usikate tamaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mawazo255

    JamiiForums Tanzania Stori ya leo: Usikate tamaa

    STORY YA LEO: USIKATE TAMAA Kijana mmoja alikuwa anaomba kazi kila siku lakini hakupata. Watu walimcheka na kumwambia hana bahati. Badala ya kukata tamaa, aliendelea kujifunza, kufanya kazi ndogo ndogo na kuboresha uwezo wake. Baada ya muda, alipata nafasi ambayo ilibadilisha maisha yake...
  2. Alder F 16

    JamiiForums Tanzania Usikate tamaa, hili nalo litapita

    Mambo vipi? Leo nikukumbushe jambo moja muhimu. Huenda kwa sasa unapitia kipindi kinachokuletea hofu. Labda ni masomo, changamoto za kifedha, biashara, kazi, uhusiano uliovunjika, au ndoto ambazo unaona kama hazitatimia. Pengine mawazo hayo yanakunyima usingizi na kukufanya uamini kwamba...
  3. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzangu usikate Tamaa ya maisha

    Hakika haya Maisha Hayana Huruma Kwa Sisi wanaume ndio mana tunatakiwa tuyatafute popote pale pale sababu bila huu mchezo wa Hela ya Dunia ya leo tunakuwa sio lolote Kwa jamii. Tunaonekana tumechanganyikiwa tukiwa tunatafuta haya Maisha. Tunaonekana tunaviburi tukiwa busy na kutafuta haya...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Waziri Mkuu: Usikate Tamaa

    Mheshimiwa Waziri Mkuu, Katika uongozi kuna siku za pongezi na kuna siku za lawama. Kuna siku watu watakushangilia na kuna siku watu watakosoa kila hatua unayopiga. Hayo yote ni sehemu ya safari ya uongozi. Lakini usikate tamaa kwa sababu ya kelele za wachache wanaodharau kazi unayoifanya...
  5. bless on

    JamiiForums Tanzania Usikate Tamaa: Jifunze Kutoka kwa Wema Sepetu

    Yapo Mengi sana ,Nimejifunza kwa Muda mfupi sana , Wakati nikiendelea kuona majibizano ya wafuasi wa wema sepetu na Anti -wema sepetu, So sitaki kujiingiza huko katika Majibizano hayo , Ila Mimi natoa funzo muhimu sana katika Jamii , Mara Nyingi Watu wengi huacha ndoto zao kwa sababu ya...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kwenye maisha usikate tamaa

    Miaka 6 iliyopita nilikuja DSM kutafuta maisha kutoka mkoa fulani nikiwa na elimu ya form 4 tu, basi nikawa napiga mishemishe huku najisomesha nakaa kwa washikaji tu. Hatimae naliaga jiji la Dsm nikiwa mtumishi wa government. Usijikatie tamaa Mungu yupo
  7. Nrangoo

    JamiiForums Tanzania Japo mwaka 2025 unaisha usikate tamaa

    Habari wakuu.. Awali ya yote nimshukuru Mungu Kwa wakati huu aliotujalia na vilevile nitoe pole kwetu sote Watanganyika kwa madhila yaliyotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, kila mmoja ameathirika kwa namna moja ama nyingine lakini zaidi kwa familia zilizopoteza wapendwa wao, Mungu...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Dkt. Godfrey Malisa, USIKATE TAMAA, refile your case kama imekuwa struck out!

    Rekebisha hicho Jaji alichokisema kuwa umekikosea, then refile. Kama imekuwa struck out, hiyo inakuwezesha ku refile your case! Let history have it that you fought for what you believed to be Unjust/wrong/unconstitutional!
  9. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Msomi usikate tamaa – badilika, usibadilishwe

    Wasomi wengi wameishia kuwa na huzuni ya ndani, hali ya kisaikolojia inayoitwa existential frustration, kwa sababu waliaminishwa kuwa vyeti ni tiketi ya maisha bora. Ukweli ni tofauti – dunia ya sasa haiangalii tu cheti, bali uwezo wako wa kutatua matatizo na kuleta thamani. Elimu uliyonayo ni...
  10. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Ukitaka Kuwa Mjanja Maishani, Haya Ndio Mambo 14 Ambayo Watulivu Huwaza Usiku na Kuyafanyia Kazi Wakiamka

    Maisha haya hayana ramani. Hakuna aliyewahi kuyaelewa kwa ukamilifu. Kadri tunavyoishi, ndivyo tunavyogundua kuwa yale tunayoyachukulia kuwa kweli—mara nyingi si kweli kabisa. Ni kana kwamba maisha yana kauli yao ya chinichini: “Utakapodhani umeelewa, ndipo tunapokudanganya.” Katika makala hii...
  11. Muuza madafu wa Ikulu

    JamiiForums Tanzania USIKATE TAMAA KIJANA: Kesho yao ni bora zaidi.

    Nikutie moyo kijana unayepita katika majaribu. Inawezekana umemaliza chuo na huna ajira. Nikutie Moyo, kuna jamaa yangu kapata ajira akiwa na miaka 41 na sasa ni mtu mkubwa tu. We bado sana kwa umri wako. Mungu yupo atakukumbuka na kuna majira ya kila jambo chini ya jua. Majira yako...
  12. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Ni mwiko kukata tamaa

    USIKATE TAMAA Hakuna kitu kibaya kwa maisha ya mwanadamu kama kukata tamaa. Mtu aliyekata tamaa humtengenezea shetani kuwa makao yake. Haijalishi ni kipi umepitia usikate tamaaa. Ni dhambi yoyote umefanya usikate tamaa hakika Mungu husamehe dhambi zote Amka sasa tuanze upya bila kukata...
  13. NGOSHA13

    JamiiForums Tanzania Usikate tamaa! Kiilichonitokea katika safari ya elimu kimenipa ujasiri wa kutokata tamaa

    Miaka kadhaa iliyopita nilifanikiwa kusoma Elimu ya sekondari lakini nilivyomaliza sikubahatika kufaulu kujiunga na kidato cha tano kwani nilipata daraja la 4, hivyo nilikua sina tumaini lolote na nkaona mimi na mambo ya kusoma ndio hivyo basi tena, ikabidi nijiunge na chuo kilichopo chini ya...
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kwenye maisha usikate tamaa

    Mungu ndie mpaji wa yotee All d best br
  15. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto zikikunyoosha usitafute wa kumlaumu, komaa mpaka uwe kati ya waliofanikiwa kwenye mazingira magumu

    KILA SIKU KUNA WATU WANAFANIKIWA KWENYE MAZINGIRA UNAYOONA NI MAGUMU. 1. Kipindi unalaani mahusiano kuna ndoa kila siku zinafungwa. 2. Kipindi unasema hakuna ajira kuna wanaoajiriwa kila siku 3. Kipindi unasema biashara ngumu kuna ambao wanauza mpaka wanakataa wateja. 4. Ukisema mshahara mdogo...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Poleni sana wasaka ajira, msikate tamaa

    inasikitisha sana, ina uma sana, na kwakweli inatia huruma na kukatisha tamaa mno, lakini daima usichoke wala kukata tamaa. kumbe ni hali halisi ya maisha na ukosefu wa ajira, ndio inawachochea na kuwavutia kujiingiza katika hali hizo za fedhaha na aibu kubwa kiasi hicho. pole sana rafiki...
  17. Fundi manyumba 01

    JamiiForums Tanzania Kama una mpenzi ambaye yupo mbali yataka moyo sana

    Ni sehemu ndogo sana ya wapenzi wanaoishi mbalimbali ambao hudumu kwenye uhusiano wao kwa muda mrefu. Hiki kinaonekana kuwa ni kitendawili kigumu sana kwa wapenzi wengi kuvumiliana kwenye uhusiano bila kusalitiana. Ninapozungumzia umbali ninamaanisha wilaya na wilaya, wilaya na mkoa au mkoa na...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Usikate tamaa, kuwa mkakamavu na mwenye bidii ya kutafuta

    Ukiwa mvivu, mlegevu na asie na bidii, maarifa wala kujituma katika kufanya kazi, kila kitu kwako utaona kimekosewa, kina makosa, dosari au kasoro nyingi sana... Utaishia kulala sana magetoni nyumbani na ukiamka utakunywa chai ya mama na kuanza kulalamika tu, kulaumu, kughadhabika na kuhemka...
  19. andremg10

    JamiiForums Tanzania Kamwe usikate tamaa

    Nimeona kushare na wanaJF
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kitu kikubwa hapa

    Pichani:Muanzilishi wa KFC(Kentury Fried Chicken) HISTORIA YAKE.. Akiwa na miaka 5 Alifiwa na Baba yake... Akiwa na miaka 16 aliamua kuacha shule. Akiwa na miaka 17 tayari alikua kapoteza ajira 4. Akiwa na miaka 18 aliamua kuoa. Akiwa na miaka 19, alifanikiwa kuwa Baba. Akiwa na miaka 20...
Back
Top Bottom