mungu

  1. H

    JamiiForums Tanzania WALE TUNAO AMINI MUNGU YUPO ZINGATIA HILI

    Kama Kuna kikundi kimekaa kama basi la kwenda kuzimu basi ni kile chama, chunguzeni watu wake , watafakalini maneno Yao, mtagundua wakimtaja Mungu hawamaanishi saana kama wanavyomtaja mwenyekiti wa chama Chao....... Thread over, bye-bye
  2. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Mungu Mmoja Katika Vipengele Vitatu: Baba, Mwana, na Roho

    Mjumbe Wa Nafsi Za Watu Kwanza, tuanze na jambo la msingi. Watu husema “Mungu ni mmoja,” lakini maandiko ya Kikristo yanasema Yupo katika sura tatu: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Hii siyo hesabu ya kawaida. Si rahisi kama kusema moja + moja + moja = tatu. Bali ni fumbo la maisha lenye maana...
  3. B

    JamiiForums Tanzania NRNE na mazagazaga yake ni mpango wa Mungu. Nani ajuaye kuwa Polepole leo, hatutajua walipo wenzetu waliopotea na yote ya uvunguni?

    Bila NRNE na hivyo bila Lissu kuwa mbele ya Pilato tungeonana wapi, ana kwa ana na kina Polepole au Gwajima? Hatimaye leo imefika, ile siku ya ahadi, na ahadi iliyopo ni kumwagwa kwa mboga, baada ya ugali kutangulizwa! Kumbe basi, nani atakereka na labda kusikia waliko wenzetu kina Ben...
  4. 4

    JamiiForums Tanzania Habari za Lissu zinatembea kama mabua yaliyochomwa moto

    Wakuu JF, amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake. Rejea mada tajwa hapo juu. Mnajua, Mh. Lissu bado yupo mahabusu kwa kesi ya kubumba na wapiga doria kwenye mitandao ya kijamii. Na ikumbukwe, juzi alitoa wasilisho lake mbele ya Mahakama ya Kisutu kabla ya tarajio la kesi yake...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mungu na shetani nani hutoa uhai wa viumbe?

    Utasikia bwana ametoa na bwana ametwaa au kazi yake mola haina makosa wakati huohuo anakemewa shetani ashindwe katika jina la yesu. Waafrika manajifikirisha kwa kuwaza na kuwazua kweli?
  6. kidonto

    JamiiForums Tanzania Prophet Uebert Angel wa Zimbabwe azungumzia kile Mungu alimwambia kuhusu Pastor Tony being a Tanzanian Watch Man

    Prophet Uebert Angel ni kati ya 5 African top Prophets of God. Anazungumzia vile Mungu alimwambia anavyomwandaa Young Pastor Tony kuwa Watch Man Kwa Tanzania. Anasema Mungu alimwambia pia kuhusu Pastor mmoja huko Ghana, na alimtaja Kwa jina, japo ikaleta Maneno mengi Toka Kwa Pastors na Bishops...
  7. 100 others

    JamiiForums Tanzania Israel Taifa La Mungu

    Mungu aliahidi jambo hili katika kitabu cha Mwanzo 12:3 alipomwambia Ibrahimu ya kuwa:”….Nitawabariki wakubarikio….Na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa”. Unaweza kuungana nasi katika kuibariki Israeli kwa njia zifuatazo: 1. OMBEA NCHI YA ISRAELI Nchi ya Israeli haipo pale kama nchi...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Novena maana yake mgomo. Wakatoliki tuko kwenye mgomo. Mungu asihusishwe kabisa mana hasikii sala za wenye hasira (unafiki)

    Naomba hii novena isihusishwe na Mungu wala maombi bali ni namna ya kutoa hasira yaani mgomo. Mungu huwa hasikilizagi maombi ya mtu anayetaka kumkomoa mwenzake, never. Ijulikane rasmi tuko kwenye mgomo ila sala inatumika kama njia ya kufikia haja zetu.
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wenye haki pekee ndio wanaweza kumwomba Mungu apambane na viongozi wadhulmati. Ukijijua huna haki usipoteze muda wako

    Hamjambo! Kuna kitu watu wengi hawakijui kuhusu Yule aliyewaumba. Mambo unayotakiwa kuyajua; 1. Mungu hajihusishi na utawala na wanadamu tangu wanadamu walipoamua kujiongoza wenyewe na kuongozwa na Wafalme na Marais. Hilo ni jambo Moja. 2. Hii ni kusema, kwa vile tuliamua kuongozwa na...
  10. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Tuiombee mungu Taifa stars,i vuke salama dhidi ya Morocco! Majirani wanatunanga kweli

    I pray for Taifa star, majirani pamoja na kocha wao wamekuwa na nongwa kweli,naamuru Kamati zote zianze kazi mapema,kwani fedhea haikubaliki kwa dhati kabisa!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni Mungu yupi anayemhubiri Mwamposa kiasi cha kuwabariki wasiomuamini Mungu wa Israel

    Kwa imani ya kikristo ni kwamba kuna Mungu mmoja tu. Nae ni Mungu wa Isaka na Yakobo. Waislamu hawamtambui na kumuabudu na hawamuheshimu kabisa. Kwa ni ni Mungu huyu wa Wa Yakobo na Isaka atumike kuwabariki viongozi waisalmu?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kutokupenda habari kuhusu Mungu ni aina gani ya tatizo?

    Wakuu habari zenu? Naomba mwenye msaada wa kimawazo tafadhali.
  13. Think2

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi kwenye hii amri ya Mungu hatutoboi

    📖 Mathayo 5:27–28 "Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini. Lakini mimi nawaambia, Kila mtu amtamaniye mwanamke kwa kumtazama, amekwisha kuzini naye moyoni mwake." Swali langu, kwani wanawake wao hawatamani ??
  14. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Je Hadi Sasa Mungu hajamtumia mtumishi wake yeyote kuongea na Rais au anakubaliana na Ushwari wa kitaifa?

    Rais ni mtumishi wa Mungu anayetumika katika kitengo cha kutawala watu kiserikali. Kwa mujibu wa ISAYA 49, watumishi wa Mungu wa KIROHO ni walezi wa wafalme na mamalikia na marais. Kama Kuna chochote kisichofaa, ili kuepusha MADHARA ya baadae atatumwa mtumishi hata kutoka nje ya nchi ili kumpa...
  15. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Dr Babishomba: mtu akisema hakuna mungu, kuna nati zimelegea kichwani mwake.

    Video Haya karibuni kwa mjadala.
  16. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Mungu anasema mamlaka zote zinatoka kwake anatuasa tuzitii na kuziheshimu. Kupitia hili TZ tuna watumishi wa Mungu wachache sana, wengi ni matapeli

    Mtumishi wa Mungu ni yule anayehubiri umoja, amani, mshikamano, na upendo kwa watu na Taifa lao na si vinginevyo. Ni aibu kwa mtumishi wa Mungu kuhubiri chuki, utengano, upotoshaji, uongo nk huyo si mtumishi wa Mungu ni tapeli yafaa achukuliwe hatua Kali za kinidhamu kwa mujibu wa sheria zetu...
  17. Setfree

    JamiiForums Tanzania Magonjwa ya zinaa(STDs) ni pigo la Mungu kwa wazinzi na waasherati?

    Ukisoma historia ya Waisraeli, utaona jinsi Mungu alivyotoa mapigo kumi kwa Wamisri waliokataa kumtii. Mojawapo ya mapigo hayo ni majipu mabaya yaliyowakumba watu wa Misri (Kutoka 9:8–11). Hili lilikuwa onyo kwamba Mungu anaweza hata kutumia magonjwa kama fimbo ya kuwaadhibu wale wanaokataa...
  18. Mfalme_wa_Nyika

    JamiiForums Tanzania We mwanamke mwenye kipini puani! Ulichonifanya Mungu anajua

    Yaani hawa wanawake wenye vipini jamani...alichonifanyia kijana wa watu sijui hata nianzaje kuwaelezea... Ila niseme tu vijana wenzangu wapenda maendeleo epuka wanawake wenye vipini puani... Waepuke kama kama ukoma...kilichonikuta ni masikitiko
  19. Setfree

    JamiiForums Tanzania Tafadhali usile chakula kabla ya kumshukuru Mungu na kukiombea

    Kama ulikuwa hujui, kila kipande cha chakula tunachoweka mdomoni ni zawadi kutoka kwa Mungu. Maandiko yanatufundisha kwamba kila kitu kizuri hutoka kwa Baba wa nuru (Yakobo 1:17). Hizi hapa faida za kushukuru na kuombea chakula: 1. Ni njia ya kumheshimu Mungu Mtoaji – Unaposhukuru, unatambua...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi Consistency prayers inavyofanya Mungu atatue shida yako

    Habari yako wewe unayesoma uzi huu muda huu. Leo ni siku nyingine Bwana Mungu ametupa nguvu ili tuendelee kupambana kuutafuta Uzima wake na kupata amani ya kweli ndani ya mioyo yetu. Hatuna budi kumshukuru Mungu kwa neema hiyo. Leo ningependa kuzungumza kuhusiana na fundisho hili la kiroho...
Back
Top Bottom