kusimama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Well done JWTZ kwa kuwaondolea wananchi mashaka ya kiusalama na kuwahakikishia Amani na Utulivu wa kudumu waTanzania wote.

    Ama kwa hakika mmesimama vema na imara kwenye nafasi yenu, na mnatekeleza wajibu wenu wa kikatiba kwa weledi wa kiwango cha juu sana na kisasa zaidi. waTanzania wana imani kubwa na utendaji kazi wenu wa viwango, na baada ya taarifa yenu maalumu juu ya hali ya kiusalama nchini, imani ya wananchi...
  2. Q

    Wabunge wa Tanganyika wameanza kusimama ili wahesabiwe

    Musukuma: Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi awadhibiti Mawaziri, Wabunge na Wawakilishi wake waache ubaguzi, mbona Wazanzibari wanatibiwa Tanganyika. Musukuma: Robo tatu ya Wachimba madini Geita ni Wazanzibari. Waitara: Mbunge kutoka Zanzibar aliyesema kuna Yuda afukuzwe bungeni na amtaje Yuda ni...
  3. Idugunde

    Kwa Mtazamo wa Kawaida Ally Hapi ni mwanasiasa wa kusimama Jukwaani na kujigamba anaweza kupambana na CHADEMA?

    Kwanza kabisa kama kuna WanaCCM ambao hawana ushawishi ila wapo madarakani kwa upendeleo au labda kwa kutumia matunguri ni Ally Hapi. Uwezo wake wa kushawishi watu ni mdogo na hoja za msingi. Anadhania Tanzania ya sasa ni ya kufanya siasa za Chipukizi wa CCM na kuwanunulia akina mama Kanga na...
  4. M

    Akina Mama na akina dada, dudu za wenza wenu zikigoma kusimama msiwadhihaki muwabembeleze

    Unakuta mdada au mmama anaingia faragha na mwenzake lakini jogoo anagoma kuwika. Badala ya kumbembeleza ndio anaanza kumkejeli na kumdhihaki. Utasikia huna lolote. Nini hiki huku anashikashika dudu. Hii mbaya sana maana watu tuna stress.
  5. M

    Overdrive ON vs OFF: Ipi ni bora katika mazingira ya mjini ya kuendesha kwa speed ndogo na Kusimama simama.

    Katika mazingira ya mjini ambapo mara nyingi tunaendesha kwa mwendo mdogo chini ya 45 km/h na kusimama-simama kutokana na matuta, mashimo, wapita njia, foleni, bodaboda, bajaji, makutano ya barabara, n.k. je ni bora kuacha Overdrive ikiwa ON au kuizima (OFF)? Overdrive (O/D) ni gia ya juu...
  6. USSR

    Kama ni kweli itakuwa Mungu ameamua kusimama na taifa na kuondoa waliopanga kumwaga damu za watanzania

    Alionekana tangu zamani kuwa na elements za kichochezi hadi leo asubuhi. tunasubiri kauli ya RPC wa Geita Sofia Jongo USSR
  7. Ritz

    Saudia Arabia: Hatuwezi tena kusimama na Trump; Trump anapaswa kwanza kujiokoa, kisha atuokoe

    Wanaukumbi. Sikiliza msimamo wa Saudi Arabia leo: “Hatuwezi tena kusimama na Trump; Trump anapaswa kwanza kujiokoa, kisha atuokoe. Tangazo kuu la Saudi Arabia.” Kwa mara ya kwanza katika zaidi ya miaka 80, Wasaudi wanasema HAPANA kwa Marekani. Ninaiita Ugeuzi wa Karne wa Saudi Arabia...
  8. G

    Hongera Pascal Mayalla kwa kumtembelea mweyekiti Lissu mahakamani amua sasa kusimama upande wa haki

    Hongera Pascal Mayalla kwa kumtembelea mweyekiti Lissu mahakamani amau sasa kusimama upande wa haki
  9. Genius Man

    Je, Mabeyo anaenda kusimama na wananchi ukiona anaongelea maji ujue anamengi sana maji na mauwaji, ni wazi mauwaji ni tatizo kubwa sana

    Je, Mabeyo anaenda kusimama na wananchi ukiona anaongelea maji ujue anamengi sana maji na mauwaji, ni wazi mauwaji ni tatizo kubwa sana.
  10. Kimbesa11

    Samia ni Rais pekee Afrika anayeukataa ukoloni mambo Leo (neo-colonialism) waziwazi

    Husika na mada tajwa hapo juu. Tanzania imebahatika kuwa na Rais ambaye anaweza kuitetea na Kuilinda Tanzania dhidi ya manyanyaso ya mabeberu. ameionyesha Dunia kuwa Tanzania inaweza kusimama bila wao, huo ndo uongozi ambao Africa inahitaji kwa Sasa. ameyakataa mashinikizo ya kimagharibi...
  11. Lord Denning

    Tunawashukuru Marekani kwa kusimama na Watanganyika. Iwapendeze tu mfanye Military Intervention kuwakomboa Watanganyika

    Appreciation Post kwa Marekani. Kusema ukweli Watanganyika tunatawaliwa kwa nguvu na CCM. Imefika wakati sasa maisha yetu yako mikononi mwa CCM na sio Mungu tena. Wanatuteka, Wanatuua, Wanatufungulia kesi za Uongo, Wanatushikiria kwenye Magereza na vituo vya polisi bila kuwepo na kesi dhidi...
  12. Life2

    Wakristo mmejipangaje kusimama na watumishi wenu?

    Mpaka sasa dini ya haki imeshajulikana ni ipi neno HAKI ni neno hatari sana kwa watawala wanyonyaji, wauaji, wanyanganyi, wezi wa kura...nk Hawataki kusikia msamiati haki ukitamkwa mbele za watu, mbele za watanganyika wapenda haki. Kwa Tanganyika yetu ya leo ukijaribu kutetea haki wewe ni adui...
  13. Q

    PostGE2025 Samia: Serikali tumejipanga, waje siku yoyote tunawasubiri (kuhusu Maandamano ya Disemba 9)

    Hii statement siyo nzuri kwa kipindi hiki inaweza kum cost. Kwamba waje 9 Disema au 25 Disemba au siku yeyote tumejipanga. Who are You. Ameyasema haya leo akinukuu clips za Mange Kimambi za mitandaoni.
  14. Keynez

    Sawa mmeshindwa kujizuia kwenda kwenye mamipira, basi hata kusimama kuimba Wimbo wa Taifa?

    Labda mmeshindwa kujizuia kwenda kwenye hayo mamipira yenu. Labda ni addiction mnayoshindwa kuizuia. Labda wengine mnaona ni sehemu ya "kusahau" kwa muda machungu ya maisha. Sawa tunakubali. Ila hata kujiorganize na wote kwa pamoja kusimama wakati mpira unaanza na kuimba Wimbo wa Taifa? Hili...
  15. Zekoddo

    Pikipiki inazima baada ya kusimama au ninapotaka kusimama

    Wataalam wa kuendesha pikipiki hebu nisaidieni hapa.. Huwa naendesha gear namba 3 na sio speed kubwa kulingana na jiogrofia ya maeneo ninayoishi. Ila Shida inakuja nikitaka kusima hata kidogo pikipiki huwa inajizima na kunitaka hadi niiwashe tena.. hivi ninafeli wapi hapa wajuzi wangu..? Na...
  16. Lord Denning

    Inakuja siku ambayo Uhalali wa Mtu kukubaliwa kisiasa itakuwa kama aliwahi kusimama kuitetea Chadema au Viongozi wake

    Hakuna kidumucho milele Huu ni ukweli mchungu na mzito ambao inawezekana kuna binadamu wengi hawapendi kuusikia. Huko nyuma ziliwahi tokea tawala za Kirumi, Ottoman, Persia, Nazi na nyinginezo nyingi. Yamewahi kuiongoza dunia hasa kijeshi au kibiashara mataifa ya Uingereza, Italia, Hispania...
  17. Pdidy

    Hawara pamoja na kusaidia ndoa zetu kusimama, mjipange na hukumu nzito siku ya mwisho

    RIP MWAMBA.BR WILLY CONT RIP POPOTE ULIPO Ulikuwa kaka mwema Mume mwema kwa familia yako Lakini pesa ilipochanganya ukaanza kuchanganya madesa wa mahawar Ukujua wengine wana maroho ya mauti hatimae ukaishia kuchomeka na hawara yako kwenye gari.... Ni mwaka 2019 ma best nrda alikuwa ameanza...
  18. VictoriaGreenHerbal

    Kwanini Uume Unashindwa Kusimama Vizuri Baada ya kufikisha Miaka 30?

    Kupiga punyeto (kujichua) mara nyingi huchukuliwa kama kitu cha kawaida, lakini ukweli ni kwamba ni tatizo linalosababisha madhara makubwa kiafya na kisaikolojia. Watu wengi wanaozoea kufanya hivi hawaoni dalili mapema, lakini baada ya muda hujikuta wakipoteza nguvu za kiume wakifika miaka 30...
  19. Carlos The Jackal

    MH Polepole atoboa Siri : Mwaka 2015 bila Mstaafu Mkapa kusimama kidete , Wahuni walitaka kumpachika MTU wao kama Rais!

    Watanzania Sasa mnaelewa ni kwanini Vigo vya JPM vilitanguliwa na VIFO vya Mkapa!!. Rais Nyerere aliwakataa Mzee Kikwete na Lowassa kua Marais wa Nchi akiwaita Wahuni.
  20. Prof_Adventure_guide

    Ukombozi wa Kiuchumi: Je, Tanzania Inaweza Kupenya Minyororo ya Madeni na Kusimama Kwenye Miguu Yake?

    Katika historia ya maendeleo ya kiuchumi duniani, hakuna taifa lililopaa kufikia economic sovereignty bila kukabiliana na changamoto za madeni, sera dhaifu, na utegemezi wa rasilimali za nje. Tanzania, kama developing economy yenye rasilimali lukuki lakini bado ikihesabu kwenye low-middle income...
Back
Top Bottom