Mikumi is a town in the Morogoro Region of Tanzania, adjacent to Mikumi National Park. It is at the crossroads to the Great Ruaha River valley and Kilombero sugar factory, and the southern highland regions of Iringa and Mbeya. It is near the larger town of Kidodi. Kidodi is near a railway station and junction of the Tanzania Railway Corporation.
Barabara ya kutokea Iringa kushuka Mikumi kipande walichoweka zenge kina muda mrefu hakijamaliziwa chote, eneo hilo ambalo halina zege ni baya na hatarishi kwa wanaotumia vyombo vya usafiri.
Breki ikifeli basi inaenda moja kwa moja kwenye nyumba za watu, nashauri wamalizie kwa kuweka zege...
Mji wa Mikumi uko njiapanda ya maeneo mengi ya mkoa wa Morogoro pia uko katikati ya huo mkoa.
Mji wa Mikumi umezungukwa na maeneo mengi ambayo ni vivutio vya utalii kama mbuga ya Mwalimu Nyerere, Mikumi, Ruaha na milima maarufu kwa mimea na viumbe pori kama ilivyo Arusha, pia ni mji uliofikiwa...
Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kikoboga, Mikumi – Morogoro umefikia asilimia 75. Uwanja huo wenye njia ya ndege yenye urefu wa kilomita 1.8 utakuwa na jengo la abiria lenye uwezo wa kuhudumia watu 160, pamoja na jengo la Kikosi cha Zimamoto.
Mradi huo unalenga kurahisisha usafiri wa watalii...
The 2 Day Mikumi Safari from Zanzibar is a fly in adventure with minimal travel time, featuring exciting game drives in Mikumi National Park to see elephants, lions, giraffes and more, guided by experts, with a quick return to Zanzibar. Packages typically start around $600 to $900+ per person...
Shehena ya kemikali hatarishi aina ya salfa imemwagika katika barabara kuu ya Morogoro-Iringa, karibu na eneo la Mindu Mikoroshini, baada ya lori lililokuwa likiisafirisha kupata ajali.
Kwa mujibu wa taarifa za awali, tukio hilo limezua hofu miongoni mwa wakazi wa eneo hilo, kutokana na ukaribu...
📍MOROGORO - Mkuu wa Mkoa, Adam Malima, amesema hatua zitachukuliwa dhidi ya Watumishi wote wanaokwamisha utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa stendi ya magari ya mizigo (malori) ya Mikumi, Wilayani Kilosa, unaotarajiwa kuanza hivi karibuni.
Malima ametoa kauli hiyo wakati wa kikao kazi cha...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Niko Morogoro kwa sasa, natarajia kwenda kesho kutwa Mikumi National Park.
Kwa wajuzi wa mambo,naombeni mchanganuo wa gharama za usafiri na malazi kwa siku mbili kwa mtu mmoja.
NB: Mtu mmoja tu kwasababu nakwenda peke yangu.
Kikazi nimepata tuor makini sana, tafadhali wakuu ni maeneo gani muhimu ya kuzuru? mana kuna session 1 ya kupewa utawala binafsi nikaona niwacheki familia humu. Asante
Sisi Wakazi wa Mikumi Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro tuna kero ya muda mrefu ya foleni ya magari makubwa ya mizigo katika Mizani ya Mikumi, hali ambayo inatufanya kuhofia kutokea kwa ajali katika eneo hilo.
Foleni hiyo inatokana utaratibu wa askari wakati wa ukaguzi wa magari hayo mpaka...
Wakati zoezi la upigaji wa kura za kuchagua viongozi mbalimbali wa serikali za mitaa likiwa limeanza tangu saa 02:00 asubuhi nchini, hali ni tofauti kwa jimbo la Mikumi, wilayani Kilosa, mkoani Morogoro ambapo inadaiwa kuwa kata nane (8) kati ya 15 za jimbo hilo zoezi la upigaji wa kura...
Wakuu
Yule Mbunge wa Binadamu na Wanyama kashika kipaza cha Siasa tena.
Msanii na mwanasiasa maarufu, Profesa J, amerudi tena kwenye ulingo wa siasa kwa uzito, akizindua kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa leo Novemba 20 katika Kata ya Mikumi na Kata ya Ruaha.
Pia, Soma:
• Morogoro...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imemuelekeza Mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa kiwanja cha ndege Kikoboga katika Hifadhi ya Taifa Mikumi, Badr East Africa Enterprises Ltd. wenye gharama ya Sh. Bilioni 20.6 kuongeza kasi ili kukamilisha mradi huo kwa wakati.
Ujenzi huo...
Muonekano wa Daraja la Ruaha Mkuu lenye urefu wa mita 133 katika barabara ya Mikumi- Kidatu - Ifakara sehemu ya Kidatu - Ifakara kilometa 66.9 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Morogoro.
Daraja hilo limejengwa na Mkandarasi Reynolds Construction Company - RCC ya Nigeria na...
Habari?
Wadau wa utalii na wote wanaoweza kunisaidia kuhusu utalii wa mikumi.
Nina Mtalii Mume&Mke tumefanya nao kazi ila wanataka kuona wanyama in cheap and convenient way, nikawaambia mbuga ya kwenda ni mikumi sasa naombea msaada wa gharama ya kutoka morogoro mpaka mikumi,kulala mbugani siku...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi kuipandisha hadhi barabara ya Tanga - Kilosa - Mikumi - Lupembe kuwa barabara kuu 'Trunk Road' ili kuinua uchumi wa mikoa ya Tanga, Morogoro na Njombe.
Bashungwa, ameyasema hayo mkoani Morogoro wakati akikagua...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi kuipandisha hadhi barabara ya Tanga - Kilosa - Mikumi - Lupembe kuwa barabara kuu 'Trunk Road' ili kuinua uchumi wa mikoa ya Tanga, Morogoro na Njombe.
Bashungwa, ameyasema hayo mkoani Morogoro wakati akikagua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.