mungu

  1. sindano butu

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli tukianza kuulizana asili ya mtu popote tumuonapo mtu Tanzania ni kuwa tunamuuasi mwenyezi mungu ?

    Sifa zote ziende kwa mwenyezi mungu muumba mbingu na dunia. Vyote tuvionavyo duniani ni mungu alipanga na kiliandikwa kwenye kitabu cha enzi cha Mungu. Binadamu wewe ni nani kuanza kuhoji au mpaka kukejeli muonekano wa kiumbe cha mungu kama sio ushetani ni nini. Hii ardhi ni ya mwenyezi mungu...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kama kuna kosa alilifanya MUNGU ni kumuumba mwafrika, ngozi nyeusi! Hapo alikosea sana. Angalia msafara wa Rais wa Gabon

    Ngozi nyeusi ni laana Hata mbwa kuonekana kando ya msafara wake ni hatari! Mlaaniwe polisi 1. Mauaji 2. Ubunafsi 3. Kujivika U-Mungu 4...you name all of them and the list is endless
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi Mkutano wa Kimataifa Wa Wabunge Wanawake Ukanda wa Maziwa Makuu November 2 Hadi 5 Mwaka Huu Ikiwa Atapata Nafasi

    Ndugu Zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,nuru ya Wanyonge na nyota ya Matumaini. Anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika mkutano wa Kimataifa...
  4. k-bee

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa matendo makuu ya Mungu

    Kwenu wanajamvi! Dunia inamambo mengi na binadamu tunapitia furaha na changamoto kadha wa kadha hapa unaweza kuweka/ kutuambia ni jambo gani ambalo Mungu alikupitisha ili kukupa nguvu ya imani na hata akakuokoa/ kukutenga na mambo mabaya ambapo bila yeye (Mungu) pengine watu wangezungumza...
  5. Surya

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Mungu, hapendi nini ?

    Ikiwezekana Uzi huu utaka na muendelezo hapa hapa, jipatie kiti if you're interested Ukisoma katika biblia kuanzia mwanzo kuna habari muhimu sana kila mtu anafaa kuzijua kuhusu tabia ya Mungu, Nakushauri nawe pia ukipata nafasi Tafuta Muda usome kitabu cha Mwanzo katika biblia kimeeleza tangu...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tumuombe Mungu apunguze mvua za El Nino au tumshukuru kwa maji ya kutosha kwa kilimo cha umwagiliaji

    Nimewasikia baadhi ya viongozi wa dini wakiandaa maombi ili Mungu aepushe madhara ya mvua kubwa zinazotarajiwa kuanza mwezi Oktoba. Kwa nini tusimshukuru Mungu kwa neema hii na tujenge miundombinu bora na tuvune maji ya kutosha kuepuka uhaba wa maji na kufanya kilimo cha umwagiliaji kipindi cha...
  7. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Je una uhakika yale unayofunga na kuomba ndio GOD'S WILL aliyo nayo juu yako?

    “si mapenzi yangu, bali yako yatendeke.” (Luka 22:42) Setfree Psalm_23 Psalm 103 StudentTeacher Ni ipi siri ya maisha, ni kipi kipo nyuma ya ukweli wa maisha yetu. Nani ni muendeshaji wa kila hatua na kuanguka katika maisha yetu? Je kila mtu amewekewa limits na amekuwa regulated hata afanye...
  8. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Kingai aliyejenga nyumba ya Mungu kijijini kwao kesho anakwenda kuchuma dhambi

    Amejenga msikiti mkubwa kwao bumbuli kama sehemu ya toba kwa mola wake kesho anakwenda kujichumia madhambi kwa kuongea vya uongo ili Lissu anyongwe
  9. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Naogopa mimi. Inawezekana watu wanashindana na Mungu pasipo kujua. Risasi 16 na hakufa duh

    Naogopa mimi. Inawezekana watu wanashindana na Mungu pasipo kujua Risasi 16 na hakufa duh 😢 😭
  10. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania MWENYEZI MUNGU AKINIJALI INSHALLAH NAFUNGUA LEBEL YANGU YA MZIKI RASMI, INA MANA SIPO CHINI YA MTU YEYOTE ISIPOKUA, LEBEL YANGU

    Ogopa MATAPELI sijasaini LABEL yeyote nipo kwenye Label yangu ambayo taitambulisha hivi karibuni 7 october. Hii ndo siku inshaallah taweka wazi, picha ya MSANII, jina la msanii, na jina la label yangu, itafatiwa na ufunguzi wa mitandao ya KIJAMII. November 6, nitatambulisha rasmi ep yangu ya...
  11. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Amka: Mungu hayupo mbali, yupo ndani yako acha kutia huruma kusubiria bahati.

    Je! Umechoka kuishi ukisubiria miujiza kutoka juu? Umekuwa ukiomba msaada kutoka kwa nguvu unayodhani ipo mbali nawe?⭕⭕⭕⭕⭕⭕ Ni wakati wa kufumbua macho yako sasa🚨 Ukweli wa ndani ni huu : Wewe si mtazamaji au muhanga wa maisha yako ila ni muumbaji.🗽 Ndani yako Kuna cheche ya uungu- Haupo...
  12. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Alah Amsamehe : Huyo "mungu" anakuasamehe kwa kushawiahiw na watu?

    Je, Kuwaombea Marehemu Msamaha Kunachochea Uovu Duniani, ni ulaghai, ina maana leo mtu anaua na kupora mabilioni, anasaidi jamii yake ili akifa imuombee aende mbinguni, tuacheni huu utapeli. Baada ya kifo ni hukumu, hakuna nafasi nyingine ya kutubu. kuwaombea marehemu wasamehewe dhambi zao...
  13. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Hakuna muumini yeyote asiye muislamu ambaye anaweza kumchinja NGAMIA,huu ni uthibitisho tosha kwamba uislamu ndio dini ya haki mbele ya Mwenyezi Mungu

    Ngamia hachinjwi hovyo hovyo kama wanavyochinjwa wanyama au ndege wengine. Ngamia ili achinjwe lazima asomewe dua na aridhie kuchinjwa na anaye msomea dua asiwe mtu wa makando kando mengi kinyume na hapo ataumbuke peupee. Hii iliwahi kutokea hapa hapa TZ kuna masheikh walikesha kuomba ili...
  14. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Nadhani Tundu Lissu anaweza kuwa peke yake, Tuombe Mungu aingilie kati

    Binafsi sina shaka sana na Mnyika , lakini kila nikiangalia ma boss na marafiki wa zamani wa viongozi/wajumbe wa sasa na waliopita CHADEMA nakosa imani sana . Kuna kila dalili ya undercovers kuwa wengi sana , ingawa natambua watu wanaweza badilika pia , lakini pia natambua kuwa au kuwa na...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kafara ya binadamu katika Biblia. Yeftha akimtoa binti yake sadaka ya kuteketezwa kwa mungu.

    Katika kitabu cha Waamuzi 11 kuna bwana mmoja alimtolea mungu nadhiri ahadi ya kwamba mungu akimsaidia akashinda vita dhidi ya maadui wake kiumbe chochote cha kitakachokuwa cha kwanza kuja kumpokea akiwa anatoka vitani atakitoa sadaka kwa moto wa kuteketezwa. Binti yake alikuwa wa kwanza...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Unayopitia yote ni mpango wa mungu.

    Kama unamuamini mungu kila unachopitia ni mpango wake mungu. Kama wewe ni masikini huo ni mpango wake, Kama umedhulumiwa huo ni mpango wake, Utawala wa CCM ni mpango wake, Kama unaumwa huo ni mpango wake, Ukifiwa ni mpango wake, Ukifungwa ni mpango wake, Ukiibiwa ni mpango wa mungu...
  17. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Emmanuel ni neno la Kiebrania maana yake ni Mungu yu pamoja nasi Isaya 8:8

    Manabii walihubiri kwamba nyakati za mbele mataifq yote yamtafahamu Bwana na kumkimbilia Isaya 42:6;45:14
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Japo Mungu Ndie Muumba wa Dunia Hii, Inawezekana ni Shetani Ndie Mtawala wa Dunia Hii?, Haiwezekani WaKweli Wana Sulubiwa Huku Mungu Anaangalia Tuu!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la kumtafakari Mungu, kuna maswali nimekuwa najiuliza kumhusu huyu Mungu wa Wakristo na Waislamu ambaye ni Mungu Mmoja,Mungu wa Ibrahimu na wanae Ismail na Isaka,na sheria ya Mungu kwa dini hizi mbili ni sheria ya moja ya Musa, ambaye japo ndie Muumba wa dunia hii...
  19. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Namna neno la Mungu kutoka kwenye Biblia linavyoweza kukupa MAARIFA kwenye maisha yako

    Mimi namwamini Mungu katika Yesu kristo na President ambitionist 𝑺𝑰𝑵𝑨 𝑲𝑨𝑵𝑰𝑺𝑨 𝑯𝑼𝑫𝑼𝑴𝑨 𝒀𝑨𝑵𝑮𝑼 𝑵𝑰 𝑶𝑵𝑳𝑰𝑵𝑬👉🏿 𝑵𝑨𝑺𝑯𝑨𝑹𝑬 𝑵𝑬𝑵𝑶 𝑳𝑨 𝑴𝑼𝑵𝑮𝑼 𝑵𝑨 𝑾𝑨𝑻𝑼 𝑶𝑵𝑳𝑰𝑵𝑬 𝑳𝑰𝑾𝑬𝒁𝑬 𝑲𝑼𝑾𝑨𝑷𝑨 𝑵𝑮𝑼𝑽𝑼 𝒀𝑨 𝑲𝑼𝑬𝑵𝑫𝑬𝑳𝑬𝑨 𝑲𝑼𝑷𝑨𝑴𝑩𝑨𝑵𝑨 𝑲𝑾𝑬𝑵𝒀𝑬 𝑴𝑨𝑰𝑺𝑯𝑨, 𝑴𝑩𝑰𝑵𝑼 𝒁𝑨 𝑲𝑰𝑭𝑰𝑲𝑹𝑨 (𝑴𝑨𝑨𝑹𝑰𝑭𝑨) 𝑵𝑨 𝑴𝑰𝑼𝑱𝑰𝒁𝑨 𝙒𝙖𝙚𝙗𝙧𝙖𝙣𝙞𝙖 4:12 𝑀𝑎𝑎𝑛𝑎 𝑁𝑒𝑛𝑜 𝑙𝑎 𝑀𝑢𝑛𝑔𝑢 𝑙𝑖 ℎ𝑎𝑖, 𝑡𝑒𝑛𝑎 𝑙𝑖𝑛𝑎 𝑛𝑔𝑢𝑣𝑢...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti kati ya ndoto ya Mungu na ya shetani

    Kuna tofauti kati ya ndoto ya Mungu na ya shetani Maarifa yanayohusiana na ndoto ni mapana. Hata hivyo, kwa ufupi, zipo ndoto za aina tatu. 1. Ndoto zinazotokana na shughuli unazofanya Ndoto hizi ndizo mara nyingi zinamjia mtu. Kwa mfano: mtu alikuwa anafanya shughuli fulani siku nzima, usiku...
Back
Top Bottom