Tunaomba kila Wilaya iwe na stendi ya magari ya mikoani ili kuepuka usumbufu na msongamano

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Feb 26, 2018
2,490
3,534
Habari wadau!

Kiukweli stand ya mkoa Mbezi Luis ni kero kwa wasafiri tuliopo nje ya wilaya ya Ubungo.

Jana jioni nilienda kumpokea wife pale stand ya mkoa Mbezi, wakati nipo Gerezani stand ya mwendokasi nikampgia simu akasema yupo Chalinze fasta nikakaa foleni kusubiri gari za Mbezi ila inasikitisha yeye aliye Chalinze alifika Mbezi kabla yangu.

Kiukweli nimetoka nyumbani saa 10 nilirudi saa 5 usiku hapo niliwaza kwani kuna ulazima gani ya watu wote kwenda Mbezi kwa nini kila wilaya isiwe na kituo chake cha mabasi, mbona tunaleteana mambo ya Colonial Rule.

Nashauri Kigamboni, Ubungo, Temeke, Ilala nako kuwe na stand ya magari ya kwenda mikoani sioni ulazima wa wote kukusanyika Mbezi.

Hii itasaidia pia kuwapatia ajira wakati wa wilaya zingine na halmashauri nyingine nazo mapato yataongezeka.

Tatizo viongozi hawawasikilozi wananchi wanataka nini wao wanaamua tu wanavyo fikiria ila ukienda dip hawa viongozi hata hawajui tabu wanazopata wasafiri sababu wao wapo kwenye Vi8 zao n.k.

Naamini mama alivyo msikivu atatusaidia katika hii ishu.
 
I think wazo lako ni zuri Ila sijui utekelezaji wake kibiashara la wenye mabasi kwamba basi moja likifika dar litazunguka wilaya zote au vipi, otherwise ni wazo zuri.
 
Anamaanisha kuwe na magari yanaoanzia na kushusha wilaya zingine! Yaani wakati unapanda basi unakuwa unajua kuwa hili mwisho ni Temeke na hili mwisho ni kino so u choose ni lipi linakufaa
 
Back
Top Bottom