fred vunja bei

Fred Fabian Ngajiro (Born 16 June 1987) also known as Fred Vunjabei is a Tanzanian Entrepreneur and businessman. He is the founder and CEO of Vunjabei Group Limited and president of Too Much Money Limited. He is among the youngest entrepreneurs in Tanzania and billionaires. As of November 2020, Fred has an estimate net worth of Tanzanian Shilling 4.64 Billion according to The Citizen Magazine

View More On Wikipedia.org
  1. Gerald1

    Natafuta Mshirika wa Biashara ya Chips Tabata Kinyerezi

    Habari zenu ndugu jamaa na marafiki, Me naitwa Gerald Anthony Lyapega naishi Kinyerezi ni muhangaikaji wa kawaida tu kwa jina langu la mitaa wananiitaga GYGA. Pointi yangu ni kupata mshirika wa biashara, mimi nina eneo hapa stendi Kinyerezi nilikuwa na dhumuni la kufungua chips na nyamachoma ya...
  2. B

    Haji Manara na fred Vunja Bei wanavyoathirika siasa za viwanjani Yanga na Simba

    Ipo siasa iliyopotea njia ndani ya nchi yetu. Ipo mikakati mfu yakiwekezaji isiyo na tija kwa Taifa letu. Wapo watu wanaamini kila Jambo lazima tuwe na viongozi wanaoongozwa na mfumo wa kisiasa. Wapo watu wanaishi vizuri kwa mwonekano wa nje lakini si kwa mwonekano wa ndani. Chama kinatafuta...
  3. OKW BOBAN SUNZU

    Yanayoendelea maduka ya Vunja Bei ni shida

    Twendeni taratibu wana Simba muda bado upo. Fred ashauriwe kufungua matawi mengi Dar ili kuepusha msongamano. Mtendaji mkuu wa klabu ya Simba SC,🦁 Babra Gonzalez 👸 amesema kuwa baada ya kuingiza jezi mpya za Simba 🦁 sokoni ndani ya masaa 8 jumla ya jezi 42,000 zilikuwa zimeshauzwa na mawakala...
  4. Linguistic

    Fred Vunja Bei ateuliwa kuwa Mwenyekiti kamati ya Uchumi na fedha UVCCM Taifa

    Mfanyabishara Wa Nguo na Kijana Wa Kikinga Fredy Ngajiro Maarufu Kama Vunjabei ameteuliwa Kuwa M/kiti Wa Kamati Ya Fedha Ya Uvccm... Vijana Tafuteni Njuruku Hakuna Namna ---- Mfanyabiashara Fred Ngajiro maarufu kama Fred Vunjabei jana tarehe 23 May 2021 amepitishwa na Baraza kuu la UVCCM kuwa...
Back
Top Bottom