kupigana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini watu wanaipenda ccm kuliko nchi ( msukuma cjakuelewa / kupigana short umemanisha nini

    Kwa Nini watu wanaipenda ccm kuliko MASRAHI ya nchi tatizo lipo wapi Ni pesa au Nini kilichojificha .. Msukuma unasema kupigana short Kwa hyo kudai KATIBA ni kupigana short ,mauji ya October ni kupigana short,kutekwa ni kupigana short ,polepole yupo wapi ni kupigana short Kwa hyo...
  2. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Heche badilisha siasa zako, kupinga Serikali ni sawa na kupigana na Mlima Kilimanjaro

    Mhadhiri wa Kiislamu na Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu Tanzania, Sheikh Saidi Mwaipopo, amemtaka Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, kubadilisha mwelekeo wa siasa zake kwa kuacha siasa za kupambana na Serikali, akisema upinzani wa aina hiyo unaweza...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israel haiwezi kupigana vita bila Amerika?

    Israeli ni mojawapo ya nchi zinazojitegemea kijeshi zaidi katika Mashariki ya Kati. Lakini madai mawili maarufu yote ni ya uongo: "Israel haiwezi kupigana bila Amerika." "Israel haihitaji Amerika." Ukweli uko katikati. 🧵 1. Kampeni za mashambulizi za Israeli zimepangwa na kutekelezwa na...
  4. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kupigana Fix

    Hawa wachina sasa wameiacha dunia mbali sana. Mambo wanayotafanya Marekani wanaogopa sana. Ukiacha lile jengo lao refu sana ambalo limejengwa hewani halafu linaelea. Wana train ambayo hakuna kitu kinaifikia kwa speed duniani. Hawa waChina wametengeneza train lina speed kali kiasi kwamba kama...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Katambi na Madilu hawawezi kupigana wala watoto wao kuwapeleka front line, mtakufa nyinyi polisi na Jeiwii kapuku. Why die? Achana nao . Tenda HAKI

    Katambi wala Madilu kukitokea civil war among ourselves, hawa hawatakuwepo front line. Sana sana watawapeleka nyinyi polisi na JW kapuku mfe. Hivyo msiwasikilize hawa wauaji. Madilu anamuandaa mwanawe kuwa Rais, nyinyi wa kwenu kuwa boda boda, msikubali ujinga huu. Tutende haki na kila kitu...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Habari zenu ndugu

    Habari zenu ndugu wangu ?
  7. Webabu

    JamiiForums Tanzania Iraq imeamua kuungana na Iran kupigana na Marekani

    Moja ya nchi ambazo zimewahi kuonja madhara ya kupigwa na Marekani ni Iraq ambayo kwa sasa imeonesha kuchoka na ujanja wa taifa hilo. Hapo juzi makao ya vikosi vya PMF ambavyo ni sehemu ya jeshi la Iraq lenye misimamo ya kimapinduzi ya Ian yalishambuliwa na kuuawa kwa wanamgambo...
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Netanyahu kama Trump aomba mataifa duniani yaingie kati kupigana na Iran

    Maelezo hayo ya kuchanganyikiwa Netanyahu ameyatoa siku moja baada ya kombora zito la Iran kupiga karibu kabisa na kinu cha nyuklia cha Dimona kilichopo kusini mwa Israel, ikiwa ni jibu la kushambuliwa kwa kituo chake cha nyuklia cha Natanz. Katika maelezo hayo,Netanyahu amesema mataifa mengi...
  9. Ritz

    JamiiForums Tanzania Trump aomba msaada kwa mataifa waungane kupigana na Iran kupita Homuz, mataifa nengi yamekataa

    Wanaukumbi. Trump anataka mataifa yaungane washirikiane na Marekani kupeleka majeshi Iran wakapigane kupita mlango wa Homuz Japan imekuwa ya kwanza kukutaaa. Trump alianzisha vita ambavyo sehemu kubwa ya dunia ilikuwa dhidi yake, na sasa anaomba China, Uingereza, Ufaransa, Japan na Korea...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Chuki ya Wassira kwa Mh Lissu, ni ile kesi ya Ubunge Mahakamani, Lissu alilihenyesha Wassira mpaka likataka kupigana

    Hi Zeee ni Moja ya Zee lenye ROHO mbaya mnoo. Mh Polepole aliwahi tuelezea, Namna GANI Lilivyomtukana Nyerere, na namna GANI Magufuli alivyoliweka pembeni. Ni zee korofi, lenye UCHU, Zee ambalo lipotayari kufanya lolote kwa ajili ya Cheo. Kwa sasa Linatumia Nafasi yake, kumuumiza Lissu yaan...
  11. Kyenju

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi Hamisi Kigwangala: Kwenye siasa watu wanapigana sana "shoti" mpaka ikikutokea ndo utajua

    Hamisi Kigwangala alinukuliwa akizungumza kwenye moja ya mahojiano aliyowahi kufanya
  12. W

    JamiiForums Tanzania Queen Darleen: Semeni mtakuja kunyamaza, hamnishughulishi na mkitaka kupigana njoo

    Queen Darleen awarushia vijembe GenZ awaambia waseme weeee watakuja nyamaza ,hawamshughulishi na wakitaka kupi gana waende
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Samia anapigana na watanzania inamaana anaenda kupigana na taifa lake kwa kusudi la kulinda taifa lake hiyo D9

    Samia anapigana na watanzania inamaana anaenda kupigana na taifa lake kwa kusudi la kulinda taifa lake hiyo D9. Kweli washauri wake ni akina kingwendu.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Behind the scenes: Jinsi vishindo vizito movie za ngumi vinavyorekodiwa

  15. PLOII

    JamiiForums Tanzania Watu Wasiojulikana mnasubiri nini kumtafuta na kumkamata Vladimir Lopez mpate USD 15M kutoka Marekani?

    Happy Wednesday Guys, Niende kwenye Mada Kwa ufupi (remember this article is full of figures of speech for a purpose) Nimewaza kwa kina sana tena sana kuhusu hiki kikundi cha Utekaji na Kuua - Tanzania, ni kama Taasisi kwa Sasa hapa Nchini. Hawa jamaa wamekuwa wakiteka watu wasio hodari...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tuache na kupigana ban sasa, ni wana JF gani utaweza kuwa recommend katika nyadhifa hizi za serikali?

    1: RAIS 2: WAZIRI MKUU 3: WAZIRI WA HABARI/MAWASILIANO 4: SPEAKER WA BUNGE 5: WAZIRI WA UTAMADUNI/SANAA/MICHEZO 6: MKUU WA T.I.S.S 7: IGP 8: WAZIRI WA FEDHA 9: MSHAURI WA RAIS 10: WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII
  17. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Trump: Iran, Israel zinahitaji 'kupigana' kabla ya kupatana

    Rais wa Marekani Donald Trump amezitaka Iran na Israel, ambazo zinashambuliana "kufikia makubaliano" ya kusitisha mapigano lakini amependekeza kuwa huenda nchi hizo mbili zinahitaji "kupigana" kwanza kabla ya kuafikiana.Rais wa Marekani Donald Trump amezitaka Iran na Israel, ambazo...
  18. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Kwanini Iran inashambulia raia badala ya kupigana na jeshi??

    Wajuvi wa mambo naomba msaada wa kisheria .
  19. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda kupigana vita Iran niwasaidie kijeshi.

    Mimi sio mwanajeshi ila nataka kuwasaidia Iran dhidi ya Israel...! Nataka kufa nikiwasaidia watoto wazee na wanawake wajawazito.. nitumie njia gani kisheria kutambulika kutoa msaada huu wa kijeshi..??
  20. A

    JamiiForums Tanzania Tazama jinsi waliosombwa kwa ajili ya CHAUMMA wanavyotaka kupigana kwa kutolipwa elfu 40 zao

    Baadhi ya watu waliokuwa wakisafirishwa kuja Dar es Salaam kwa ajili ya maonyesho ya CHAUMA kesho, wameonekana wakizozani na kutaka kupigana kwa kutolipwa elfu 40, huku baadhi wakitaka warudishwe mikoani. Kazi kwelikweli, watu wamekimbia hadi na akaunti za mitandao za chama watakupeni nyie...
Back
Top Bottom