Kwa tukio hili la Mwamba linalotrend Mtandaoni la kutamndika mkewe risasi na kumuua kisa kikidaiwa kuwa ni ugomvi uliochagizwa na mali, je najiuliza ndoa ni sehemu salama kwa sisi tunaotaka kuoa au tusubiri kwanza?
Pia soma: Huyu mume kijana aliyemwua mke wake, ukweli ukoje wajameni?
Wakati wa kampeni alipanga kupigwa shaba (kukunwa na shaba) akatamba si muoga, sasa anajificha...
Ila kwa kweli huyu jamaa kama si mwehu basi uzee unamvamia vibaya mno na hastahili kubaki ofisini.
Nilidhani ni sisi tu Afrika tuna maraisi wazee wang'ang'anizi wa madaraka hata akili...
Wanajeshi wawili waliokuwa wanatumikia jeshi la Marekani chini Jordan, wameuwawa kwa makombora ya balistiki ya Iran yaliyovurumishwa usiku wa jana kwenye kambi kadhaa za Marekani
Mmoja wa wanajeshi hao haonekani alipo mpaka muda huu
Ikumbukwe, jeshi la ulinzi la Jordan ilisema lilifanikiwa...
Wazalendo
Hatuhitaji sababu nyingine ya kuwatoa wauaji madarakani, kama ulikuwa hauamini juu ya utekaji labda ulikuwa ukiona watu wanajiteka wenyewe Kwa wenyewe basi itoshe kusema kuwa hatuna sababu nyingine ya kuwatoa Hawa wahuni madalakani
watu zaidi ya 500 wameuawa na wamethibitisha kuwa...
Machawa wote kwenye jeshi na mitandaoni mnapigania nini ? haki ya kutekwa haki ya kuuliwa au haki ya buku saba ?
Maana mnaenda kinyume na wale wanaopinga vitendo hivyo vya kuuliwa na kutekwa je mnapiginia haki za kutekwa? au mna magonjwa ya akili ? katika utafiti wangu mimi sielewi hawa watu...
Haya ni mambo ambayo ukitetea inabidi uanze kuwa chonjo, mfano kwa siku ya leo ni Charlie Kirk kapigwa risasi, Trump alikoswa koswa. wanapoona hoja zako zina uzito na hawawezi kudebate option inayobaki huwa ni kuua, kuumiza, jela au kukuhangaisha sana,
-Kutetea mipaka ifungwe kusiwe na uingiaji...
Hawa , Angekua ni Mtanzania ndo Kauliwa ,wangeishia kutoa Matamko na kujifanya kama wao sio Watanzania
Ila kwakua mwenzio ndio Kauliwa, hamna Maneno mtaacha kusikia kutoka kwao.
https://youtu.be/ByUTXlIIKd0?si=k3kt4hSaLPB3T9Uk
Nimeshangaa kusikia wananchi wanamuua MTU kwa kosa la kuiba lap top ya lakimbili .
Na najiuliza hawa jamaa ni kweli hawana akili .Ila hata kufikiria hawawezi?.
Either kikundi chao walifanyiana civil war wenyewe Or walikuwa hacked/infiltrated/disrupted na adui yao alietaka kuwa expose.
Sio kirahisi rahisi hivyo mashine zao kupigwa chini maana hawa jamaa wamefanya hii kazi vizazi na vizazi bila ya kuwa exposed kirahisi rahisi hivi.
Inakuwaje mtu...
Miongoni mwa makamanda muhimu Israel iliotangaza kuwaua ni pamoja na Mohammed Deif na mwenzake Hussein Fayyad aliyetajwa kama mtaalamu wa kutengeneza makombora ya Hamas .
Huku majaaliwa ya Mohammed Deif yakiwa bado hayajathibitika, mwenzake Hussein Fayyad ameendelea kuonekana kwenye mitaa ya...
Wapalestina wote hawakuhusika na chochote katika madhila ya mayahudi kule Ujerumani,
Watoto na wagonjwa wanaouliwa kwa makombora kila siku kwa kweli hawakuwepo muda huo na hata hao askari wa IDF nao pia wengi wao wanasoma historia tu sawa na wenzao wa Palestina.
Sasa chuki za kijinga na...
Wanaukumbi.
⚡️Habari za asubuhi, wote hawa wamuliwa huko Kaskazini mwa Gaza.
🔻Sajini Orr Katz, umri wa miaka 20.
🔻Sgt. Nave Yair Asulin, umri wa miaka 21.
🔻Sajini Gary Lalhruaikima Zolat, umri wa miaka 21.
🔻Sajini Ofir Eliyahu, umri wa miaka 20...
Sijafuatilia utekwaji na mauwaji ya huko nyuma. Lakini kwa hili na mauwaji ya Ali Mohamedi Kibao nina uhakika vyombo vya usalama havijahusika.
Waliohusika ni kundi lenye nia ya kuleta fujo nchini na ni wapinzani wa chama tawala.
Waweza kuwa ni wakereketwa wa chama chochote kile cha upinzani na...
Watu zaidi ya 100 waliokuwa wamejihifadhi kwenye shule ya Tabin pamoja na wale waliokuwa wamejikushanya kwa ajili ya sala ya Alfajiri kuamkia leo wamekufa huku maiti zao zikitapakaa vipande vipande baada ya kudondoshewa mabomu mazito kutoka angani na jeshi la Israel.
Japo yametokea mashambulio...
Mauaji yanayohusiana na Jinsia (mauaji ya Wanawake) yanaweza kuchochewa na Majukumu ya Kijinsia yaliyozoeleka, Ubaguzi dhidi ya Wanawake na Wasichana, uhusiano usio sawa wa Kijinsia, au kanuni hatari za kijamii.
Licha ya miongo kadhaa ya uanaharakati kutoka kwa Mashirika ya kutetea Haki za...
Maziko ya Mwanafunzi Jonathan Makanyaga (6) wa darasa la kwanza Shule ya msingi Mrupanga, Rau Kusini mkoani Kilimanjaro yameshindikana kufanyika leo baada ya Polisi kuiambia Familia kuwa uchunguzi wa mwili bado haujakamilika.
Kamanda wa Polisi Mkoani Kilimanjaro amesema baada ya Familia kuwa na...
Sergeant William Jerome Rivers, 46, Specialist Kennedy Ladon Sanders, 24 and Specialist Breonna Alexsondria Moffett, 23
Hao hapo juu ndio askari watatu wa Marekani waliokufa kwenye shambulio la Droni huko Jordan na ambao Pentagon imeazimia kulipiza kisasi kikubwa kutokana na vifo vyao.
Makundi...
wanasema ukitaka kumuua mbwa au paka mpe jina baya. je ni yapi maoni yako kuhusu wewe hapo binafsi juu linapokuja suala la mbwa anakushambulia anaweza kukusababishia kifo
Mada kwa ajili ya wanaume
Zadi ya miezi 2 tangu vita vianze kwa mara ya mwanzo jeshi la IDF limekiri kuuliwa kwa askari wake 10 kwa pamoja tena ndani ya kaskazini ya Gaza siku ya jana Jumanne.Eneo ambalo awali walitangaza kuliteka lote.
Miongoni mwa askari waliouliwa na Hamas ni mwenye cheo cha colonel aliyekuwa kamanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.