• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

msongamano

 1. D

  Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

  Leo Waziri wa Afya ametangaza virusi hatari vya Corona kuwepo nchini mwetu. Mgonjwa mmoja amethibitishwa kwa vipimo vinavyofanywa kwenye maabara moja tu hapa nchini kwetu. Maana yake kuna uwezekano wa kuwepo wengine wenye virusi hivyo ambao hawajabahatika kufanyiwa vipimo hivyo au ni carriers...
 2. J

  Mrutu: Stendi za mabasi ya mkoa na daladala wawepo wasafiri pekee wafanyabiashara waondolewe kupunguza msongamano

  Katibu mkuu wa chama cha wasafirishaji abiria ( Taboa) ndugu Mrutu ameiomba Tamisemi kuhakikisha vituoni wanabakia wasafiri tu ili kupunguza msongamano nyakati hizi za majanga ya Corona. Mrutu amesema hata kwenye vituo vya daladala mfano Makumbusho kuna msongamano mkubwa sana wa watu lakini...
 3. chinembe

  Ushauri kwa serikali: Jumapili kama hii maeneo yenye msongamano wa watu kama kariakoo na kwingine nchini pangefungwa ili kupuliza dawa

  Jumapili kama hii watu wengi wamekaa majumbani maduka mitaani yamefungwa. Ni ushauri wangu kwamba jumapili kama hizi au usiku wa kila siku au usiku wa weekend basi watu wanaohusika na udhibiti wa corona wangepita maeneo ya mikusanyiko kama kariakoo Dsm, Posta, masokoni, nchi nzima wakipuliza...
 4. Kaka Pekee

  Huyu Kamanda wa Jeshi anatukera sana wakazi wa Mbezi

  Habari wana jamvi, Kwa wale wakazi wenzangu wa Mbezi Beach, Kunduchi, Goba na watumiaji wa barabara ya Bagamoyo kwa ujumla bila shaka Mtakuwa mmekutana na huyu Kamanda wa Jeshi (Chief of Staff) ambaye kuanzia majira ya kila siku Asubuhi 12:30- 1:00 hutugandisha kwenye foleni kwa muda mrefu kila...
Top