM. Unadhani atampiga brain teasing questions to solicit the truth. Wanatufanya wajinga eh!

    Ridiculous! Salim Kikeke ni mwanachama wa CCM kindakinda na Chawa mkubwa wa Samia. Leo anamhoji Chawa namba 2 wa Samia Rose Migiro. Kuna swali la maana litatoka hapo? Most likely wamekaa kwanza wakapanga maswali na majibu yake ndiyo anakuja public kitulisha takataka!
  10. G

    JamiiForums Tanzania Msigwa hapaswi kupewa heshima ya kurudi CHADEMA. Anapaswa kupewa Uanachama wa kawaida chini ya Uangalizi Maalum

    Msigwa angeshinda ubunge au kupata cheo kupitia CCM asingehamia Leo chadema. Tunatamani kuona chadema yenye msimamo inayoheshimika na kuaminika kwa wananchi sio usanii. Siasa inagusa Maisha ya watu Moja Kwa Moja sio usanii na maigizo ya kipuuzi. Chadema Ina mamilion ya wanachama wenye uwezo...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ZSSF: Mwanachama wa ZSSF aliyechangia chini ya miezi 18 anastahili kupata mafao

    Upande wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) umeeleza kuwa mafao yanayotolewa na mfuko huo kwa sasa ni yake ambayo yalifanyiwa maboresho ya Kisheria mwezi Oktoba 2022. Ambapo fao la kutokuwa na ajira wanufaika wanapatiwa hata kama wamefanya kazi chini ya miezi 18 na kwamba Sheria hiyo...
  12. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Mbinu 6 Sifuatazo Zitakukinga na Uzoroto Wa Ubongo katika Kizazi cha AI

    Habari wanaJF, Natumaini mko salama. Nina siku nyingi sijaja humu. Ila leo nimepata nafasi tena. Moto usizime. Mbele daima! Leo tutazungumza kuhusu jinsi ya kutumia AI bila AI kukutumia wewe. AI itawasababisha wengi kuwa na uozo wa akili. Tafiti zinasema kuwa GenZ wa sasa watakuwa the most...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Gwajima atoa ushuhuda wa binti aliyepigwa risasi Oktoba 29 na kupona baada ya oparesheni nne

    Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, leo katika Ibada kanisani kwake ametoa ushuhuda wa binti aliyepigwa risasi Oktoba 29, 2025 na kupona baada ya oparesheni nne. Askofu Gwajima pamoja na muumini huyo pia wanaeleza alipigwa risasi lakini hakuwa kwenye maandamano bali alikuwa...
  14. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Polisi Wamkamata Mwanachama wa CHADEMA kwa kosa la kuiba michango ya Tundu Lissu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia Fredrick Mbwambo, mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa tuhuma za wizi wa fedha za michango zilizokuwa zikikusanywa kwa ajili ya Mwenyekiti wa chama hicho aliyeko gerezani kwa tuhuma za uhaini, Tundu Lissu. Kwa mujibu wa...
  15. Troll JF

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Kibosho akutwa amefariki, Chanzo chatajwa kuwa ni Pombe

    Kijana Deogratius James Ottaru (37), mkazi wa Kijiji cha Kirima Kati, Kata ya Kibosho Kirima, wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, amekutwa amefariki dunia ndani ya nyumba yake aliyokuwa akiishi peke yake. Taarifa zinaeleza Drogratius (marehemu) alifariki takribani siku mbili kabla ya...
  16. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Mwanachama wa JamiiForums Mwigulu Nchemba njoo hapa

    Ndugu mwigulu nchemba naomba dola lakimoja chap. Guys akiniwekea hiyo hela ndio aje sasa aseme ni nani aliyemchagua, guys huyu hana sifa ya kuwa hata diwani wa kata.
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi wamkamata Mwanachama wa CHADEMA kwa tuhuma za “Kuhamasisha uhalifu kupitia kundi la WhatsApp”

    TAARIFA KWA UMMA Novemba 12,2025, Jeshi la Polisi lingependa kujulisha kuwa, lilimkamata na linaendelea kumshikilia Ambrose Leonce Dede, Mnyaruru, Mlinzi wa Kampuni ya Ulinzi ya African Safari na Mwanachama wa Chama cha Chadema kwa tuhuma za kupanga na kuhamasisha uhalifu nchini kupitia kundi la...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwanachama CUF: Ahadi za CCM ni zile zile wameshindwa kutimiza ndani ya miaka 30

    Akizungumza leo Septemba 15, 2025 Kutoka Kijiwe cha Kivulini, Mikocheni – Hanifa Mgonela, Mwanachama wa chama cha CUF anaweka wazi namna ambavyo suala la ajira Tanzania limekuwa fumbo lililokosa majawabu.
  19. Daby

    JamiiForums Tanzania In JF, what is your red flag?: Red flag gani ambayo ukiiona kwa mwanachama wa humu hautajibu hata PM yake?

    Binafsi zangu ni: 1. ID mpya 2. Majivuno [mimi nina hiki, mimi fulani n.k] 3. Matusi na dharau..... 4. Id ya zamani lakini ina comments chache......
  20. econonist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kumbe INEC imechukukua orodha ya wapiga kura kutoka NIDA?

    Kwa kweli nilishangaa sana pale Tume ya Uchaguzi ilipotangaza ya kwamba wapiga kura waliojiandikisha ni milioni 37 na ushee. Nikashangaa Sana. Ila Leo nimegundua ya kwamba INEC imechukua takwimu au orodha ya watu waliopo kwenye mfumo wa NIDA na kuwafanya kwamba ndio wapiga kura wa uchaguzi...
Back
Top Bottom