wazo

 1. P

  Wazo Huru: CCM na Serikali yako mnakwama wapi?

  Asalam aleykum wapendwa wana siasa na wajenzi wa uchumi wa nchi yetu Tanzania. Hongereni kwa Waislam tunaoendelea na ibada yetu ya mwezi mtukufu wa Ramadhani huku tukikabiliwa na janga kubwa la Mlipuko wa Covid-19. In sha allah mwenyezi Mungu atatufanyie wepesi katika hili. Hoja yangu ni fupi...
 2. Tulimumu

  Wazo la Makonda siyo baya ila lianze na Serikali kuonesha mfano

  Wazo la RC wa Dar kuwasihi wenye nyumba kupunguza kodi hasa wakati huu wa janga la Korona siyo baya kutokana na hali mbaya ya uchumi kwa wengi kwa kuwa biashara nyingi zimesimama au kufa, ofisi na taasisi nyingi zinashindwa kulipa wafanyakazi wao. Kwa sasa wenye uhakika wa kipato ni watumishi wa...
 3. Jafaricom

  Je, wazo hili katika biashara ya Uber litafanikiwa?

  Habar wanaJF Niende direct kwenye mada husika. Naiona bado biashara ya usafirishaji/ukodishaji wa taxi, bajaj, bodaboda kwa maana ya vyombo vya usafiri kwa ujumla bado ipo na itaendelea kuwepo kwa kuwa suala la kusafiri haliepukiki katika maisha yetu ya kila siku. Kutokana na maendeleo ya...
 4. Bonde la Baraka

  Kama wazo la kujinyonga linakujia mara kwa mara kwasababu ya ugumu wa maisha, pitia hapa

  Habari! Nimesikitika sana kusikia habari ya mwanaJF mwenzetu kujinyonga kisa ugumu wa maisha. Tafsiri ya ugumu wa maisha hutofautiana kutoka mtu mmoja hadi mwingine kulingana na background ya mtu. Mwingine akisema ninapitia maisha magumu anamaanisha hata kula yake ni ya kimuujiza, mwingine...
 5. O

  Natafuta Ufadhili wa wazo la biashara

  NATAFUTA MFADHILI AU MUWEZESHAJI, MTU BINAFSI AU TAASISI Habari zenu wakubwa kwa wadogo. Naitwa Omar. Mimi ni mjasiriamali mdogo najishughulisha na perfume napatikana Mwanza. Malengo yangu ni kukuza biashara yangu na kuifanya biashara katika hadhi inayowapendeza wengi. Nahitaji mtu binafsi...
 6. J

  Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Kilimahewa Wazo anusurika kupigwa na wapiga kura wake. Akimbilia karandinga la Polisi kuokoa maisha yake

  Hii ni kali wakazi wa Kilimahewa huko Wazo Tegeta wamemshambulia kwa kipigo Mwenyekiti wao wa mtaa ambaye alilazimika kukimbilia karandinga ya polisi. Mwenyekiti huyo anatuhumiwa kubadili mipaka ya viwanja vya wakazi hao kinyemela na baadaye kuwadai rushwa. Wakazi wamedai hawamtaki mwenyekiti...
 7. Barbarosa

  Nina wazo, Serikali ichukuwe hiyo hela kutoka kwa Watalii!

  Nimeona Tanzania inaingiza kama Watalii milioni 1.5, ili kupata hizo milioni 500 tulizonyimwa tuzichukuwe ktk kwa Watalii, ni Dola ~USD 330/Mtalii tunaipata hiyo milioni 500. Ni swala la kutafuta vitu 30 anavyofanya Mtalii hapa kwetu na kumuongezea Dola 10, kwa Muzungu wa first World country...
 8. Askarimtu

  Wazo la kijinga nililolipata leo.

  Paap...! Nimeamka asubuhi nikawaza jinsi tu waafrika tunavyojidharau. Nikasema kwa nini tusiwakomeshe wazungu siku moja?? Tuchukue madini yetu, tutumie kama pesa...yaani nipe dhahabu nikurudishie chenchi almasi tatu. Toa Tanzanite, nikurudishie rubi 100. Kwanza tunaishije masikini, si...
 9. Am a star

  JamiiForums inavyobadilisha maisha yangu kwa kunipa wazo la (THD)

  TOPTRUST HELP DESC (A standby force) “ 0693354479 “ Baada ya kupitia nyuzi nyingi humu nilipata wazo! nikachukua hatua ya kukusanya taarifa zote muhimu za jiji la DAR ES SALAAM kuhusu huduma wanazohitaji watu ili kurahisisha maisha yao na kuokoa muda. sasa naweza kukusaidia Kila eneo...
 10. A

  Jipatie Mtaji - kwa wazo zuri la biashara

  Watu wengi tumekuwa tukilalamika kuhusu kukosa mitaji ya kufanya biashara na kutuwezesha kujiajiri. Ukosefu wa mitaji umekuwa ni kilio cha vijana, wazee, walemavu, wakina mama na kila mtu. Hata mimi ni mmoja wa hao ambao nilifikiri kwamba nahitaji mtaji ili niweze kutimiza malengo yangu. Katika...
 11. Janken jr

  Jina Tanganyika kwanini linaogopwa kutumika kuelezea upande wa Bara?

  Inapokea kuna suala LA kuitambulisha Zanzibar nje ya muungano tunatumia jina la Zanzibar, lakin ikiwa suala hilo linaihusu Tanganyika Basi wanakwepa na kutumia jina la muungano yaan Tanzania bara so Tanganyika.kwa ninibbasi NATO Zanzibar isitumie Tanzania visiwani. Mfano mashindano ya Moira...
 12. Mzee Mwanakijiji

  Wazo Gomvi: Kabla ya Kujitoa CHADEMA Ingeeleza Hili Kwanza...

  Binafsi sina tatizo la kinadharia kwa CHADEMA kujitoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Na hata sitakuwa na shida ya msingi hata wakijitoa Uchaguzi Mkuu. Tangu zamani nilikuwa naamini kuwa kama unaona hutendewi haki ni lazima uoneshe kuwa kweli unaamini hakuna haki. Baadhi ya matatizo...
Top Bottom