Wanabodi. Tumsifu Yesu Kristo. Asalama leko.
Kama kichwa cha habari hapo juu
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania dkt Samia Suluhu Hassani.
Mwanamke wa kwanza kushika nafasi ya juu ya uongozi serikalini akiongoza raia million 60.
Rais ambaye ambaye ameleta philosophy 4r. Mwenye misimamo ya...
Dar Es Salaam - Ni jiji lenye ofisi nyingi za uongozi wa kitaifa na East Africa commercial city
Dodoma - Ni jiji linalowekewa bajet kubwa sana ili kuhamishia ofisi za serikali huko
Arusha - Ni jiji linaloendelea kupata back up ya miradi kwa kuwa na hadhi ya umoja wa Afrika Mashariki na...
Salama wakuu
Ukipita kwenye majiji makubwa hasa uchochoro unaweza Kishangaaa kukutana na vyumba vidogo sana zaidi ya 100 ambavyo vinatumika kufanya shughuli za ukahaba mfano katika jiji la dar es Salaam kuna maeneo kama kimboka ,uwanja wa fisi ,mwananyama hospital,temeke Sudan temeke...
MIRADI YA MIUNDOMBINU YA MAJIJI – BAJETI YA MWAKA 2026/27
1. JIJI LA DAR ES SALAAM
BRT na Maboresho Makubwa ya Barabara
I. BRT Awamu ya 3: Maktaba – JNA – Gongolamboto (km 23.3)
II. BRT Awamu ya 4: Maktaba – Morocco – Mwenge – Tegeta pamoja na Mwenge – Ubungo (km 30.1)
III. BRT Awamu ya 5...
Hivi kwa nini licha ya kuwa jirani na Rwanda bado hatujapata motivation ya kufanya majiji yetu yawe masafi?
Tuna majiji sita tu
1. Dar es Salaam
2. Mwanza
3. Arusha
4. Dodoma
5. Tanga
6. Mbeya
Hivi hatuwezi kuanzisha kampeni kali ya "KEEP OUR CITIES CLEAN" watu walipishwe faini za kutosha...
Naona haijaanza kutumia yale makombora yake ya masafa marefu mpaka sasa. Inasubiri nini? Marekani imeharibu sana Iran.
Iran ya sasa inatembea kwa magongo, inachechemea. Siyo Iran ya miezi 10 iliyopita. Mambo yameharibika sana kijeshi.
Sasa nawaza je huu si wakati muafaka wa kuishambulia...
Kama wewe jambazi tafuta kazi nyingine tu. Kwa mfano, hapa Dar es salaam ukiifanya ujambazi huna pa kutokea sasa. Dk 5 tu watu wanakuzimisha na vyuma.
Halafu hivi vyuma vingi vinatengenezwa hapa hapa.
Ingawa wajinga bado wanadanganywa mara Abdul kaleta container la silaha, mara upuuzi gani...
Habari Tanzania !
Leo njoo tuwake kwa maneno makali hapa tuwaweke watu kazi juu juu.
Njia za kupunguza na kuondoa msongamano wa watu na vyombo vya moto ni kama ifuatavyo;
1. Tuwekeze kwenye usafiri wa umma. Iwe kuna utaratibu kuwa njia zenye makazi ya watu yaani ile (Density Population )...
Moja ya sekta kubwa inayochangia GDP na kutoa ajira nyingi ni ujenzi. Nchi yetu, miji na majiji mengi yana barabara mbaya za mitaa.
Tunaweza kuboresha barabara hizo kwa kutumia mafundi wa ndani, materials zote za ndani, bila kugusa forex yetu kwa kulipa wakandarasi wa nje na kununua vitu kama...
Hii ni hali inayoonekana kwa mfano wazi kwenye majiji mfano Dar es Salaam, ambapo wenyeji wengi, licha ya kuwa wamezaliwa na kukulia hapa, bado wanakutana na changamoto kubwa katika kufikia mafanikio.
Zaidi ya hayo, siku hizi hatuwezi kusema kuwa wenyeji wa Dar ni Wazaramo pekee kama ilivyokuwa...
DAR - Watu wa Kilimanjaro, Pemba, Njombe, Kigoma, Mara, Mwanza, n.k.
MWANZA - Watu wa Simiyu na Mara.
ARUSHA - watu wa Kilimanjaro wamedominate sana
Mbeya - Watu wa Njombe
Dodoma na Tanga sijajua
Leo nipo kikazi hapa ila nimeangalia mji ulivyo hapa kama mjini.
Una stendi nyingi za kwenda sehemu nyengine na cha kushangaza ndio yenye benk nyingi na zengine zinakuja.
Muonekano mzuri city center - Mwanza
Barabara - Dodoma
Maji - Mbeya
Huduma za Serikali - Dodoma
Utalii - Arusha
Vyuo - Mbeya
Malls na supermarket - Mwanza
Usalama - Dodoma
Huduma za Afya - Mbeya
Hali ya Hewa - Arusha
Mzunguko wa pesa - Mwanza
Unafuu wa maisha - Mbeya
Ukarimu wa watu - Tanga...
Majiji makuu mengi hasa Africa huwa yana Wabunge moto sana na hii ni kwa sababu huwa ndio kitovu cha upinzani na pia ndio kumejaa Wasomi na watu waelewa wenye information zote.
Ila sasa njoo Dar ambako Jiji lina Wabunge Vilaza sana kuzidi hata huko mikoani, mtu kama Talimba eti ni Mbunge...
Habari Tanzania !
Je, tunaweza kuwa na eneo au maeneo katikati ya Miji yalibuniwa vizuri, kupandwa na kuwekwa bustani za maua hasa kwenye haya Majiji yetu sehemu ambazo wananchi watapumzika na kuvuta hewa safi ?
Ni sehemu ipi kwa hapa Tanzania yenye hali ya hewa nzuri, joto dogo na yakuvutia...
Oooh habari Tanzania !
Pole kwa majukumu Mtanzania ya hapa na pale.
Naomba kuweka wazo langu hapa jukwaani.
Nimekuwa nikiwaza kwa muda mrefu kuwa hapa Tanzania miji inakuwa kwa kasi sana na kupelekea kupata changamoto kubwa hususani kwenye Majiji yetu mfano; Msongamano mkubwa wa vyombo vya...
Serikali itaanza kutekekeza Programu ya kuendeleza miji iliyochakaa katika majiji sita ya Arusha, Dar es salaam, Dodoma, Mwanza Mbeya na Tanga.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi Aprili 04, 2025 katika mkutano wa hadhara na wananchi wa mtaa...
Nakumbuka niliwahi kwenda kwa ndugu yangu kwenye moja ya jiji kubwa, watoto ni GETI KALI !! wakitoka shuleni ni ndani hakuna kutoka, michezo yao ya ndani wnacheza game ya kwenye TV, baiskeli wanazunguka nazo ndani hakuna kutoka, midoli, n.k. nilikuwa nawaonea huruma sana wanakosa mengi sana...
Kasi ya kuongezeka bajaji na bodaboda ni kubwa sana. Serikali kupitia jeshi lake la polisi walitakuwa kuona hii kitu tokea mapema sana. Sahivi ni kama vile wamekubali kushindwa.
Hawa jamaa wanavunja sheria zote unazozijua za barabarani, wanahatarisha maisha ya watumiaji wengine wa barabara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.