Nimeangalia kwaya za AI za kumtania Yanga kushindwa, maudhui ya utani wa kingono ndio yamejaa.
Tena mengine yakijielekeza kwa lugha za siri za mapenzi kinyume na maumbile.
Mfano " Kishundu tumeshakiosha " akionyeshwa model ya mtu mwenye makalio makubwa mwenye mavazi ya kijani na njano.
Utani...
Ilianza kama utani lakini ndo hivyooo, great thinkers Sasa wanaongelea ushoga tu muda wote.
Kijijini kwetu, mwanaume unatakiwa kujiamini na hutakiwi kuyazungumzia mambo ya kijinga kama ushoga Kila dakika.....yaani Kila unapofungua kinywa basi wewe ni kutaja neno hilo tu. Jamii itaanza kukuwekea...
Hivi hivi, kimasikhara aliyekuwa katibu mkuu na makamu wa rais haonekani, haijulikani yuko wapi. Hii inakuwaje?. Maisha yanawezaji kuwa normal wakati hali ni abnormal?.
Taifa lina haki ya kuelezwa Nchimbi yuko wapi?
Members.
KILA MTU ana maisha Fulani ivi ameyaishi. Katika ukuaji wake. Tukiwa bado wadogo tuna jishepu kutokana na maisha HALISI ya kwenu na wazazi wetu.
Mimi binafsi nimeisha maisha ambayo ata ukiniambia niyarudie sito kubali. Nimeisha katika MAZINGIRA magumu mno, KIASI Cha kujitegemea nikiwa...
Madogo mnaochipukia kunako KIMASIHARA, Kaeni kwa PASSWORD kwa zama tulizopo usiumize sana kichwa.
Mchukue mpeleke hospitali ya serikali, mwambie doctor sisi hatuumwi tumekuja kufanya check-Up.
Kisha mtipu doctor hata ka 5K au teni mwambie ampime huyo kuku wako vipimo vifuatavyo;
1.UTI...
Hii biashara ni hatari yani ukikosea steps umekufa wewe.
Watu hawana huruma ukipoteza hata dollar 500 kupigwa chuma ni dakika Moja
Hii biashara ukijiingiza kutoka ni nguma sana once a mafia cartel always a mafia.
Ina risk sana vilevile ina pesa ya haraka sana huku impact yake kwa wale...
Nukuu za Dossa Aziz na Harakati za Uhitaji
Dossa Aziz anatajwa kama mtu aliyekuwa na utajiri mkubwa ambao aliutumia kufadhili chama cha TANU na viongozi wake:
Dossa kama "Benki": Wakati wa harakati, bili zote za chakula na vinywaji za kamati ya ndani ya TANU katika hoteli ya Princess zilikuwa...
Nianze na mimi huwa namuita My Racing white darling❤️ yeye huniita Daddy.........................................Je, wewe unamuita kwa jina gani la utani ili kukoleza upendo?
Usipomfanya vizuri mpaka kiuno kikateguka na utando ukatoka lazima awe na kinyongo.
Lazima aishi kwenye wimbi la hasira.
Kuna wanaume wamejisahau, wanadhani wakimpa mimba mwanamke ndiyo wamemfikisha mlima Kilimanjaro.
Unaweza kuzaa watoto 10 yet ndani ya miaka 20 ya ndoa yenu ikawa umemfikisha...
GT
Sasa hali ni tete kila mtu atakula anakopeleka mbegu. GenZ wameamua kuwakomoa wazee wanaotia tia huruma huku wamesimama.
Kitendo cha kushangilia na kupiga makofi mbele ya Samia akijitamba kuua watanzania kimewaudhi sana GenZ. Ngoja tuone mpaka mwisho movie itakuwaje
Acheni hizi ghasia kwa sisi raia tunayoipenda nchi yetu kuliko viongozi. Tunalipa kodi kila siku na tungependa kuona hizi pesa zinamnufaisha kila mTanzania, sio wale wanajipendekeza na wanasiasa , bali kila mtu anufaike na hizi pesa zetu.
Taarifa mnaletewa kila siku ila mnaleta maigizo hapa...
Wakuu, mambo salama!?
Kazi ndiyo utu, hivyo niwapongeze na majukumu yenu mnayoendelea nayo.
Kuna suala ambalo siku ya juzi (Jumanne) nimekutana nalo kwa mara ya 5 hivi, na nikaamua kulidodosa kimtindo fulani. Then I realized, it is true.
Nilikuwa jijini for almost a week kwa shughuli zangu tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.